Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Video. Onyesha machapisho yote
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Video. Onyesha machapisho yote
Jumatatu, 10 Juni 2019
Sauti na maneno ya Roho Mtakatifu | “Mungu na Mwanadamu Wataingia Rahani Pamoja” sehemu ya kwanza
By Mwenyezi Mungu ni Mchungaji WanguJuni 10, 2019Kazi-ya-Mungu, Neno-la-Mungu, Roho-Mtakatifu, Usomaji-wa-Maneno-ya-Mwenyezi-Mungu, VideoNo comments

Sauti na maneno ya Roho Mtakatifu | “Mungu na Mwanadamu Wataingia Rahani Pamoja” sehemu ya kwanza
Mwenyezi Mungu anasema, “Kuingia rahani hakumaanishi kwamba mambo yote yatakoma kusonga, ama kwamba mambo yote yatakoma kuendelea, wala hakumaanishi kwamba Mungu atakoma kufanya kazi ama mwanadamu atakoma kuishi. Ishara ya kuingia rahani ni...
Jumatano, 5 Juni 2019
By Mwenyezi Mungu ni Mchungaji WanguJuni 05, 2019sauti-ya-Mungu, siku-za-mwisho, Ufalme-wa-Mbinguni, Usomaji-wa-Maneno-ya-Mwenyezi-Mungu, VideoNo comments

Matamshi ya Kristo wa Siku za Mwisho | “Mungu na Mwanadamu Wataingia Rahani Pamoja” Sehemu ya Pili
Mwenyezi Mungu anasema, “Mungu aliumba binadamu na Akawaweka duniani, ambao Amewaongoza mpaka siku ya leo. Kisha Akaokoa binadamu na kuhudumu kama sadaka ya dhambi kwa binadamu. Mwishowe lazima bado ashinde binadamu, aokoe binadamu kabisa...
Alhamisi, 30 Mei 2019
By Mwenyezi Mungu ni Mchungaji WanguMei 30, 2019maneno-ya-Mungu, Mfuateni-Mwanakondoo-na-Kuimba-Nyimbo-Mpya, Upendo-wa-Mungu, Video, Wimbo-wa-KuabuduNo comments

Wimbo wa Kuabudu | "Sifa kwa Maisha Mapya katika Ufalme" | Watu wa Mungu Humsifu na Kumwabudu Mungu
Tumesikia sauti ya Mungu na kurudi nyumbani Kwake.
Mikutanoni tunakula na kunywa maneno ya Mungu, tunahudhuria karamu.
Sisi tunaaga huzuni na vifungo vyetu, tunaishi maisha mapya.
Maneno ya Mungu yako nasi kila siku, tunastarehe ndani...
Jumamosi, 18 Mei 2019
Neno la Mungu | “Mwanadamu Mpotovu Hawezi Kumwakilisha Mungu”
By Mwenyezi Mungu ni Mchungaji WanguMei 18, 2019Kumjua-Mungu, Neno-la-Mungu, Roho-Mtakatifu, Usomaji-wa-Maneno-ya-Mwenyezi-Mungu, VideoNo comments

Neno la Mungu | “Mwanadamu Mpotovu Hawezi Kumwakilisha Mungu”
Mwenyezi Mungu anasema, “Vitendo vyote na matendo ya Shetani vinaonyeshwa kupitia kwa binadamu. Sasa vitendo vyote na matendo yote ya binadamu ni maonyesho ya Shetani na hivyo basi haviwezi kumwakilisha Mungu. Binadamu ni mfano halisi wa Shetani, na tabia ya mwanadamu haiwezi kuiwakilisha...
Jumapili, 12 Mei 2019
Matamshi ya Kristo wa Siku za Mwisho | “Mungu Mwenyewe, Yule wa Kipekee IX Mungu ni Chanzo cha Uhai kwa Vitu Vyote (III)” Sehemu ya Pili
By Mwenyezi Mungu ni Mchungaji WanguMei 12, 2019maisha, Neno-la-Mungu, siku-za-mwisho, Usomaji-wa-Maneno-ya Mwenyezi-Mungu, VideoNo comments

Matamshi ya Kristo wa Siku za Mwisho | “Mungu Mwenyewe, Yule wa Kipekee IX Mungu ni Chanzo cha Uhai kwa Vitu Vyote (III)” Sehemu ya Pili
Mwenyezi Mungu anasema, “Vitu vyote haviwezi kutenganishwa na kanuni ya Mungu, na hakuna mtu hata mmoja ambaye anaweza kujitenganisha kwenye kanuni Yake. Kupoteza kanuni Yake na kupoteza uangalizi wake...
Jumamosi, 20 Aprili 2019
Wimbo wa Kuabudu | "Tabia ya Haki ya Mungu ni ya Pekee" | How to Know God
By Chris ZhouAprili 20, 2019Asili-ya-mtu, Kumcha-Mungu, Kumjua-Mungu, nyimbo-za-kikristo, tabia-ya-Mungu, Video, Video-za-Nyimbo-za-DiniNo comments

