Ijumaa, 1 Desemba 2017

Asili na Maendeleo ya Kanisa la Mwenyezi Mungu

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki, Mwenyezi Mungu,

3. Asili na Maendeleo ya Kanisa la Mwenyezi Mungu

Katika Enzi ya Neema, Bwana Yesu aliwaahidi wafuasi wake, “Basi mimi nikienda na kuwaandalia mahali, nitakuja tena niwakaribishe kwangu; ili nilipo mimi, nanyi muwepo.” (Yohana 14:3) Kadhalika Alitabiri, “Kwa maana kama umeme utokavyo mashariki, na kumulika hata magharibi; hivyo ndivyo ujio wake Mwana wa Adamu utakavyokuwa.” (Mathayo 24:27) Katika siku za mwisho, kama ilivyoahidiwa na kutabiriwa na Yeye, Mungu tena Amekuwa mwili na kushukia Mashariki ya dunia—China—kufanya kazi ya kuhukumu, kuadibu, ushindi, na wokovu Akitumia neno, kwa msingi wa kazi ya ukombozi ya Bwana Yesu. Katika hili, unabii wa Biblia kwamba "Hukumu huanza na nyumba ya Mungu" na “Yeye aliye na sikio, na alisikie yale ambayo Roho aliyaambia makanisa.” Pia umekamilika. Kazi ya Mungu ya siku za mwisho imehitimisha Enzi ya Neema na kuikaribisha Enzi ya Ufalme. Wakati injili ya ufalme wa Mwenyezi Mungu ilipoenea kwa kasi katika China Bara, Kanisa la Mwenyezi Mungu lilikuja kuwa. Kama inavyothibitishwa na ukweli wa mambo, Kanisa la Mwenyezi Mungu lilikuja kuwa kabisa kutokana na kazi ya Mungu wa siku za mwisho, na halikuasisiwa na mtu yeyote. Hii ni kwa sababu watu wateule katika Kanisa la Mwenyezi Mungu huomba kwa jina la Mwenyezi Mungu, kutii Kazi yake, na kukubali ukweli wote walioonyeshwa na Yeye. Hivyo ni dhahiri kwamba watu hawa waliochaguliwa huamini katika Kristo ambaye Amekuwa mwili katika siku za mwisho, Mungu wa vitendo aliye Roho aliyethibitika katika mwili, badala ya kuamini katika mwanadamu. Kwa nje, Mwenyezi Mungu si kitu zaidi ya Mwana wa kawaida wa binadamu, lakini kwa kiini Yeye ni mfano halisi wa Roho wa Mungu na ni ukweli, njia, na uzima. Kazi na ujumbe wake vinatoka moja kwa moja kwa Roho wa Mungu na ni kuonekana kwa Mungu katika nafsi. Kwa hiyo, Yeye ni Mungu wa vitendo ambaye amekuwa mwili.
Mwaka wa 1991, Mwenyezi Mungu, Kristo wa siku za mwisho, alianza kufanya rasmi huduma Yake nchini China. Kisha, Alionyesha mamilioni ya maneno na akaanza kazi ya hukumu ya kiti cha enzi kikubwa cheupe katika siku za mwisho. Kama vile Mwenyezi Mungu anasema, “Kazi ya hukumu ni kazi ya Mungu Mwenyewe, kwa hivyo lazima ifanywe na Mungu Mwenyewe kwa kawaida; haiwezi kufanywa na mwanadamu kwa niaba Yake. Kwa sababu hukumu ni kumshinda mwanadamu kupitia ukweli, hakuna shaka kuwa Mungu bado Anaonekana kama kiumbe aliyepata mwili kufanya kazi hii miongoni mwa wanadamu. Hiyo ni kumaanisha, wakati wa siku za mwisho, Kristo atautumia ukweli kuwafunza wanadamu duniani kote na kufanya ukweli wote ujulikane kwao. Hii ni kazi ya hukumu ya Mungu.” (kutoka kwa “Kristo Hufanya Kazi ya Hukumu kwa Ukweli” katika Neno Laonekana katika Mwili) “Mungu anafanya kazi ya neno katika siku za mwisho, na maneno haya ni yale ya Roho Mtakatifu, kwani Mungu ni Roho Mtakatifu na Anaweza pia kuwa mwili; kwa hivyo, maneno ya Roho Mtakatifu, yalivyosemwa zamani, ni maneno ya Mungu mwenye mwili wa leo. … Kwa Mungu kunena matamshi ili kutekeleza kazi, lazima Awe mwili, la sivyo kazi yake haiwezi kukamilisha malengo Yake.” (kutoka kwa “Ni Jinsi Gani Mwanadamu Aliyemfafanua Mungu Katika Dhana Zake Anaweza Kupokea Ufunuo wa Mungu?” katika Neno Laonekana Katika Mwili) Kwa sababu ya kuonekana na maneno ya Kristo wa siku za mwisho, ambao watu wanamtamania milele na kuutafuta ukweli ameshindwa na kutakaswa na neno la Mwenyezi Mungu, na wameona katika hukumu ya Mungu na kuadibu kuonekana kwa Mungu na kurudi kwa Mkombozi.
