Ijumaa, 7 Juni 2019

Sauti ya Mungu | Sura ya 27


Sauti ya Mungu | Sura ya 27

Mungu mmoja wa kweli anayetawala vitu vyote katika ulimwengu—Kristo mwenyezi! Huu ndio ushuhuda wa Roho Mtakatifu, ni ushahidi dhahiri! Roho Mtakatifu anafanya kazi kuwa na ushuhuda kila mahali, ili kusiwe na mtu yeyote mwenye shaka yoyote. Mfalme wa ushindi, Mwenyezi Mungu! Yeye ameushinda ulimwengu, Ameishinda dhambi na kufanikisha ukombozi! Anatuokoa, kundi hili la watu ambao wamepotoshwa na Shetani, na Anatukamilisha kutekeleza mapenzi Yake. Anatawala dunia nzima, Anaichukua tena na kumfukuza Shetani hadi ndani ya shimo lisilo na mwisho. Anauhukumu ulimwengu, na hakuna mtu anayeweza kukwepa kutoka mikononi Mwake. Anatawala kama Mfalme.

Dunia nzima inafurahia! Inamtukuza Mfalme mshindi—Mwenyezi Mungu! Milele na milele! Unastahili heshima na sifa. Mamlaka na utukufu viwe kwa Mfalme mkuu wa ulimwengu!
Muda ni mfupi, fuata nyayo za Mwenyezi Mungu na uendelee mbele. Nenda kwa uangalifu mkubwa, uwe mwenye huruma kwa mzigo Wake na ugharimike mwenyewe kwa ajili ya mpango Wake wa usimamizi kwa makubaliano na Yeye. Lazima usihifadhi mali zako, na hakuna muda mwingi. Zitoe! Usiziweke! Zitoe! Usiziweke!
Chanzo: Sauti ya Mungu | Sura ya 27
Endelea Kusoma: Kuhusu Kanisa la Mwenyezi Mungu , Maneno ya Mungu | Sura ya 28

0 评论:

Chapisha Maoni