Wimbo wa Kuabudu | "Tabia ya Haki ya Mungu ni ya Pekee" | How to Know God
Mungu huonyesha tabia Yake ya haki kupitia mbinu na kanuni za kipekee,
haidhibitiwi na watu, matukio au vitu.
au kumshawishi Ajaribu njia tofauti.
Na hakuna awezaye kubadili dhana au mawazo Yake,
Mungu huhuku matendo na mawazo yote ya viumbe kwa tabia Yake...
Matamshi ya Mungu | “Mungu Mwenyewe, Yule wa Kipekee III Mamlaka ya Mungu II” Sehemi ya Tatu
By Chris ZhouAprili 20, 2019Kiumbe-Aliyeumbwa, Neno-la-Mungu, Usomaji-wa-Maneno-ya-Mwenyezi-Mungu, uzima, VideoNo comments

Matamshi ya Mungu | “Mungu Mwenyewe, Yule wa Kipekee III Mamlaka ya Mungu II” Sehemi ya Tatu
Mwenyezi Mungu alisema, "Baada ya mtu kupita utoto na wakati wake wa kubaleghe na kwa utaratibu bila kuzuilika kufikia ukomavu, hatua inayofuata ni kwake yeye kuuaga kabisa ule ujana wake, kuwaaga wazazi wake, na kukabiliana na barabara iliyo mbele yake...
Jumanne, 16 Aprili 2019
“Mungu Mwenyewe, Yule wa Kipekee X Mungu ni Chanzo cha Uhai kwa Vitu Vyote (IV)” Sehemu ya Tatu
By Chris ZhouAprili 16, 2019kukamilishwa-na-Mungu, Neno-la-Mungu, siku-za-mwisho, Usomaji-wa-Maneno-ya-Mwenyezi-Mungu, Video, watu-wa-MunguNo comments

“Mungu Mwenyewe, Yule wa Kipekee X Mungu ni Chanzo cha Uhai kwa Vitu Vyote (IV)” Sehemu ya Tatu
3. Mzunguko wa Uhai na Mauti wa Watu Wanaomfuata Mungu
Baada ya hayo, hebu tuzungumzie mzunguko wa uhai na mauti wa wale wanaomfuata Mungu. Hili linawahusu, hivyo kuweni makini. Kwanza, fikiria kuhusu ni makundi gani ambamo watu wanaomfuata Mungu...
Jumapili, 14 Aprili 2019
Wimbo wa Kuabudu | "Sifa kwa Maisha Mapya katika Ufalme" | Watu wa Mungu Humsifu na Kumwabudu Mungu
By Chris ZhouAprili 14, 2019Bwana-asifiwe, Neno-la-Mungu, Nyimbo-za-Kuabudu, Upendo-wa-Mungu, Video, Video-za-Nyimbo-na-KuchezaNo comments

Wimbo wa Kuabudu | "Sifa kwa Maisha Mapya katika Ufalme" | Watu wa Mungu Humsifu na Kumwabudu Mungu
Tumesikia sauti ya Mungu na kurudi nyumbani Kwake.
Mikutanoni tunakula na kunywa maneno ya Mungu, tunahudhuria karamu.
Sisi tunaaga huzuni na vifungo vyetu, tunaishi maisha mapya.
Tunapofungua mioyo yetu katika ushirika wa kweli, mioyo yetu...
Ijumaa, 12 Aprili 2019
Matamshi ya Mungu | “Mungu Mwenyewe, Yule wa Kipekee II Tabia ya Haki ya Mungu” Sehemu ya Pili
By Chris ZhouAprili 12, 2019Kumjua-Mungu, Neno-la-Mungu, siku-za-mwisho, tabia-ya-Mungu, Usomaji-wa-Maneno-ya-Mwenyezi-Mungu, VideoNo comments

Matamshi ya Mungu | “Mungu Mwenyewe, Yule wa Kipekee II Tabia ya Haki ya Mungu” Sehemu ya Pili
Ingawaje Hasira ya Mungu ni Fiche na Haijulikani kwa Binadamu, Haivumilii Kosa Lolote
Namna Mungu alivyoshughulikia binadamu wote wa ujinga na kutojua ulitokana kimsingi na huruma na uvumilivu. Hasira yake, kwa upande mwingine, imefichwa...
Alhamisi, 11 Aprili 2019
Matamshi ya Mungu | “Mungu Mwenyewe, Yule wa Kipekee VII” Sehemu ya Kwanza
By Chris ZhouAprili 11, 2019Kumjua-Mungu, Neno-la-Mungu, tabia-ya-Mungu, Usomaji-wa-Maneno-ya-Mwenyezi-Mungu, VideoNo comments

