
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Neema. Onyesha machapisho yote
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Neema. Onyesha machapisho yote
Jumatatu, 13 Mei 2019
Maneno ya Mungu | Sura ya 6
By Mwenyezi Mungu ni Mchungaji WanguMei 13, 2019Kristo, Neema, Neno-la-Mungu, Neno-Laonekana-katika-Mwili, VitabuNo comments


Maneno ya Mungu | Sura ya 6
Mwenyezi Mungu, Mkuu wa vitu vyote, hushika madaraka Yake ya kifalme kutoka kwa kiti Chake cha enzi. Yeye hutawala ulimwengu na vitu vyote Naye Anatuongoza katika dunia yote. Mara kwa mara tutakuwa karibu Naye, na kuja mbele Zake kwa utulivu;...
Jumamosi, 11 Mei 2019
Maneno ya Mungu | Sura ya 5
By Mwenyezi Mungu ni Mchungaji WanguMei 11, 2019imani, Neema, Neno-Laonekana-katika-Mwili, Roho-Mtakatifu, VitabuNo comments


Maneno ya Mungu | Sura ya 5
Milima na mito huenda ikibadilika, vijito hutiririka mbele, na maisha ya mwanadamu ni yenye uvumilivu mdogo kuliko ardhi na anga. Mwenyezi Mungu pekee ndiye maisha ya milele yaliyofufuka milele, katika vizazi hai milele! Vitu vyote na...
Jumapili, 6 Januari 2019
5. Imani Katika Mungu Haipasi Kuwa kwa ajili ya Kutafuta Amani na Baraka Pekee.
By UnknownJanuari 06, 2019imani-katika-Mungu, Kondoo-wa-Mungu-Huisikia-Sauti-ya-Mungu, Maombi, Neema, Vitabu, WokovuNo comments

Sura ya 7 Vipengele Kadhaa Vingine vya Ukweli Ambao ni wa Kiwango cha Chini Ambao Unafaa Kueleweka na Waumini Wapya
5. Imani Katika Mungu Haipasi Kuwa kwa ajili ya Kutafuta Amani na Baraka Pekee.
Maneno Husika ya Mungu:
Leo, lazima uwe katika njia sahihi kwani unaamini katika Mungu wa vitendo. Kwa kuwa una imani katika Mungu, hupaswi tu...
Jumapili, 23 Desemba 2018
1. Mungu aliwakomboa wanadamu katika Enzi ya Neema, hivyo kwa nini bado anahitaji kufanya kazi Yake ya hukumu katika siku za mwisho?
By UnknownDesemba 23, 2018Biblia, hukumu, Mashahidi-wa-Kristo-wa-Siku-za-Mwisho, Neema, siku-za-mwisho, Vitabu, WokovuNo comments


III. Ni Lazima Mtu Ashuhudie Kipengele cha Ukweli Kuhusu Kazi ya Mungu ya Hukumu katika Siku za Mwisho
1. Mungu aliwakomboa wanadamu katika Enzi ya Neema, hivyo kwa nini bado anahitaji kufanya kazi Yake ya hukumu katika siku za mwisho?
Aya za Biblia za Kurejelea:
"Kwa...
Jumapili, 9 Desemba 2018
Christian Video Swahili "Bahati na Bahati Mbaya" | Mshukuru Mungu kwa Neema Yake ya Ajabu
By UnknownDesemba 09, 2018Christian-Video-Swahili, Mungu, Neema, siku-za-mwisho, Ukweli, VideoNo comments

Umeme wa Mashariki | "Bahati na Bahati Mbaya" | Mshukuru Mungu kwa Neema Yake ya Ajabu
Kwa sababu yeye alitoka katika familia iliyo masikini, tangu akiwa na umri mdogo Du Juan alikusudia kutengeneza pesa nyingi sana apate kuishi maisha mazuri. Ili kufikia lengo hili, aliacha shule mapema zaidi kwenda kufanya kazi ya mikono, chochote angeweza...
Ijumaa, 23 Novemba 2018
Wimbo za Kuabudu "Niko Tayari Kutekeleza Wajibu Wangu kwa Uaminifu" | God Is My Salvation
By UnknownNovemba 23, 2018Neema, Umeme-wa-Mashariki, Upendo-wa-Mungu, Video, Wimbo-za-Kuabudu, WokovuNo comments

Umeme wa Masharik | Wimbo za Kuabudu "Niko Tayari Kutekeleza Wajibu Wangu kwa Uaminifu" | God Is My SalvationUmeme wa Masharik
Mpendwa Mwenyezi Mungu, ni Wewe ndiye Unayenipenda,
uliniinua kutoka kwa rundo la kinyesi hadi kwa mazoezi ya ufalme.
Maneno Yako yamenitakasa,
yakanifanya nianze kuishi maisha ya furaha.
Moyoni mwangu nahisi,...
Alhamisi, 6 Septemba 2018
Best Swahili Christian Music Video 2018 "Upendo kwa Mungu" | The Love of God Never Leaves Us
By Kuhusu Umeme wa MasharikiSeptemba 06, 2018kuandamana-na-Mungu, Neema, nyimbo-za-sifa, upendo-kwa-MunguNo comments

Best Swahili Christian Music Video 2018 "Upendo kwa Mungu" | The Love of God Never Leaves Us
I
Ee Bwana,
Nimefurahia nyingi ya neema Yako.
Kwa nini mimi daima huhisi tupu ndani?
Je, sijapata ukweli na uzima?
II
Kusoma maneno haya kunaweza kuyajibu maswali yako.
"Kristo wa siku za mwisho huleta uzima,
na huleta kudumu...
Jumamosi, 26 Mei 2018
Kanisa la Mwenyezi Mungu | 55. Njia ya Pekee ya Kuepuka Maafa
By Kuhusu Umeme wa MasharikiMei 26, 2018kutoka-kwa-Ushuhuda-wa Kuipitia-Hukumu-ya-Kristo, Neema, siku-za-mwisho, Vitabu, WokovuNo comments