Kanisa la Mwenyezi Mungu lilikuja kuwa kwa sababu ya kuonekana na kazi ya Mwenyezi Mungu—Bwana Yesu aliyerudi—Kristo wa siku za mwisho, na pia chini ya hukumu Yake ya haki na kuadibu. Kanisa limejumuisha wale wote ambao wanaikubali kwa kweli kazi ya Mwenyezi Mungu ya siku za mwisho na wameshindwa na kuokolewa na neno la Mungu. Liliasisiwa kabisa na Mwenyezi Mungu mwenyewe, na linaongozwa na kuchungwa binafsi na Yeye, na kamwe halikuanzishwa na mtu yeyote. Huu ni ukweli unaokubaliwa na watu wote waliochaguliwa katika Kanisa la Mwenyezi Mungu. Yeyote atumiwaye na Mungu mwenye mwili amejaaliwa na Mungu, na binafsi kuteuliwa na kushuhudiwa na Mungu, kama vile Yesu mwenyewe aliwachagua na kuteua wanafunzi kumi na wawili. Wale ambao hutumiwa na Mungu hushirikiana tu na kazi Yake, na hawawezi kufanya kazi ya Mungu badala Yake. Kanisa halikuanzishwa na wale wanaotumiwa na Mungu, wala watu wa Mungu waliochaguliwa kuamini katika wao au kuwafuata. Makanisa ya Enzi ya Neema hayakuanzishwa na Paulo na mitume wengine, lakini yalikuwa ni matokeo ya kazi ya Bwana Yesu na kuasisiwa na Bwana Yesu Mwenyewe. Kadhalika, Kanisa la Mwenyezi Mungu katika siku za mwisho halijaasisiwa na wale wanaotumiwa na Mungu, lakini ni matokeo ya kazi ya Mwenyezi Mungu. Watu ambao wanatumiwa na Mungu wananyunyizia maji, kuruzuku, na kuongoza makanisa, wakifanya kazi ya mwanadamu. Ingawa watu wa Mungu waliochaguliwa wanaongozwa, kunyunyiziwa maji, kuruzukiwa na wale ambao hutumiwa na Mungu, wao huamini katika na kutomfuata mwingine ila Mwenyezi Mungu, na hukubali na kutii maneno na kazi Yake. Huu ni ukweli ambao hauwezi kukataliwa na yeyote. Kwa sababu ya kuonekana na kazi ya Mungu mwenye mwili, waumini wengi wa kweli wa Bwana katika madhehebu yote ya dini na vikundi vyote vya dini hatimaye wamesikia sauti ya Mungu, wameona kwamba Bwana Yesu tayari amekuja na kufanya kazi ya hukumu katika siku za mwisho, na wote wamethibitisha kuwa Mwenyezi Mungu ni Bwana Yesu aliyerudi—na hatimaye, wao wameikubali kazi yake ya siku za mwisho. Wale wote ambao wameshindwa na neno la Mwenyezi Mungu huwa chini ya jina Lake. Kwa hiyo, watu wote waliochaguliwa wa Kanisa la Mwenyezi Mungu humwomba Mwenyezi Mungu, na kufuata, kutii na kumwabudu Yeye. Baada ya kupitia kazi ya Mungu ya hukumu na kuadibu, watu waliochaguliwa katika China wamekuja kufahamu tabia Yake ya haki, na wameona adhama Yake na ghadhabu, na hivyo wamekwishashindwa kabisa na neno la Mungu na kuanguka chini mbele ya Mwenyezi Mungu, na wako tayari kutii na kukubali hukumu na kuadibu kwa neno la Mungu. Hivyo, wao wamepata wokovu wa Mungu.
Hasa kwa sababu maneno yaliyoonyeshwa na Mwenyezi Mungu yanafichua mafumbo ya mpango wa usimamizi wa Mungu ili kumwokoa binadamu, watu wa Mungu waliochaguliwa, katika kufichua maneno ya Mungu, huja kuelewa kwamba Mungu ana jina jipya katika kila enzi, na kwamba jina Lake jipya linaashiria kwamba Mungu anafanya kazi mpya, na zaidi ya hapo, kwamba Mungu anahitimisha enzi nzee kukaribisha enzi mpya. Maana ya jina la Mungu ni kubwa sana, na ya kushangaza! Ndani yake limebeba umuhimu wa kazi ya Mungu. Mungu hutumia majina kubadilisha enzi na kuwakilisha Kazi yake ya enzi hiyo. Katika Enzi ya Sheria, Alitumia jina la Yehova kutoa sheria na amri na kuongoza maisha ya wanadamu duniani. Katika Enzi ya Neema, Alitumia jina la Yesu kufanya kazi ya ukombozi wa wanadamu. Pamoja na kuwasili kwa Enzi ya Ufalme, Yeye ametumia jina la Mwenyezi Mungu kufanya kazi ya hukumu Akianza na nyumba ya Mungu, kumtakasa mtu, kumbadilisha mtu, na kumwokoa mtu. Jina jipya la Mungu si kitu ambacho Yeye huitwa kiholela na mwanadamu, lakini lilichukuliwa na Mungu Mwenyewe kwa sababu ya mahitaji ya kazi Yake. Jina analolichukua Mungu katika kila hatua ya kazi lina mizizi yake katika Biblia, na jina ambalo Bwana Yesu angelichukua wakati Alirudi katika siku za mwisho lilikuwa limetabiriwa kitambo katika Kitabu cha Ufunuo: “Yeye ashindaye, nitamfanya kuwa nguzo katika hekalu la Mungu wangu, wala hatatoka nje tena: nami nitaandika juu yake jina la Mungu wangu, na jina la mji wa Mungu wangu, ambao ni Yerusalemu mpya, ushukao kutoka mbinguni kwa Mungu wangu: na nitaandika juu yake jina langu jipya.” (Ufunuo 3:12) “Mimi ni Alfa na Omega, mwanzo na mwisho, Akasema Bwana Mungu, aliyeko na aliyekuwako na atakayekuja, Mwenyezi.” (Ufunuo 1: 8) “Na nikasikia sauti kama sauti ya makutano mengi, na kama sauti ya maji mengi, na kama sauti ya radi yenye nguvu, ikisema, Haleluya; kwa kuwa Bwana Mungu Mwenyezi humiliki.” (Ufunuo 19: 6) Jina la Mwenyezi Mungu katika Enzi ya Ufalme hasa hutimiza unabii wa Kitabu cha Ufunuo. Mungu ni mwenyezi, Yeye Aliviumba vitu vyote na huvitawala, Naye ni wa Kwanza na wa Mwisho; ni muafaka sana kwetu kumwita Mwenyezi Mungu. Toka huko, watu wamemwita Mungu mwenye mwili Mwenyezi Mungu na pia wamemwita Kristo mwenye mwili Mungu wa Vitendo. Na Kanisa la Mwenyezi Mungu limepata jina hapo.
