Jaweni na Upendo kwa Ajili ya Mungu | Muziki wa Akapela "Yasifu Maisha Mapya"

Kristo wa siku za mwisho ameonekana, akifanya kazi na kuzungumza miongini mwa wanadamu. Neno lake hutuhukumu, kutuadibu na kututakasa, likituongoza kwenye njia sahihi ya maisha ya binadamu.

Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Wimbo wa ibada. Onyesha machapisho yote
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Wimbo wa ibada. Onyesha machapisho yote

Jumapili, 3 Desemba 2017

Mwenyezi Mungu Amekuwa Ameketi Kwenye Kiti Kitukufu cha Enzi

Mwenyezi Mungu Amekuwa Ameketi Kwenye Kiti Kitukufu cha Enzi Mfalme mwenye ushindi amekuwa ameketi kwenye kiti kitukufu cha enzi. Amekamilisha ukombozi, akiongoza watu Wake wote kuonekana katika utukufu. Vitu vyote vimo mkononi Mwake. Kwa busara takatifu na nguvu, Amejenga...