Jaweni na Upendo kwa Ajili ya Mungu | Muziki wa Akapela "Yasifu Maisha Mapya"

Kristo wa siku za mwisho ameonekana, akifanya kazi na kuzungumza miongini mwa wanadamu. Neno lake hutuhukumu, kutuadibu na kututakasa, likituongoza kwenye njia sahihi ya maisha ya binadamu.

Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Hukumu-ya-Kristo. Onyesha machapisho yote
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Hukumu-ya-Kristo. Onyesha machapisho yote

Jumapili, 14 Januari 2018

Ole Wao Wale Wamsulubishae Mungu Mara Nyingine Tena

5. Ole Wao Wale Wamsulubishae Mungu Mara Nyingine Tena Katika siku za mwisho, Mungu amepata mwili katika nchi ya China kufanya kazi, na Ameonyesha mamilioni ya maneno, Akishinda na kuokoa kundi la watu kwa neno Lake na kuikaribisha enzi mpya ya hukumu ikianza na nyumba...

Jumatano, 6 Desemba 2017

Ufahamu wa Kuokolewa | Umeme wa Mashariki

23. Ufahamu wa Kuokolewa Lin Qing Jijini Qingzhou, Mkoa wa Shandong Kwa miaka hii mingi ya kumfuata Mungu, nimeacha furaha ya familia yangu na mwili, na nimekuwa na shughuli nyingi siku nzima nikitimiza wajibu wangu kanisan...

Jumanne, 5 Desemba 2017

Kurudi kwa Mwana Mpotevu | Umeme wa Mashariki

4. Kurudi kwa Mwana Mpotevu Wang Xin Mjini Harbin Katika mwaka wa 1999, nilikuwa kiongozi kutokana na mahitaji ya kazi ya kanisa. Ingawa nilijisikia sana kwamba sikustahili hiyo kazi wakati kwanza nilipoanza, baada ya muda, kutokana na asili yangu ya kiburi na ya kujidai,...

Jumapili, 3 Desemba 2017

Kukubali Ukweli kwa Hakika Ni Nini?

53. Kukubali Ukweli kwa Hakika Ni Nini? Xiaohe Mji wa Puyang, Mkoa wa Henan Hapo awali, kila wakati niliposoma maneno yaliyofichuliwa na Mungu kuhusu jinsi watu hawakubali ukweli, sikuamini kwamba maneno hayo yangetumika kwangu. Nilifurahia kula na kunywa neno la Mungu...