Wakati injili ya ufalme ilipoenea katika China Bara, Mungu alirudisha kazi yote ya Roho kote ulimwenguni na kuilenga juu ya kundi hili la watu ambao walikubali kazi ya Mungu ya siku za mwisho, na juu ya wale wajaaliwa na ambao walikuwa wamechaguliwa na Mungu na kwa dhati walitafuta njia ya kweli. Kwa sababu kazi ya Roho Mtakatifu ilihamishwa, madhehebu yote na makundi ya dini yalipoteza kazi ya Roho Mtakatifu na kuwa kame, na kuacha watu bila la kufanya ila kutafuta njia ya kweli. Hili hasa limetimiza unabii katika Biblia, “Angalia, siku zinakuja … ambazo nitaleta njaa katika nchi; si njaa ya kukosa chakula, wala kiu ya kukosa maji, bali ni ya kukosa kuyasikia maneno ya BWANA.” (Amosi 8: 11) Chini ya uongozi wa Roho Mtakatifu, wale walio katika madhehebu mbalimbali na makundi ya kidini ambao walifuata ukweli na kwa kweli waliamini katika Mungu walivunja vikwazo na pingamizi za wapinga-Kristo na watumishi waovu, na hatimaye kusikia na kutambua sauti ya Mungu, na watu zaidi na zaidi wakarudi mbele ya enzi ya Mungu. Kila mahali palionekana mahali pazuri pa madhehebu yote kuwa kitu kimoja na mataifa yote kufurika katika mlima huu. Wale katika madhehebu yote na makundi ya kidini ambao kwa kweli walimwamini Mungu waliporudi kwa idadi kubwa, mengi ya madhehebu na makundi ya kidini yaliporomoka na kwa muda mrefu wamekuwepo kwa jina tu. Ni nani angeweza kusimamisha nyayo za kazi ya Mungu? Ni nani angeweza kuwazuia watu wa Mungu waliochaguliwa kurudi kwa Mungu? Ni kama kwamba jumuia nzima ya kidini ilikuwa imenyooshwa. Mkondo wa kurudi ulikuwa kama mawimbi yanayobingirika kwa nguvu. Hakuna nguvu ingekuwa kizuizi kwa kazi ya Mungu! Tangu Mwenyezi Mungu alipoonekana na kazi Yake ikaanza, serikali ya CCP imekuwa haikomi kwa mateso yake ya Kanisa la Mwenyezi Mungu. Kwa msisimko imemuwinda Kristo na watumishi wa Mungu na kwa ukatili kuwatesa watu wa Mungu waliochaguliwa, kujaribu kukomesha kazi ya Mungu ya siku za mwisho. Imeitisha mikutano kadha ya dharura ili kupanga jinsi ya kulikomesha Kanisa la Mwenyezi Mungu. Imeandaa na kutoa hati nyingi za siri na kutekeleza njia mbalimbali ambazo ni mbovu na za kishetani: wakiweka matangazo kila mahali, kutoa taarifa za umma, kwa kutumia televisheni, radio, magazeti, mtandao, na vyombo vingine vya habari ili kwa utukutu kutunga uvumi, uzushi na kutoa ushahidi wa uongo, kulikashifu Kanisa la Mwenyezi Mungu; kuwafunda watu kwa lazima kwa mafundisho mabaya na hoja za uwongo, na kuwatia watu kasumba na kuwasimilisha; kutumia Kanisa la Utatu wa Binafsi ili kusimamia na kudhibiti, kutuma wapelelezi ili kuchunguza hadharani na kuuliza kwa siri, na kutumia vidhibiti katika umma, kuagiza ufuatiliaji na majirani, na kuhimiza watu waandikishe taarifa kwa kuwaahidi malipo makubwa; kufanya upekuzi wa kiholela katika nyumba za watu, kupekua nyumba zao na kuwanyang'anya mali yao, kuwanyang'anya pesa kwa njia ya faini na kukusanya mali kwa njia zisizo za haki; kufanya kukamatwa kwa siri kwa watu wa Mungu waliochaguliwa, kuwaweka kizuizini na kuwafunga katika kambi za kazi wanavyopenda, kutafuta ushahidi kwa njia ya mateso, kuangamiza mwili na akili, na kwapiga watu hadi kifo bila woga; hata kutumia polisi wenye silaha na askari kukandamiza Kanisa la Mwenyezi Mungu; na kadhalika. Serikali ya CCP imewakamata na kuwatesa kinyama Wakristo wa Kanisa la Mwenyezi Mungu—watu wa Mungu