Matamshi ya Mungu | “Mungu Mwenyewe, Yule wa Kipekee VII” Sehemu ya Kwanza
Mhutasari wa Mamlaka ya Mungu, Tabia ya Haki ya Mungu, na Utakatifu wa Mungu
Mnapomaliza maombi yenu, je, mioyo yenu inahisi utulivu katika uwepo wa Mungu? (Ndiyo.) Ikiwa moyo wa mtu unaweza kutulizwa, ataweza kusikia na kuelewa neno la Mungu na ataweza kusikia...
Jumatano, 10 Aprili 2019
Matamshi ya Mungu | “Mungu Mwenyewe, Yule wa Kipekee V Utakatifu wa Mungu II” Sehemu ya Nne
By Chris ZhouAprili 10, 2019dutu-ya-Mungu, Kazi-ya-Mungu, Kumjua-Mungu, Neno-la-Mungu, Usomaji-wa-Maneno-ya-Mwenyezi-Mungu, VideoNo comments

Matamshi ya Mungu | “Mungu Mwenyewe, Yule wa Kipekee V Utakatifu wa Mungu (II)” Sehemu ya Nne
Mwenyezi Mungu anasema, “Kuelewa kiini cha Mungu na kujua kiini cha Mungu kinapeana msaada usioweza kupimika kwa kuingia kwa watu katika maisha. Natumai kwamba hamtapuuza haya ama kuyaona kama mchezo; kwa sababu kumjua Mungu ni msingi muhimu na msingi...
Jumanne, 9 Aprili 2019
Matamshi ya Kristo wa Siku za Mwisho | "Kutazama Kuonekana kwa Mungu katika Hukumu na Kuadibu Kwake"
By Chris ZhouAprili 09, 2019Hukumu-ya-Mungu, Kumjua-Mungu, Neno-la-Mungu, Usomaji-wa-Maneno-ya-Mwenyezi-Mungu, VideoNo comments

Matamshi ya Kristo wa Siku za Mwisho | "Kutazama Kuonekana kwa Mungu katika Hukumu na Kuadibu Kwake"
Mwenyezi Mungu anasema, “Hakuna mtu mbali na Yeye anayeweza kujua mawazo yetu yote, au kufahamu asili yetu na kiini chetu kwa dhahiri na ukamilifu, ama kuhukumu uasi na upotovu wa binadamu, ama kusema nasi na kufanya kazi kati yetu kama hivi...
Jumapili, 7 Aprili 2019
Matamshi ya Mungu | “Mungu Mwenyewe, Yule wa Kipekee X Mungu ni Chanzo cha Uhai kwa Vitu Vyote (IV)”
By Chris ZhouAprili 07, 2019imani-katika-Mungu, kumfuata-Mungu, maneno-ya-Mungu, Usomaji-wa-Maneno-ya-Mwenyezi-Mungu, VideoNo comments

Matamshi ya Mungu | “Mungu Mwenyewe, Yule wa Kipekee X Mungu ni Chanzo cha Uhai kwa Vitu Vyote (IV)”
Mwenyezi Mungu alisema, "Kwa kweli, Mungu hana mahitaji sana kwa wanadamu—au angalau, hana mahitaji kama watu wanavyodhani. Bila matamshi ya Mungu, au udhihirishaji wowote wa tabia Yake, matendo, au maneno, basi kumjua Mungu kungekuwa kugumu...
Jumamosi, 6 Aprili 2019
Matamshi ya Mungu | “Namna ya Kujua Tabia ya Mungu na Matokeo ya Kazi Yake” Sehemu ya Kwanza
By Chris ZhouAprili 06, 2019Kumjua-Mungu, Neno-la-Mungu, uaminifu, Usomaji-wa-Maneno-ya-Mwenyezi-Mungu, VideoNo comments

Matamshi ya Mungu | “Namna ya Kujua Tabia ya Mungu na Matokeo ya Kazi Yake” Sehemu ya Kwanza
Kwanza, hebu tuuimbe wimbo wa kumsifu Mungu: Wimbo wa Ufalme (I) Ufalme Umeshuka katika Ulimwengu.
Kiambata: Watu wanamshangilia Mungu, watu wanamsifu Mungu; vinywa vyote vinamwita Mungu mmoja wa kweli. Mfalme unashuka ulimwenguni.
I. Watu wanamshangilia...
Ijumaa, 5 Aprili 2019
Matamshi ya Mungu | “Mungu Mwenyewe, Yule wa Kipekee VI Utakatifu wa Mungu III” Sehemu ya Pili
By Chris ZhouAprili 05, 2019Kumjua-Mungu, Neno-la-Mungu, siku-za-mwisho, Usomaji-wa-Maneno-ya-Mwenyezi-Mungu, VideoNo comments