55. Njia ya Pekee ya Kuepuka Maafa
Kanisa la Mwenyezi Mungu, Biblia, neema
Chaotuo Mji wa Xiaogan, Mkoa wa Hubei
Tangu tetemeko la ardhi la Sichuan, daima nimekuwa na hofu na wasiwasi kwamba siku moja huenda nikakumbwa na maafa. Hasa kwa vile...
1. Mwenyezi Mungu Amenipa Fursa ya Pili Katika Maisha
By Kuhusu Umeme wa MasharikiMei 26, 2018Neema, shuhuda-wa-Kuipitia-Hukumu-ya-Kristo, Upendo-wa-Mungu, ushuhuda, VitabuNo comments


1. Mwenyezi Mungu Amenipa Fursa ya Pili Katika Maisha
Agosti 15, 2012Ndugu wawili wa kawaida, Beijing
Julai 21, mwaka wa 2012 ilikuwa siku isiyosahaulika sana kwangu, pamoja na kuwa siku muhimu zaidi ya maisha yangu.
Siku hiyo,...
Alhamisi, 19 Aprili 2018
Maono ya Kazi ya Mungu (2)
By UnknownAprili 19, 2018Injili, Neema, Neno-Laonekana-katika-Mwili, siku-za-mwisho, VitabuNo comments


Maono ya Kazi ya Mungu (2)
Enzi ya Neema ilihubiri injili ya toba, na alimradi mwanadamu aliamini, basi angeokolewa. Leo, badala ya wokovu kuna majadiliano tu ya ushindi na ukamilifu. Haisemwi katu kwamba mtu mmoja akiamini, familia yake yote itabarikiwa, au kwamba...
Jumatatu, 9 Aprili 2018
Umeme wa Mashariki | Mwokozi Amerudi Tayari Juu ya “Wingu Jeupe”
By UnknownAprili 09, 2018Bwana-Yesu, Maswali-na-Majibu-Mia-Moja-Kuhusu-Kuichunguza-Njia-ya-Kweli, Mungu, Neema, siku-za-mwisho, VitabuNo comments


Umeme wa Mashariki | Mwokozi Amerudi Tayari Juu ya “Wingu Jeupe”
Kwa maelfu kadhaa ya miaka, mwanadamu ametamani kuweza kushuhudia kufika kwa Mwokozi. Mwanadamu ametamani kumtazama Yesu Mwokozi katika wingu jeupe Anaposhuka, yeye binafsi, kati ya wale ambao wamengoja...
Ijumaa, 6 Aprili 2018
Kuhusu Biblia (4)
By UnknownAprili 06, 2018Biblia, imani-katika-Mungu, Neema, Neno-Laonekana-katika-Mwili, VitabuNo comments


Kuhusu Biblia (4)
Mwenyezi Mungu alisema, Watu wengi wanaamini kwamba kuelewa na kuwa na uwezo wa kufasiri Biblia ni sawa na kutafuta njia ya kweli—lakini, kimsingi, je, vitu ni rahisi sana? Hakuna anayejua uhalisia wa Biblia: kwamba si kitu chochote zaidi ya rekodi...
Jumatano, 4 Aprili 2018
Swahili Gospel Song "Sala ya Watu wa Mungu" | Kuishi katika Upendo wa Mungu
By UnknownAprili 04, 2018baraka, Maombi, Msururu-wa-MV-za-Ufalme, Neema, Upendo-wa-Mungu, VideoNo comments


Swahili Gospel Song "Sala ya Watu wa Mungu" | Kuishi katika Upendo wa Mungu
Watu wa Mungu wanainuliwa mbele ya kiti Chake cha Enzi,
maombi mengi mioyoni mwao.
Mungu huwabariki wote wanaorejea Kwake;
wote wanaishi katika mwanga.
Omba Roho Mtakatifu alipe...
Jumanne, 20 Februari 2018
Mungu ni Mkuu | "Upendo wa Kweli wa Mungu" Swahili Gospel Song | Asante Mungu | Haleluya

Mungu ni Mkuu | "Upendo wa Kweli wa Mungu" Swahili Gospel Song | Asante Mungu | Haleluya
Upendo wa Kweli wa Mungu
Nasimama mbele ya Mungu wangu tena leo.
Moyo wangu una mengi ya kusema
ninapoona uso Wake wa kupendeza.
Nimeacha siku zangu za zamani za kuzurura...
Jumanne, 30 Januari 2018
Upendo wa Mungu na wokovu | “Kutanafusi kwa Mwenye Uweza” Matamshi ya Kristo wa Siku za Mwisho

Mwenyezi Mungu alisema: Wanadamu, walioacha ruzuku ya uzima kutoka kwa mwenye Uweza, hawajui kwa nini wanaishi, na bado wanaogopa kifo. Hukuna usaidizi, hakuna msaada, lakini bado wanadamu wanasita kufumba macho yao, wakiyakabili yote bila woga, wanaendeleza kwa muda mrefu...
Jumamosi, 2 Desemba 2017
Ukweli Kuhusu Kazi Katika Enzi ya Ukombozi

kweli Kuhusu Kazi Katika Enzi ya Ukombozi
Mwenyezi Mungu alisema, Mpango Wangu mzima wa usimamizi, ambao una urefu wa miaka elfu sita, unashirikisha awamu tatu, au enzi tatu: Kwanza, Enzi ya Sheria; pili, Enzi ya Neema (ambayo pia ni enzi ya Ukombozi); na mwisho,...