waliochaguliwa, kuwasababishia athari za wizi wa mali yao kifidhuli na kupata maumivu na mateso ya kimwili na kiroho, na hata kusababisha vifo vingi. Hatua za serikali zimekuwa za kuogofya. Kama ilivyonakiliwa, angalau Wakristo kumi wameteswa hadi kufa. Kwa mfano: Xie Yongjiang (mwanamume, wa umri wa miaka 43), Mkristo katika Mji wa Wugou wa Wilaya ya Suixi, Jimbo la Anhui, alikamatwa kwa siri na polisi alfajiri ya Aprili tarehe 30, 1997 na kudhulumiwa hadi kufa. Mei 10, wakati familia ya Xie ilipouona mwili wake katika tanuu ya kuchomea maiti, alikuwa mweusi na wa zambarau mwili wote na mawaa ya damu yalimjaa, na alipata majeraha kadhaa ya kufisha kwa kichwa chake. Ye Aizhong (mwanamume, wa umri wa miaka 42), Mkristo wa Wilaya ya Shuyang, Jimbo la Jiangsu, alikamatwa na polisi wa CCP Machi 26, 2012 wakati akinunua bidhaa kwa ajili ya Kanisa. Siku ya tatu, alipigwa hadi kufa. Jiang Guizhi, Mkristo katika Mtaa wa Qinghe wa Wilaya ya Pingyu, Jimbo la Henan (mwanamke, wa umri wa miaka 46, kiongozi mwandamizi wa Kanisa la Mwenyezi Mungu wakati huo), alikamatwa kwa siri na kufungwa na polisi wa CCP Januari 4, 2013 katika Jiji la Xinmi, Jimbo la Henan. Maafisa wa polisi walianzisha mahakama haramu na kutumia mateso ili kumfanya akiri. Mapema asubuhi ya Februari 12, Jiang alikufa kutokana na unyanyasaji wa kimwili uliotolewa na polisi … Zaidi ya hapo, makumi ya maelfu ya Wakristo wengine pia wamekamatwa na kufungwa na polisi wa CCP. Baadhi walidungwa sindano za dawa na hatimaye kupata skizofrenia; baadhi yao walilemazwa vibaya hivi kwamba waliachwa bila ya uwezo wa kujihudumia; baadhi yao walifungwa katika kambi za kazi, na baada ya kufunguliwa kwao, walikuwa wakifuatiliwa na serikali ya CCP na kunyimwa uhuru wao binafsi. Kwa mujibu wa takwimu za kadiri, katika miaka miwili mifupi kutoka mwaka wa 2011 hadi 2013, idadi ya 380,380 ya watu wa Mungu waliochaguliwa walikamatwa na kuwekwa kizuizini na serikali ya CCP katika China Bara. Miongoni mwa watu hawa, 436,40 walipata kila aina ya mateso wakiwa chini ya masaili haramu; 111,740 walikabiliwa na mashtaka mbalimbali na bila tahayuri wakatozwa faini au kupokonywa zaidi ya RMB (sarafu za China) 243,613,000; nyumba za watu 35,330 zilipekuliwa, na angalau RMB (sarafu za China) 1,000,000,000 (ikiwa ni pamoja na matoleo ya kanisa na mali binafsi) zilichukuliwa ngawira kwa lazima na bila sababu na vikosi vya usalama wa umma na wadogo wao au kuchukuliwa na maafisa waovu wa polisi. Linapokuja suala la kukamatwa na kuteswa serikali ya CCP kwa Wakristo wa Kanisa la Mwenyezi Mungu, hizi ni takwimu za kadiri, na linapokuja suala la Wakristo wote wa Kanisa la Mwenyezi Mungu, hii ni sehemu ndogo tu. Kwa kweli, tangu Mwenyezi Mungu alipoanza kazi Yake, idadi kubwa ya Wakristo wa Kanisa la Mwenyezi Mungu wametiwa mbaroni, kuteswa, kufuatwa kwa siri, au kufuatiliwa na serikali ya CCP. Ilitumia kila njia ya kikatili kulikandamiza Kanisa la Mwenyezi Mungu, na kugeuza Uchina Bara kuwa ulimwengu wa ugaidi. Aidha, kanisa pia lilikashifiwa, kushutumiwa, na kushambuliwa na madhehebu yote na makundi ya kidini. Hii ghafla ilisababisha uvumi kuenea na dhoruba za kila aina ya kashfa, unyanyasaji, na dhuluma. Jamii nzima na jamuia ya kidini zilijawa na kila aina ya sifa mbaya. Ukinzani mpotovu wa wanadamu dhidi ya Mungu wa kweli na usumbufu wa njia ya kweli ulikuwa umefikia kilele chake.
