Jaweni na Upendo kwa Ajili ya Mungu | Muziki wa Akapela "Yasifu Maisha Mapya"

Kristo wa siku za mwisho ameonekana, akifanya kazi na kuzungumza miongini mwa wanadamu. Neno lake hutuhukumu, kutuadibu na kututakasa, likituongoza kwenye njia sahihi ya maisha ya binadamu.

Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Wokovu. Onyesha machapisho yote
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Wokovu. Onyesha machapisho yote

Jumatatu, 1 Aprili 2019

Matamshi ya Mungu | “Ni Kristo wa Siku za Mwisho Pekee Ndiye Anayeweza Kumpa Mwanadamu Njia ya Uzima wa Milele”

Matamshi ya Mungu | “Ni Kristo wa Siku za Mwisho Pekee Ndiye Anayeweza Kumpa Mwanadamu Njia ya Uzima wa Milele” Mwenyezi Mungu anasema, "Kristo wa siku za mwisho huleta uzima, na huleta kudumu kwa njia ya kweli na ya milele. Ukweli huu ni njia ambayo binadamu atapata uzima, na njia pekee ambayo mtu atamjua Mungu na kuidhinishwa na Mungu. Kama...

Jumanne, 19 Februari 2019

Neno la Mungu | Jinsi Hatua ya Pili ya Kazi ya Ushindi Huzaa Matunda

Neno la Mungu | Jinsi Hatua ya Pili ya Kazi ya Ushindi Huzaa Matunda Hatua ya kazi ya watenda-huduma ni hatua ya kwanza ya kazi ya ushindi; kwa sasa hii ni hatua ya pili ya kazi ya ushindi. Kwa nini ukamilifu unajadiliwa katika kazi ya ushindi? Ni kuujenga msingi kwa ajili ya siku za baadaye—kwa sasa hii ni hatua ya mwisho katika kazi ya kushinda,...

Jumamosi, 16 Februari 2019

Neno la Mungu | Wale Waliokamilishwa Pekee Ndio Wanaoweza Kuishi Maisha Yenye Maana

Neno la Mungu | Wale Waliokamilishwa Pekee Ndio Wanaoweza Kuishi Maisha Yenye Maana     Mwenyezi Mungu anasema, "Wale waliofanywa kuwa wakamilifu hawawezi tu kuwa watiifu baada ya kushindwa, lakini wanaweza pia kuwa na maarifa wa kazi ya hukumu, kubadilisha tabia yao na kumjua Mungu. Wanapitia njia ya kumpenda Mungu na wamejazwa...

Ijumaa, 15 Februari 2019

Nyimbo za Injili | "Njia Yote Pamoja na Wewe" Mungu ni Upendo

Nyimbo za Injili | "Njia Yote Pamoja na Wewe" Mungu ni Upendo  Nilikuwa kama mashua, ikielea baharini. Ulinichagua, na mahali pazuri Uliniongoza. Sasa katika familia Yako, nikipewa joto na upendo Wako, nina amani kabisa. Unanibariki, Unatoa maneno Yako ya hukumu. Bado sijui jinsi ninavyokosa kuithamini neema Yako. Kila mara nikiasi,...

Jumanne, 29 Januari 2019

Filamu za Injili | "Wimbo wa Ushindi" (5) - Kwa nini Bwana Anarudi Kufanya Kazi ya Hukumu katika Siku za Mwisho

 Filamu za lnjili | "Wimbo wa Ushindi" (5) - Kwa nini Bwana Anarudi Kufanya Kazi ya Hukumu katika Siku za Mwisho      Watu wengi wanaamini kwamba tayari dhambi zetu zimesamehewa na kupata wokovu kwa sababu tulitangaza imani yetu kwa Bwana, basi kwa nini Bwana anakuja kutuchukua moja kwa moja hadi kwenye ufalme wa mbinguni?...

Jumapili, 27 Januari 2019

Nyimbo za Dini | Ni kwa Kufanya Kazi Katika Mwili Pekee Ndiyo Mungu Anaweza Kumpata Binadamu

Nyimbo za Dini | Ni kwa Kufanya Kazi Katika Mwili Pekee Ndiyo Mungu Anaweza Kumpata Binadamu I Kupitia neno la Mungu la utendaji, unyonge wa mwanadamu na uasi yanahukumiwa na kufichuliwa. Kisha wanadamu wanapokea wanachohitaji Wanaona kuwa Mungu amekuja katika ulimwengu huu wa binadam...

