Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Matamshi-ya-Mwenyezi-Mungu. Onyesha machapisho yote
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Matamshi-ya-Mwenyezi-Mungu. Onyesha machapisho yote
Ijumaa, 14 Juni 2019
Matamshi ya Mwenyezi Mungu | Sura ya 34
By wangbaoxinJuni 14, 2019kanisa, Matamshi-ya-Mwenyezi-Mungu, Neno-Laonekana-katika-Mwili, ushuhuda, VitabuNo comments
Mwenyezi Mungu ni mwenye nguvu zote , mwenye kutimiliza yote na Mungu wa kweli kabisa! Habebi tu nyota saba, ana Roho saba, ana macho saba, anafungua mihuri saba na kufungua hati ya kukunja yenye maandishi, lakini zaidi ya hayo Yeye anaendesha mapigo saba na vikasa saba na kufungua radi saba; zamani za kale Yeye alipiga vinumbi saba! Vitu vyote vilivyoumbwa na kufanywa kuwa kamili na Yeye vinapaswa kumsifu, kumpa adhama na kutukuza kiti Chake cha enzi.
Alhamisi, 13 Juni 2019
Matamshi ya Mwenyezi Mungu | Sura ya 33
By Mwenyezi Mungu ni Mchungaji WanguJuni 13, 2019kazi-ya-Roho-Mtakatifu, Kristo, Matamshi-ya-Mwenyezi-Mungu, Neno-Laonekana-katika-Mwili, VitabuNo comments
Matamshi ya Mwenyezi Mungu | Sura ya 33
Ufalme Wangu unawahitaji wale ambao ni waaminifu, wasio wanafiki, na wasio wadanganyifu. Je, si watu wenye moyo safi na waaminifu duniani hawapendwi na watu? Mimi ni kinyume kabisa cha jinsi ilivyo. Inakubalika kwa watu waaminifu kuja Kwangu; Nafurahia mtu wa aina hii, pia Ninamhitaji mtu wa aina hii. Hii ni haki Yangu hasa. Watu wengine ni wajinga; hawawezi kuhisi kazi ya Roho Mtakatifu na hawawezi kuyaelewa mapenzi Yangu.
Jumapili, 2 Juni 2019
Matamshi ya Mwenyezi Mungu | Sura ya 23
By Mwenyezi Mungu ni Mchungaji WanguJuni 02, 2019hukumu, Matamshi-ya-Mwenyezi-Mungu, Neno-Laonekana-katika-Mwili, Ukweli, VitabuNo comments
Matamshi ya Mwenyezi Mungu | Sura ya 23
Kwa ndugu wote ambao wameisikia sauti Yangu: Mmeisikia sauti ya hukumu Yangu kali na mmevumilia mateso yaliyokithiri. Hata hivyo, mnapaswa kujua kwamba katika sauti Yangu kali kumejificha nia Zangu! Ninawafundisha nidhamu ili muweze kuokolewa. Mnapaswa kujua kwamba kwa wana Wangu wapendwa, Nitawafundisha nidhamu na kuwapogoa na kuwafanya muwe wakamilifu hivi karibuni. Moyo Wangu una hamu sana, lakini ninyi hamuelewi moyo Wangu na hamtendi kulingana na neno Langu.
Jumamosi, 4 Mei 2019
Umeme wa Mashariki | Utangulizi
By ye.fengMei 04, 2019Kazi-ya-Mungu, maneno-ya-Mungu, Matamshi-ya-Mwenyezi-Mungu, Neno-Laonekana-katika-Mwili, VitabuNo comments
"Matamshi ya Mungu kwa Ulimwengu Mzima" ni kundi la pili la matamshi yanayoonyeshwa na Kristo. Ndani yake, Kristo Anatumia utambulisho wa Mungu Mwenyewe. Yanajumlisha kipindi cha kuanzia Februari 20, 1992 hadi Juni 1, 1992, na yana jumla ya matamshi arobaini na saba. Namna, maudhui na mtazamo wa maneno ya Mungu katika matamshi haya hayafanani kabisa na "Maneno ya Roho kwa Makanisa." "Maneno ya Roho kwa makanisa" inafichua na kuongoza tabia ya watu ya nje na maisha yao rahisi ya roho. Hatimaye, inaisha kwa "majaribu ya watendaji huduma."
Ijumaa, 22 Februari 2019
Neno la Mungu | "Kuonekana kwa Mungu Kumeleta Enzi Mpya"
Neno la Mungu | “Kuonekana kwa Mungu Kumeleta Enzi Mpya”
Mwenyezi Mungu anasema, "Kuonekana kwa Mungu hurejelea kuwasili Kwake duniani kufanya kazi Yake. Akiwa na utambulisho na tabia Yake, na katika mbinu Yake ya asili, Yeye hushuka miongoni mwa wanadamu kufanya kazi ya kuanzisha enzi mpya na kukamilisha enzi nyingine. Kuonekana kwa aina hii si aina fulani ya sherehe. Si ishara, picha, muujiza, au ono kuu, na hata zaidi si mchakato fulani wa kidini. Ni ukweli halisi ambao waweza kushikwa na kuonekana.