Kwa kuwa wanadamu walikuwa wamepotoshwa na Shetani, Mungu hajawahi kusimamisha mpango wa usimamizi Wake kwa ajili ya kuwaokoa wanadamu. Wanadamu, hata hivyo, hawajui ukweli, wala kumjua Mungu. Kwa sababu hiyo, kila wakati Mungu anapokuwa mwili ili kuanza kazi mpya, Yeye hukataliwa na kuteswa na wale walio madarakani na makundi ya kidini. Miaka elfu mbili iliyopita, wakati Yesu alipopata mwili, Yeye Aliteswa na kukamatwa na serikali ya Kirumi na imani ya Kiyahudi, na mwishowe akasulubiwa. Katika siku za mwisho, tangu Mungu aliporudi kwa mwili nchini China kufanya kazi ya hukumu, Ameteswa kwa ukatili na kuwindwa na serikali ya CCP, na pia kulaaniwa, kusingiziwa, kushutumiwa, na kukataliwa na madhehebu yote na makundi ya Ukristo. Ni ishara ya wazi ya upotovu na uovu wa mwanadamu. Unaweza kufikiria jinsi ilivyo vigumu kwa Mungu kufanya kazi Yake katika ngome kama hiyo ya mapepo, ambapo mawingu meusi hulemeza kwa uzito na pepo zimeshika madaraka. Hata hivyo, Mungu ni mwenyezi, na Ana mamlaka ya juu na nguvu. Bila kujali jinsi majeshi ya Shetani yameenea, bila kujali jinsi hupinga na kuzindua mashambulizi, yote ni ya bure. Kwa kadiri ya miaka 20, injili ya ufalme wa Mwenyezi Mungu imeenea kote katika Uchina Bara chini ya ukandamizaji mkali. Elfu mia kadha za makanisa zimeibuka nchini kote na mamilioni ya watu wamelinyenyekea jina la Mwenyezi Mungu. Karibu mara mmoja, madhehebu yote na makundi ya kidini yamepatwa na huzuni, kwa kuwa kondoo wa Mungu wamesikia sauti ya Mungu, na tayari wamerudi kufuatia sauti, wameanguka mbele za Mungu, na kwa binafsi kunyunyiziwa maji na kuchungwa na Mungu. Hili limetimiza unabii katika Biblia kuwa "na mataifa yote yatauendea." Haliepukiki kwamba waumini wa kweli katika Mungu watarejea kwa Mwenyezi Mungu hatimaye, kwa sababu hili kwa muda mrefu limekuwa limepangwa na kujaaliwa na Mungu. Hakuna mtu anayeweza kubadilisha hilo! Wale waumini wa uongo ambao imani yao katika Mungu ni ili tu wale mikate na kushiba kabisa, na wale maadui mbalimbali ambao hufanya maovu, humpinga na kumlaani Mwenyezi Mungu wote wameondolewa na kazi ya Mungu. Jumuia nzima ya kidini imeharibiwa na kuchanguliwa na kazi ya Mungu. Kazi ya Mwenyezi Mungu hatimaye imetamatika katika utukufu. Katika kipindi hiki, licha ya upinzani wa hasira na ukandamizaji wa umwagaji damu wa serikali ya CCP, injili ya ufalme ya Mungu bado imeenea kwa kasi ya umeme. Njama ya CCP ya kuondoa na kufuta kazi ya Mungu imeishia kushindwa. Majeshi yote ya maovu yanayompinga Mungu yameharibiwa kabisa na kuangushwa katikati ya hukumu ya Mungu ya adhima na hasira. Kama tu Mwenyezi Mungu anavyosema, “Wale wote ambao Nawapenda wataishi milele kwa hakika, na wale wote wanaosimama dhidi Yangu wataadhibiwa na Mimi milele kwa hakika. Kwani Mimi ni Mungu mwenye wivu, Sitawasamehe kwa urahisi wanadamu kwa kile watakachokuwa wametenda. Nitaiangalia dunia yote, na, Nikitokea Mashariki ya dunia na haki, adhama, gadhabu, na adhabu, Nitajionyesha binafsi kwa wanadamu wengi wa tabaka mbalimbali!” (kutoka kwa “Tamko la Ishirini na Sita” la Matamshi ya Mungu kwa Ulimwengu Mzima katika Neno Laonekana katika Mwili) “Ufalme Wangu unaenea katika ulimwengu mzima, na kiti Changu cha enzi kimenyakua mioyo ya matrilioni ya watu. Kwa usaidizi wa malaika wa mbinguni, utimilifu Wangu mkuu utakamilika hivi karibuni. Halaiki zote za Wanangu na watu Wangu, wanangoja kwa hamu kurejea Kwangu, wakitarajia kuunganishwa Kwangu nao, tusije tukatengana tena. Itawezekanaje watu wote wa ufalme Wangu wasikimbie wakifurahiana kila mmoja kwa kuunganika pamoja na Mimi tena? Inawezekana huu uwe muungano usio na gharama? Mimi Ninaheshimiwa machoni pa kila mtu, Ninadhihirika katika maneno ya kinywa cha kila mtu. Nitakaporejea, Nitashinda nguvu zote za adui hata zaidi. Wakati umewadia! Ninataka kazi Yangu ianze, Ninataka kuwa kiongozi mkuu juu ya mwandamu! Tazama, Ninarejea! Ninaondoka! Hili ndilo kila mmoja anatarajia, ndilo kila mmoja anatumainia. Nataka kila mmoja ashuhudie kufika kwa siku Yangu na aikaribishe siku Yangu kwa furaha tele!” (Kutoka kwa “Tamko La Ishirini Na Saba” la Matamshi ya Mungu kwa Ulimwengu Mzima katika Neno Laonekana katika Mwili) Injili ya ufalme inapoenea, Kanisa la Mwenyezi Mungu linakua kubwa zaidi daima, na idadi ya waumini huongezeka bila kukoma. Leo, limesitawi kuliko wakati mwingine wowote. Neno lililoonyeshwa na Mwenyezi Mungu—Kristo wa siku za mwisho—kwa muda mrefu limekwishaenea kwa maelfu ya kaya, na limekubaliwa na watu zaidi na zaidi. Neno la Mungu limethibitisha mamlaka Yake makuu na nguvu. Ukweli huu usiopingika unathibitisha kabisa kwamba "Yote hupatikana kwa maneno ya Mungu!"