Jumatano, 16 Januari 2019

6. Kwa nini husemwa kuwa wanadamu wapotovu wanahitaji zaidi wokovu wa Mungu aliyepata mwili?

6. Kwa nini husemwa kuwa wanadamu wapotovu wanahitaji zaidi wokovu wa Mungu aliyepata mwili?        (Fungu Lililochaguliwa la Neno la Mungu)      Mwanadamu Aliyeanguka Anahitaji Zaidi Wokovu wa Mungu Mwenye Mwili     Mungu alifanyika...

Jumanne, 8 Januari 2019

Best Swahili Christian Worship Song "Maisha Yetu Sio Bure"

Umeme wa Mashariki | Best Swahili Christian Worship Song "Maisha Yetu Sio Bure" Maisha yetu sio bure. Maisha yetu sio bure. Leo tunakutana na Mungu, tunapitia kazi Yake. Tumemjua Mungu katika mwili, wa utendaji na wa hakika. Tumeiona kazi Yake, nzuri na ya ajabu. Kila siku ya maisha yetu sio bure. Tunamshuhudia Kristo kama ukweli na...

Jumapili, 6 Januari 2019

5. Imani Katika Mungu Haipasi Kuwa kwa ajili ya Kutafuta Amani na Baraka Pekee.

Sura ya 7 Vipengele Kadhaa Vingine vya Ukweli Ambao ni wa Kiwango cha Chini Ambao Unafaa Kueleweka na Waumini Wapya 5. Imani Katika Mungu Haipasi Kuwa kwa ajili ya Kutafuta Amani na Baraka Pekee. Maneno Husika ya Mungu: Leo, lazima uwe katika njia sahihi kwani unaamini katika Mungu wa vitendo. Kwa kuwa una imani katika Mungu, hupaswi tu...

Jumanne, 25 Desemba 2018

Swahili Christian Video 2018 | "Ni Vizuri Sana Kutupa Mbali Pingu za Hadhi" | Wokovu wa Mungu

Swahili Christian Video 2018 | "Ni Vizuri Sana Kutupa Mbali Pingu za Hadhi" | Wokovu wa Mungu Baada ya Liang Zhi kumwamini Mungu, bila kukoma alitafuta kwa shauku, na kujitosa katika kutimiza wajibu wake. Baada ya miaka kadhaa, alichaguliwa kama kiongozi wa kanisa. Wakati alipokuwa akitekeleza wajibu wake kama kiongozi wa kanisa, aligundua...

Jumapili, 23 Desemba 2018

1. Mungu aliwakomboa wanadamu katika Enzi ya Neema, hivyo kwa nini bado anahitaji kufanya kazi Yake ya hukumu katika siku za mwisho?

III. Ni Lazima Mtu Ashuhudie Kipengele cha Ukweli Kuhusu Kazi ya Mungu ya Hukumu katika Siku za Mwisho 1. Mungu aliwakomboa wanadamu katika Enzi ya Neema, hivyo kwa nini bado anahitaji kufanya kazi Yake ya hukumu katika siku za mwisho? Aya za Biblia za Kurejelea: "Kwa...

Ijumaa, 21 Desemba 2018

43. Watu Wasio na Hila Sio Lazima Wawe Waaminifu

Umeme wa Mashariki | 43. Watu Wasio na Hila Sio Lazima Wawe Waaminifu Cheng Mingjie Jiji la Xi'an, Mkoa wa Shaanxi Mimi hujiona kuwa mtu wa aina ya kuwa wazi na mchangamfu. Mimi huzungumza na watu kwa njia ya waziwazi; chochote ninachotaka kusema, mimi husema—mimi...

Jumanne, 4 Desemba 2018

62. Sababu ya Kweli ya Kazi Isiyofaa

62. Sababu ya Kweli ya Kazi Isiyofaa Xinyi Mji wa Xi’an, Mkoa wa Shaanxi Katika ziara zangu za karibuni kwa makanisa, mara nyingi niliwasikia viongozi na wafanyakazi wakisema kwamba watu wengine, baada ya kuhudhuria ushirika na mimi, waligeuka hasi, wanyonge na...