Matamshi ya Mungu | “Mungu Mwenyewe, Yule wa Kipekee VI Utakatifu wa Mungu (III)” Sehemu ya Pili
Mwenyezi Mungu anasema, “Zaidi ya mwanadamu kutafuta kwa tamaa umaarufu na faida, daima anaendelea kutekeleza uchunguzi wa sayansi na utafiti wa kina, kisha bila kikomo huridhisha mahitaji yake ya mwili na tamaa; yapi tena ni matokeo ya mwanadamu?...
Alhamisi, 4 Aprili 2019
Wimbo wa Injili "Mwana wa Adamu Ameonekana" | Sifu Kurudi kwa Yesu Mwokozi | Watoto Wanacheza Ngoma
By Chris ZhouAprili 04, 2019Bwana-asifiwe, Msururu-wa-MV-za-Ufalme, Neno-la-Mungu, Nyimbo-za-injili, Upendo-wa-Mungu, VideoNo comments

Wimbo wa Injili "Mwana wa Adamu Ameonekana" | Sifu Kurudi kwa Yesu Mwokozi | Watoto Wanacheza Ngoma
Kutoka Mashariki ya ulimwengu (Mashariki ... Mashariki ...),
mwale wa mwanga unatokea (mwanga ... mwanga ...),
ukiangaza njia yote kwenda magharibi.
Mwana wa Adamu ameshuka duniani.
Mwokozi amerejea, Yeye ni Mwenyezi Mungu.
Akionyesha ukweli, Ameanzisha...
Jumanne, 2 Aprili 2019
Wimbo wa Kuabudu | “Wale Wanaompenda Mungu kwa Dhati Wote ni Watu Waaminifu” | Kids Dance
By Chris ZhouAprili 02, 2019Bwana-asifiwe, kumpenda-Mungu, Msururu-wa-MV-za-Ufalme, Nyimbo-za-Kuabudu, Video, wokovu-wa-MunguNo comments

Wimbo wa Kuabudu | “Wale Wanaompenda Mungu kwa Dhati Wote ni Watu Waaminifu” | Kids Dance
Safi na mwaminifu, kama mtoto bila hatia,
mchangamfu na mwenye nguvu za ujana,
wao ni kama malaika wanaokuja ulimwenguni.
Bila udanganyifu, na mioyo iliyo wazi tu, wao ni waadilifu.
Wanatoa mioyo yao kwa Mungu na kupata imani Yake.
Wao ni watu waaminifu...
Jumatatu, 1 Aprili 2019
Matamshi ya Mungu | “Ni Kristo wa Siku za Mwisho Pekee Ndiye Anayeweza Kumpa Mwanadamu Njia ya Uzima wa Milele”
By Chris ZhouAprili 01, 2019Neno-la-Mungu, Neno-Laonekana-katika-Mwili, Ufalme-wa-Mbinguni, Uzima-wa-Milele, Video, WokovuNo comments

Matamshi ya Mungu | “Ni Kristo wa Siku za Mwisho Pekee Ndiye Anayeweza Kumpa Mwanadamu Njia ya Uzima wa Milele”
Mwenyezi Mungu anasema, "Kristo wa siku za mwisho huleta uzima, na huleta kudumu kwa njia ya kweli na ya milele. Ukweli huu ni njia ambayo binadamu atapata uzima, na njia pekee ambayo mtu atamjua Mungu na kuidhinishwa na Mungu. Kama...
Jumapili, 31 Machi 2019
Matamshi ya Mungu | “Mungu Mwenyewe, Yule wa Kipekee I Mamlaka ya Mungu I” Sehemu ya Tano
By Chris ZhouMachi 31, 2019Kazi-ya-Mungu, Kiumbe-Aliyeumbwa, Muumba, Neno-la-Mungu, Usomaji-wa-Maneno-ya-Mwenyezi-Mungu, VideoNo comments

Matamshi ya Mungu | “Mungu Mwenyewe, Yule wa Kipekee I Mamlaka ya Mungu I” Sehemu ya Tano
Mwenyezi Mungu alisema, "Unatazama vipi haswa mamlaka ya Mungu sasa? Kwa vile sasa maneno haya yamezungumziwa kwenye ushirika, unafaa kuwa na maarifa mapya kuhusu mamlaka ya Mungu. Na kwa hivyo Nakuuliza: Mamlaka ya Mungu yanaashiria nini? Je, yanaashiria...