"Hapo mwanzo kulikuwako na Neno, naye Neno alikuwako kwa Mungu, naye Neno alikuwa Mungu." (Yohana 1:1) Hapo mwanzo, Mungu aliziumba mbingu na dunia na kila kitu ndani yazo na neno, na kuwaongoza watu kwa neno. Katika siku za mwisho, Mungu pia hutimiza kila kitu kwa neno. Ukamilifu wa watu wa Mungu waliochaguliwa na utambuzi wa ufalme wa Kristo vyote vitapatikana kwa neno la Mungu. Kwa hivyo, hakuna kitu cha kipekee kuhusu jinsi Kanisa la Mwenyezi Mungu lilivyochipuka kutoka kwa kazi ya Mungu ya neno, lina maendeleo chini ya uongozi wa neno la Mwenyezi Mungu, na, zaidi ya hayo, linakua licha ya ukandamizaji wa kikatili na mateso ya serikali ya CCP na shutuma ya hasira na upinzani wa majeshi ya wapinga-Kristo katika makundi ya kidini. Hii inaonyesha kikamilifu mamlaka na nguvu ya neno la Mungu. Inaweza kusemwa kwamba, bila ya kuonekana na kazi ya Mwenyezi Mungu, hakungekuwa na Kanisa la Mwenyezi Mungu, na kwamba bila maneno yaliyoonyeshwa na Mungu, pia ingekuwa kwamba Kanisa la Mwenyezi Mungu halingekuwepo. Leo, Yeye Anamwagilia maji na kulisha watu Wake waliochaguliwa kwa mamilioni ya maneno ambayo Yeye huonyesha, na wale wote ambao wamekubali Kazi yake wanafurahia uchungaji wa maneno Yake na kuihisi kazi Yake ya kuokoa mwanadamu. Mwenyezi Mungu anasema, “Katika ulimwengu mzima Mimi Ninafanya kazi Yangu, na katika Mashariki, mashambulio ya radi yanapiga bila kukoma, kutikisa dini zote na madhehebu. Ni sauti Yangu ndiyo iliyoleta watu katika wakati wa sasa. Nimeiwacha sauti Yangu kuwa inayowashinda wanadamu; wote wanaingia katika mkondo huu na wote wananyenyekea mbele Zangu, kwa maana Mimi kwa muda mrefu uliopita Nilijirudishia utukufu Wangu kutoka duniani kote na Nikaupeleka upya Mashariki. Ni nani asiye na hamu ya kuuona utukufu Wangu? Ni nani asiyesubiri kwa hamu kurudi Kwangu? Ni nani asiye na kiu cha kuonekana Kwangu tena? Ni nani asiyetamani kuuona uzuri Wangu? Ni nani asiyetaka kuja kwenye mwanga? Ni nani asiyeona utajiri wa Kanaani? Ni nani asiyengoja kwa hamu kurudi kwa Mkombozi? Ni nani asiyempenda kwa dhati Mkuu Mwenyezi? Sauti Yangu lazima ienee kote duniani; Ningependa kuzungumza zaidi na watu Wangu wateule. Maneno Ninayotamka yanatikisa milima na mito kama radi yenye nguvu; Nasema na ulimwengu wote na kwa watu wote. Hivyo maneno Yangu yanakuwa hazina ya mwanadamu, na watu wote wanayahifadhi kwa upendo mkubwa. Umeme wa radi unaangaza kutoka mashariki mpaka Magharibi. Maneno Yangu ni jinsi kwamba mtu huchukia kuyaacha na pia kuyaona kama yasiyoeleweka, lakini zaidi ya yote, mwanadamu anayafurahia. Kama watoto wachanga waliozaliwa karibuni, watu wote wana uchangamfu na furaha, wakisherehekea kuja Kwangu. Kwa sababu ya sauti Yangu, Nitawaleta watu wote mbele Yangu. Tangu hapo, Nitaingia kirasmi kati ya wanadamu ili waje kuniabudu Mimi. Utukufu Ninaotoa na maneno Yangu yatawafanya watu wote kuja mbele Yangu na kuona kwamba umeme unaangaza kutoka Mashariki, na kwamba Mimi pia Nimeshuka kwenye "Mlima wa Mizeituni" wa Mashariki. Wataona kwamba Mimi tayari kwa muda mrefu Nimekuwa duniani, si tena Mwana wa Wayahudi lakini kama Umeme wa Mashariki. Kwa maana ni muda mrefu tangu Nimekwishafufuka, Nimekwenda kutoka miongoni mwa wanadamu, na Nimeonekana tena miongoni mwa wanadamu kwa utukufu. Mimi ndiye Nilichiwa kabla ya enzi, na "mtoto mchanga" aliyeachwa na Israeli kabla ya enzi. Aidha, Mimi ndimi mwenye utukufu wote mtukufu Mwenyezi Mungu wa enzi hii! Hebu wote waje mbele ya kiti Changu cha enzi ili waone uso Wangu mtukufu, kusikia sauti Yangu, na kuangalia matendo Yangu. Huu ndio ukamilifu wa mapenzi Yangu; ni mwisho na kilele cha mpango Wangu, na vilevile madhumuni ya usimamizi Wangu. Basi kila taifa liniabudu Mimi, kila ulimi unikiri Mimi, kila mtu aniamini Mimi, na kila mtu awe mmoja wa wale walio chini Yangu!” (kutoka kwa “Ngurumo Saba Zatoa Sauti—Zikitabiri Kuwa Injili Ya Ufalme Itaenea Kote Ulimwenguni” katika Neno Laonekana katika Mwili) watu wa Mungu waliochaguliwa wamepokea wokovu mkuu kwa sababu ya neno la Mwenyezi Mungu. Kazi ya Mungu katika China Bara hatimaye imeisha katika utukufu. Sasa watu wa Mungu waliochaguliwa wanaeneza neno Lake na kushuhudia matendo yake kwa kila nchi na mahali. Neno la Mungu litaenezwa katika ulimwengu wote, na Yeye hivi karibuni Ataonekana hadharani kwa mataifa yote na watu wote. Watu wa kila nchi na kila mahali wanaotamani sana kuonekana kwa Mungu hawangeweza kuamini kwamba Mungu ambaye wanatamani Aonekane hadharani tayari Ameshuka kwa siri China na kutekeleza hatua moja ya kazi ya ushindi na wokovu.