Jumanne, 19 Februari 2019
Neno la Mungu | Jinsi Hatua ya Pili ya Kazi ya Ushindi Huzaa Matunda
Neno la Mungu | Jinsi Hatua ya Pili ya Kazi ya Ushindi Huzaa Matunda
Hatua ya kazi ya watenda-huduma ni hatua ya kwanza ya kazi ya ushindi; kwa sasa hii ni hatua ya pili ya kazi ya ushindi. Kwa nini ukamilifu unajadiliwa katika kazi ya ushindi? Ni kuujenga msingi kwa ajili ya siku za baadaye—kwa sasa hii ni hatua ya mwisho katika kazi ya kushinda, na baada ya hii, kazi ya kuwakamilisha watu itaanza rasmi wakati watakuwa wanapitia dhiki kuu. Jambo la msingi sasa ni ushindi; hata hivyo, hii pia ni hatua ya kwanza ya kukamilisha, kukamilisha ufahamu na utii wa watu, ambayo kwa kweli bado yanajenga msingi wa kazi ya kushinda.
Ijumaa, 27 Julai 2018
Ufafanuzi wa Tamko la Kumi na Saba
By Kuhusu Umeme wa MasharikiJulai 27, 2018Biblia, hukumu, Matamshi-ya-Mwenyezi-Mungu, UkweliNo comments
Ufafanuzi wa Tamko la Kumi na Saba
Kwa kweli, maneno yote kutoka katika kinywa cha Mungu ni mambo ambayo wanadamu hawayajui; yote ni lugha ambayo watu hawajasikia, kwa hiyo inaweza kusemwa hivi: Maneno ya Mungu yenyewe ni siri.
Jumatano, 13 Desemba 2017
Matamshi ya Mwenyezi Mungu | Amri za Enzi Mpya
By Suara TuhanDesemba 13, 2017Matamshi-ya-Mwenyezi-Mungu, Neno-Laonekana-katika-Mwili, VitabuNo comments
Matamshi ya Mwenyezi Mungu | Amri za Enzi Mpya
Mmeambiwa kuwa mjiandae kwa maneno ya Mungu, ya kuwa pasipo kujali kilichoandaliwa juu yenu, yote yamepangwa kwa mkono wa Mungu, na kwamba hakuna haja ya kuomba kwa bidii au kusali kwenu—haina maana. Ilhali kulingana na hali ya sasa, shida za kiutendaji mnazokumbana nazo hazitafakariki kwenu. Kama mnasubiri mipango ya Mungu tu, basi hatua zenu zitakaa zaidi, na kwa wale wasiojua kupitia kutakuwa na kulaza damu kwingi.
Jumamosi, 9 Desemba 2017
Enzi ya Ufalme Ndiyo Enzi ya Neno | Matamshi ya Mwenyezi Mungu
By Suara TuhanDesemba 09, 2017Enzi-ya-Ufalme, Matamshi-ya-Mwenyezi-Mungu, Mungu, Neno-Laonekana-katika-Mwili, VitabuNo comments
Enzi ya Ufalme Ndiyo Enzi ya Neno | Matamshi ya Mwenyezi Mungu
Katika Enzi ya Ufalme, Mungu anatumia neno ili kukaribisha enzi mpya, ili kubadilisha mbinu za kazi Yake, na kuweza kufanya kazi katika enzi nzima. Hii ndiyo kanuni ambayo Mungu hufanyia kazi katika Enzi ya Neno. Alikuwa mwili ili kuweza kuzungumza kutoka mitazamo tofauti, kumwezesha binadamu kumwona Mungu kwa kweli, ambaye ni Neno linaloonekana katika mwili, na hekima Yake na maajabu.
Jumamosi, 2 Desemba 2017
Kristo Hufanya Kazi ya Hukumu Kwa Ukweli
By Suara TuhanDesemba 02, 2017Kristo, Matamshi-ya-Mwenyezi-Mungu, Neno-Laonekana-katika-Mwili, Ukweli, VitabuNo comments
Mwenyezi Mungu alisema, Kazi ya siku za mwisho ni kutenganisha vitu vyote kulingana na jinsi yavyo, kuhitimisha mpango wa usimamizi wa Mungu, kwa maana muda u karibu na siku ya Mungu imewadia. Mungu huwaleta wote ambao wameingia katika ufalme Wake, yaani, wale wote ambao wamekuwa waaminifu Kwake mpaka mwisho, katika enzi ya Mungu Mwenyewe. Hata hivyo, kabla ya kuja kwa enzi ya Mungu Mwenyewe, kazi Atakayofanya Mungu si kutazama matendo ya mwanadamu wala kuchunguza maisha ya wanadamu, ila ni kuhukumu uasi wake, kwa maana Mungu atawatakasa wale wote wanaokuja mbele ya kiti Chake cha enzi.