Jumamosi, 1 Desemba 2018

Latest Swahili Christian Video "Njia ya mwenendo wa Binadamu" | Hukumu ya Mungu iliniokoa

Latest Swahili Christian Video "Njia ya mwenendo wa Binadamu" | Hukumu ya Mungu iliniokoa Tangu umri mdogo, wazazi wa Cheng Jianguang na walimu walimfundisha sheria kama vile "Uwiano ni hazina, uvumilivu ni wema," "Kunyamazia makosa ya rafiki wazuri hudumisha urafiki mzuri na wa muda mrefu," "Ingawa utaona makosa, ni vyema useme machache"...

Ijumaa, 23 Novemba 2018

Wimbo za Kuabudu "Niko Tayari Kutekeleza Wajibu Wangu kwa Uaminifu" | God Is My Salvation

Umeme wa Masharik | Wimbo za Kuabudu "Niko Tayari Kutekeleza Wajibu Wangu kwa Uaminifu" | God Is My SalvationUmeme wa Masharik Mpendwa Mwenyezi Mungu, ni Wewe ndiye Unayenipenda, uliniinua kutoka kwa rundo la kinyesi hadi kwa mazoezi ya ufalme. Maneno Yako yamenitakasa, yakanifanya nianze kuishi maisha ya furaha. Moyoni mwangu nahisi,...

Jumamosi, 2 Juni 2018

Kanisa la Mwenyezi Mungu | "Kuona Ni Kuamini" Haipaswi Kuaminiwa

Kanisa la Mwenyezi Mungu | "Kuona Ni Kuamini" Haipaswi Kuaminiwa                           Mji wa Zhengzhou, Mkoa wa Henan Awali, nilipokuwa nikisikia watu wakitoa maoni juu ya...

Jumamosi, 26 Mei 2018

Kanisa la Mwenyezi Mungu | 55. Njia ya Pekee ya Kuepuka Maafa

55. Njia ya Pekee ya Kuepuka Maafa Kanisa la Mwenyezi Mungu, Biblia, neema Chaotuo    Mji wa Xiaogan, Mkoa wa Hubei Tangu tetemeko la ardhi la Sichuan, daima nimekuwa na hofu na wasiwasi kwamba siku moja huenda nikakumbwa na maafa. Hasa kwa vile...

Ijumaa, 25 Mei 2018

4. Bila Ya Wokovu wa Mungu, Singeweza Kuwa Hapa Leo

4. Bila Ya Wokovu wa Mungu, Singeweza Kuwa Hapa Leo Zhang Jin, Beijing Agosti 16, 2012    Mimi ni dada mzee mwenye miguu miwili yenye kasoro. Hata wakati hali ya hewa ni nzuri nje, nina shida kutembea, lakini wakati maji ya mafuriko yalipokuwa karibu kunimeza, Mungu aliniruhusu...

Jumatano, 23 Mei 2018

Umeme wa Mashariki | Trela ya Filamu "Yule Anayeshikilia Ukuu Juu ya Kila Kitu" | Mawazo Juu ya Maafa

Umeme wa Mashariki | Trela ya Filamu "Yule Anayeshikilia Ukuu Juu ya Kila Kitu" | Mawazo Juu ya Maafa Watu wengi hufikiri kuwa jaala yao iko mikononi mwao wenyewe. Lakini wakati maafa yanapokuja, yote tunayohisi ni hali ya kutojiweza, woga, na kitisho, na tunahisi kutokuwa...

Alhamisi, 17 Mei 2018

Swahili Christian Video "Mtoto, Rudi Nyumbani" | Hakuna Wokovu Ila Kupitia Kwa Bwana

Swahili Christian Video "Mtoto, Rudi Nyumbani" | Hakuna Wokovu Ila Kupitia Kwa Bwana      Li Xinguang ni mwanafunzi wa shule ya upili ya ngazi ya juu. Alikuwa mvulana mwenye busara na mwenye tabia nzuri tangu alipokuwa mdogo. Wazazi wake na walimu wake walimpenda sana. Alipokuwa akienda katika shule ya kati, alipumbazwa na michezo...