Katika siku za mwisho, wakati enzi i karibu kuisha, Mungu amekuwa mwili na kwa siri kushuka kwa makao ya joka kubwa jekundu, mkusanyiko mkuu wa watawala wa kidikteta: China, ngome ya ukanaji Mungu. Kwa hekima yake rudufu na nguvu, Mungu hufanya vita dhidi ya Shetani na hutekeleza kazi muhimu katika mpango Wake wa usimamizi—kushindwa kikamilifu kwa Shetani na wokovu wa watu wote. Ilhali kwa sababu ya madai yasiyo na msingi, shutuma, uzushi, na kashfa ya CCP iliyo uongozini, wengi wa wale ambao hawajui ukweli huamini uvumi wa CCP. Vikundi vya kidini, hasa, huendelea kulaani na kukufuru ujio wa Mungu hata leo, na wao husimama kabisa upande wa kukana Mungu wa serikali ya CCP kuipinga kazi ya Mungu. Ni sikitisho lilioje! Watu hawa kamwe hawatarajii kwamba Mwenyezi Mungu, Yule wanaompinga, hasa ni Bwana Yesu aliyerudi. Wakati Mungu huonekana hadharani, wao tu watalia hali wakisaga meno na kupiga vifua vyao. Hili kabisa hutimiza maneno ya kitabu cha Ufunuo, “Tazama, yuaja na mawingu; na kila jicho litamwona, na hao pia waliomchoma: na makabila yote ya dunia yataomboleza kwa ajili yake. Hata hivo, Amina.” (Ufunuo 1: 7) Hukumu ya kiti cha enzi kikubwa cheupe hatimaye inaanza! Mwenyezi Mungu anasema, “Katika ufalme, vitu vingi visivyohesabika vya uumbaji vinaanza kufufuka na kupata nguvu ya maisha yao. Kwa sababu ya mabadiliko katika hali ya dunia, mipaka kati ya nchi moja na nyingine pia inaanza kusonga. Hapo awali, Nimetabiri: Wakati ardhi itagawanywa kutoka kwa ardhi, na ardhi kujiunga na ardhi, huu ndio utakuwa wakati ambao Nitayapasua mataifa kuwa vipande vidogo. Katika wakati huu, Nitafanya upya uumbaji wote na kuugawa tena ulimwengu mzima, hivyo kuweka ulimwengu katika mpangilio, Nikibadilisha hali yake ya awali kuwa mpya. Huu ndio mpango Wangu. Hizi ni kazi Zangu. Wakati mataifa na watu wa dunia watakaporudi mbele ya kiti Changu cha enzi, basi Nitachukua fadhila ya mbinguni na kuiweka kwa sababu ya ulimwengu wa binadamu, ili, kwa mujibu Wangu, itajazwa na fadhila isiyo ya kufananisha. Lakini ulimwengu wa kitambo ukiendelea kuwepo, Nitavurumisha hasira Yangu kwa mataifa yake, Nikipitisha wazi amri Zangu za utawala katika ulimwengu mzima, na kuleta adhabu kwa yeyote anayeyakiuka: Ninapougeuza uso Wangu kwa ulimwengu kuzungumza, binadamu wote wanasikia sauti Yangu, na hapo kuona kazi yote ambayo Nimefanya katika ulimwengu. Wale wanaoenda kinyume na mapenzi Yangu, hivyo ni kusema, wanaonipinga kwa matendo ya mwanadamu, watapata adhabu Yangu. Nitachukua nyota nyingi mbinguni na kuzitengeneza upya, na kwa mujibu Wangu jua na mwezi vitafanywa upya—anga hazitakuwa tena jinsi zilivyokuwa hapo awali; vitu visivyohesabika duniani vitafanywa kuwa vipya. Yote yatakuwa kamili kupitia maneno Yangu. Mataifa mengi katika ulimwengu yatagawanishwa upya na kubadilishwa kuwa taifa Langu, ili kwamba mataifa yote yaliyomo duniani yatatoweka milele na kuwa taifa linaloniabudu Mimi; mataifa yote ya dunia yataangamizwa, na hayatakuwepo tena. Kati ya binadamu walio ulimwenguni, wale wote walio wa Shetani wataangamizwa; wale wote wanaomwabudu Shetani watalazwa chini na moto Wangu unaochoma—yaani, isipokuwa wale walio ndani ya mkondo, waliobaki watabadilishwa kuwa jivu. Nitakapoadhibu watu wengi, wale walio katika dunia ya kidini, kwa viwango tofauti, watarudi kwa ufalme Wangu, wakiwa wameshindwa na kazi Yangu, kwani watakuwa wameona kufika kwa “Aliye Mtakatifu akiwa amebebwa juu ya wingu jeupe.” Binadamu wote watafuata aina yao, na watapokea adhabu itakayotofautiana kulingana na walichofanya. Wale ambao wamesimama kinyume na Mimi wataangamia; na kwa wale ambao matendo yao duniani hayakunihusisha, kwa sababu ya vile wamejiweka huru wenyewe, wataendelea kuwa duniani chini ya uongozi wa wana Wangu na watu Wangu. Nitajionyesha kwa mataifa mengi yasiyohesabika, Nikipaza sauti Yangu kote duniani Nikitangaza kukamilika kwa kazi Yangu kuu ili wanadamu wote waone kwa macho yao.” (kutoka kwa “Tamko la Ishirini na Sita” la Matamshi ya Mungu kwa Ulimwengu Mzima katika Neno Laonekana katika Mwili) Katika historia ya binadamu, twaona jinsi majeshi yote ya mwovu ambayo humpinga Mungu bila haya na kwa hasira kumpinga Mungu yameangamizwa na Mungu. Miaka elfu tatu iliyopita, kutokana na dhambi zao za kusikitisha, miji ya Sodoma na Gomora iliharibiwa kwa moto na kiberiti ambazo Mungu alituma kutoka mbinguni. Hivyo, pia, ndivyo Milki ya Kirumi ilivyoharibiwa na majanga kutoka kwa Mungu kutokana na upinzani wake na hukumu kwa Bwana Yesu na mateso yake kwa Wakristo. Katika siku za mwisho, nguvu yoyote mbovu itakayomhukumu na kumpinga Mungu italaaniwa na Mungu na kwa hakika kuharibiwa na Yeye. Hii hasa ndio tabia ya haki ya Mungu!
