Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Kuhusu-Sisi. Onyesha machapisho yote
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Kuhusu-Sisi. Onyesha machapisho yote
Jumapili, 14 Januari 2018
Ole Wao Wale Wamsulubishae Mungu Mara Nyingine Tena
Katika siku za mwisho, Mungu amepata mwili katika nchi ya China kufanya kazi, na Ameonyesha mamilioni ya maneno, Akishinda na kuokoa kundi la watu kwa neno Lake na kuikaribisha enzi mpya ya hukumu ikianza na nyumba ya Mungu. Leo, kuenea kwa kazi ya Mungu katika siku za mwisho kumefikia kilele chake katika China Bara.
Jumamosi, 13 Januari 2018
Ni Tofauti Gani Iliyopo Kati Ya Ukristo na Kanisa la Mwenyezi Mungu?
By Suara TuhanJanuari 13, 2018Kanisa-la-Mwenyezi-Mungu, Kuhusu-Sisi, Maswali-Yanayoulizwa-Mara-NyingiNo comments
Ni Tofauti Gani Iliyopo Kati Ya Ukristo na Kanisa la Mwenyezi Mungu?
Ukristo na Kanisa la Mwenyezi Mungu huamini katika Mungu huyo huyo. Watu wanaoelewa historia ya dini wanajua kwamba Uyahudi wa Israeli ulizaliwa na kazi ambayo Yehova Mungu alifanya wakati wa Enzi ya Sheria. Ukristo, Ukatoliki, na Othodoksi ya Mashariki yote yalikuwa makanisa yaliyoibuka baada ya Bwana Yesu mwenye mwili kufanya kazi ya ukombozi.
Ijumaa, 12 Januari 2018
Je, Mwenyezi Mungu na Bwana Yesu ni Mungu Mmoja?
By Suara TuhanJanuari 12, 2018Bwana-Yesu, Kuhusu-Sisi, Maswali-Yanayoulizwa-Mara-Nyingi, Mwenyezi-MunguNo comments
Je, Mwenyezi Mungu na Bwana Yesu ni Mungu Mmoja?
Wanadamu walipopotoshwa na Shetani, Mungu alianza mpango Wake wa usimamizi kwa ajili ya wokovu wa wanadamu. Mungu ametekeleza hatua tatu za kazi kwa ajili ya wokovu wa wanadamu. Wakati wa Enzi ya Sheria, Yehova Mungu alitoa sheria na kuyaongoza maisha ya wanadamu, Akiwafanya watu kujua kwamba wanapaswa kumwabudu Mungu, na kuwafanya wajue dhambi ni nini.
Jumatatu, 25 Desemba 2017
Kanisa la Mwenyezi Mungu Lilikujaje Kuwepo?
By Suara TuhanDesemba 25, 2017Kanisa-la-Mwenyezi-Mungu, Kuhusu-Sisi, Maswali-Yanayoulizwa-Mara-Nyingi, Mwenyezi-MunguNo comments
Kanisa la Mwenyezi Mungu Lilikujaje Kuwepo?
Kama makanisa ya Ukristo, Kanisa la Mwenyezi Mungu lilikuja kuwepo kwa sababu ya kazi ya Mungu kupata mwili. Makanisa ya Ukristo yalipata kuwepo kwa sababu ya kuonekana na kazi ya Bwana Yesu aliyepata mwili, na Kanisa la Mwenyezi Mungu lilipata kuwepo kwa sababu ya kuonekana na kazi ya Mwenyezi Mungu mwenye mwili wa siku za mwisho. Hivyo, makanisa kotekote katika enzi yamefanyizwa kwa sababu ya kuonekana na kazi ya Mungu Aliyepata mwili.
Jumapili, 24 Desemba 2017
Kwa nini Mungu Huchukua Jina la Mwenyezi Mungu Katika Enzi ya Ufalme?
By Suara TuhanDesemba 24, 2017Bwana-Yesu, Kuhusu-Sisi, Maswali-Yanayoulizwa-Mara-Nyingi, Mwenyezi-Mungu, UfalmeNo comments
Kwa nini Mungu Huchukua Jina la Mwenyezi Mungu Katika Enzi ya Ufalme?
Watu wengi hawaelewi ni kwa nini, kwa kuwa Mwenyezi Mungu ni kurudi kwa Bwana Yesu katika siku za mwisho, Bwana Yesu anaitwa Mwenyezi Mungu wakati Anapokuja kufanya kazi ya hukumu katika siku za mwisho.
Jumamosi, 2 Desemba 2017
Kueneza kwa Injili ya Ufalme wa Mwenyezi Mungu Nchini China
By Suara TuhanDesemba 02, 2017Injili, Injili-ya-Ufalme, Kuhusu-Sisi, Mungu, Mwenyezi MunguNo comments
4. Kueneza kwa Injili ya Ufalme wa Mwenyezi Mungu Nchini China
Mwaka wa 1995, kazi ya kushuhudia kwa injili ya ufalme ya Mwenyezi Mungu ilianza rasmi China Bara. Kwa njia ya shukrani kwa Mungu na kwa upendo ambao ulikuwa wa kweli, tulishuhudia kwa kuoenekana na kazi ya Mwenyezi Mungu kwa ndugu wa kiume na kike katika madhehebu mbalimbali na makundi ya kidini. Hatukutarajia hata kidogo kukumbwa na upinzani na kukashifiwa kulikokithiri kutoka kwa viongozi wao.
Ijumaa, 1 Desemba 2017
Asili na Maendeleo ya Kanisa la Mwenyezi Mungu
By Suara TuhanDesemba 01, 2017Biblia, Kanisa-la-Mwenyezi-Mungu, Kuhusu-Sisi, Mwenyezi Mungu, Umeme-wa-Mashariki, YesuNo comments
3. Asili na Maendeleo ya Kanisa la Mwenyezi Mungu
Katika Enzi ya Neema, Bwana Yesu aliwaahidi wafuasi wake, “Basi mimi nikienda na kuwaandalia mahali, nitakuja tena niwakaribishe kwangu; ili nilipo mimi, nanyi muwepo.” (Yohana 14:3) Kadhalika Alitabiri, “Kwa maana kama umeme utokavyo mashariki, na kumulika hata magharibi; hivyo ndivyo ujio wake Mwana wa Adamu utakavyokuwa.” (Mathayo 24:27)