Mwenyezi Mungu anasema, “Ufalme unapanuka katikati ya ubinadamu, unachipua katikati ya ubinadamu, unasimama katikati ya ubinadamu; hakuna nguvu inayoweza kuharibu ufalme Wangu. … Hakika, chini ya mwongozo wa mwangaza Wangu, utapenya utawala wa nguvu za giza. Hakika, hutapoteza mwangaza unaokuongoza, katikati ya giza. Hakika utakuwa bwana wa viumbe vyote. Hakika utakuwa mshindi mbele ya Shetani. Hakika, wakati wa maangamizi ya ufalme wa joka kubwa jekundu, utasimama miongoni mwa umati mkubwa kushuhudia ushindi Wangu. Hakika utakuwa shujaa na imara katika nchi ya Sinimu. Kupitia mateso unayovumilia, utarithi baraka zinazotoka Kwangu, na hakika utayaangazia yote ulimwenguni na utukufu Wangu.” (kutoka kwa “Tamko la Kumi na Tisa” la Matamshi ya Mungu kwa Ulimwengu Mzima katika Neno Laonekana katika Mwili) “Hatua tatu za kazi zitakapofikia tamati, patafanyika kundi la watu wanaomshuhudia Mungu, kundi la wale wanaomjua Mungu. Watu hawa wote watamjua Mungu na wataweza kuonyesha ukweli kwa matendo. Watakuwa na utu na hisia, na wote watajua hatua tatu za kazi ya wokovu ya Mungu. Hii ndiyo kazi ambayo itatekelezwa mwishowe, na watu hawa ndio dhihirisho la kazi ya miaka 6,000 ya usimamizi, na ndio ushuhuda wenye nguvu zaidi kwa kushindwa kwa Shetani. Wale wanaoweza kumshuhudia Mungu wataweza kupokea ahadi na baraka za Mungu, na litakuwa ndilo kundi litakalosalia pale mwisho kabisa, lile linalomiliki mamlaka ya Mungu na lililo na ushuhuda wa Mungu. Pengine wale kati yenu wanaweza wote kuwa sehemu ya kundi hili, ama pengine nusu tu, ama wachache tu—inategemea radhi yako na ufuatiliaji wako.” (kutoka kwa “Kujua Hatua Tatu za Kazi ya Mungu Ndiyo Njia ya Kumjua Mungu” katika Neno Laonekana katika Mwili) neno la Mungu litatimizwa, na kwamba lile lililokamilishwa litadumu milele. Kesho ya ufalme ni ng'avu na ya kifahari! Mwenyezi Mungu tayari Ametengeneza kundi la washindi katika China Bara. Kazi ya Mungu ya siku za mwisho tayari imekamilika! Sasa, kazi ya majaribio iliyofanywa na Mungu wakati wa kuja kwake kwa siri katika China imemalizika katika utukufu, na Yeye hivi karibuni Ataonekana hadharani kwa mataifa na maeneo yote. Watu waliochaguliwa wa Kanisa la Mwenyezi Mungu ni kundi la washindi ambao walitengenezwa na Mungu China. Kuubeba ujumbe mtakatifu, wanatoa ushuhuda kwa kazi ya Mungu na kutangaza jina takatifu la Mungu kwa mataifa na maeneo yote. Injili ya ufalme wa Mwenyezi Mungu inaenea kwa kasi duniani kote. Neno Laonekana katika Mwili yapatikana bila kizuio kwa mtandao kwa mataifa na maeneo yote kutafuta na kuchunguza. Hakuna mtu anayethubutu kukana kwamba hayo ni maneno ya Mungu, na hakuna mtu anayethubutu kukana kwamba hayo ni ukweli. Watu zaidi na zaidi walio na kiu cha ukweli na wanaotamania mwanga wanatafuta na kuchunguza kazi ya Mwenyezi Mungu ya siku za mwisho. Matawi ya Kanisa la Mwenyezi Mungu yameanzishwa katika nchi kadhaa kubwa na mikoa kote duniani wakati watu zaidi na zaidi wanaporudi kwa Mwenyezi Mungu. Wanadamu hatua kwa hatua wanaamka katikati ya neno la Mungu, na wameanza kukubali na kujua ukweli. Neno la Mungu litawaongoza binadamu wote na kukamilisha kila kitu. Watu wote ambao kwa kweli wanaamini katika Mungu na kutafuta njia ya kweli hakika watarudi kwa Mungu na kuwa watiifu mbele ya kiti Chake, na wanadamu wote watajua kwamba Mungu amekuja, na ameonekana, na kwamba jina Lake hakika litakuwa miongoni mwa watu wote.

0 评论:

Chapisha Maoni