Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo kumpenda-Mungu. Onyesha machapisho yote
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo kumpenda-Mungu. Onyesha machapisho yote
Jumanne, 2 Aprili 2019
Wimbo wa Kuabudu | “Wale Wanaompenda Mungu kwa Dhati Wote ni Watu Waaminifu” | Kids Dance
By Chris ZhouAprili 02, 2019Bwana-asifiwe, kumpenda-Mungu, Msururu-wa-MV-za-Ufalme, Nyimbo-za-Kuabudu, Video, wokovu-wa-MunguNo comments
kutoka katika Mfuateni Mwanakondoo na Kuimba Nyimbo Mpya
Sikiliza zaidi: Wimbo za Kusifu na Kuabudu 2019 “Watu wa Mungu wa Mataifa Yote Huonyesha Hisia Zao Kama Mtu Mmoja”
Alhamisi, 29 Machi 2018
Umeme wa Mashariki | Kuhusu Desturi ya Sala
By UnknownMachi 29, 2018kumpenda-Mungu, Maombi, Neno-Laonekana-katika-Mwili, Roho-Mtakatifu, VitabuNo comments
Umeme wa Mashariki | Kuhusu Desturi ya Sala
Nyinyi hamtilii maanani sala katika maisha yenu ya kila siku. Watu daima wamepuuza sala. Katika sala zao hapo awali walikuwa wakifanya tu mambo kwa namna isiyo ya dhati na kufanya mchezo tu, na hakuna mtu aliyeupeana moyo wake kwa ukamilifu mbele ya Mungu na kumwomba Mungu kweli.
Jumanne, 27 Machi 2018
Umeme wa Mashariki | Wengi Wameitwa, Lakini Wachache Wamechaguliwa
By UnknownMachi 27, 2018kukamilishwa-na-Mungu, kumfuata-Mungu, kumpenda-Mungu, Neno-Laonekana-katika-Mwili, Ukweli, VitabuNo comments
Umeme wa Mashariki | Wengi Wameitwa, Lakini Wachache Wamechaguliwa
Mwenyezi Mungu alisema, Nimewatafuta wengi duniani wawe wafuasi Wangu. Kati yao ni wale wanaohudumu kama makuhani, wanaoongoza, wanaojumuisha wana, wanaojumuisha watu, na wale wanaotoa huduma. Ninaweka migawo hii kulingana na uaminifu alionao mwanadamu Kwangu.
Jumapili, 11 Machi 2018
Umeme wa Mashariki | Njia… (7)
Umeme wa Mashariki | Njia… (7)
Mwenyezi Mungu alisema, Sote tunaweza kuona katika uzoefu wetu wa utendaji kwamba kuna nyakati nyingi ambazo Mungu binafsi ametufungulia njia ili tuwe tunakanyaga njia iliyo imara zaidi, ya kweli zaidi. Hii ni kwa sababu hii ndiyo njia ambayo Mungu alitufungulia tangu mwanzo wa wakati na imepitishwa kwa kizazi chetu baada ya makumi ya maelfu ya miaka.
Ijumaa, 9 Machi 2018
Umeme wa Mashariki | Njia… (3)
By UnknownMachi 09, 2018kumfuata-Mungu, kumpenda-Mungu, mapenzi-ya-Mungu, Neno-Laonekana-katika-Mwili, VitabuNo comments
Umeme wa Mashariki | Njia… (3)
Mwenyezi Mungu alisema, Katika maisha Yangu, Niko radhi kila mara kujitolea Mwenyewe kwa Mungu kabisa, mwili na fikra. Kwa njia hii, hakuna lawama kwa dhamiri Yangu na Naweza kupata kiasi kidogo cha amani. Mtu anayeandama uzima ni lazima kwanza aukabidhi moyo wake wote kwa Mungu kabisa. Hili ni sharti la mwanzo.
Jumapili, 25 Februari 2018
Hymn of Christian Experience (Swahili) "Ni Furaha Kuu kuwa Mtu Mwaminifu" | Mbinguni ni mahali pa mtu mwaminifu
By UnknownFebruari 25, 2018kumpenda-Mungu, ndugu-na-dada, Ukweli, Video, Video-za-Muziki-wa- AkapelaNo comments
Hymn of Christian Experience (Swahili) "Ni Furaha Kuu kuwa Mtu Mwaminifu" | Mbinguni ni mahali pa mtu mwaminifu
Kuelewa ukweli huiachilia huru roho ya mtu
na kumfanya mtu kuwa mwenye furaha.
Nimejazwa na imani katika neno la Mungu na sina shaka.
Mimi niko bila uhasi wowote,
sirudi nyuma, na kamwe sikati tamaa.
Ninauunga mkono wajibu wangu
kwa moyo wangu wote na mawazo, na siujali moyo.
Ingawa ubora wa tabia yangu ni wa chini,
nina moyo wa uaminifu.
Nimejitolea kikamilifu katika kila kitu
ili kuyaridhisha mapenzi ya Mungu.
Ninatenda ukweli, namtii Mungu,
na kujaribu kuwa mtu mwaminifu.
Mimi ni wazi na mnyoofu,
bila uongo, nikiishi kwenye mwanga.
Watu waaminifu, kuja haraka, hebu tuongee kwa dhati.
Watu wote wampendao Mungu,
njooni mkusanyike na kuungana kama marafiki wazuri.
Watu wote wenye kupenda ukweli ni ndugu.
Ee watu wenye furaha,
njooni muimbe na kucheza katika sifa kwa Mungu.

Kutoka kwa Fuata Mwanakondoo na Imba Nyimbo Mpya
Utukufu wote Uwe kwa Mwenyezi Mungu!
Kujua zaidi: Kuhusu Kanisa la Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki
Jumanne, 20 Februari 2018
Mungu ni Mkuu | "Upendo wa Kweli wa Mungu" Swahili Gospel Song | Asante Mungu | Haleluya
Mungu ni Mkuu | "Upendo wa Kweli wa Mungu" Swahili Gospel Song | Asante Mungu | Haleluya
Upendo wa Kweli wa Mungu
Nasimama mbele ya Mungu wangu tena leo.
Moyo wangu una mengi ya kusema
ninapoona uso Wake wa kupendeza.
Nimeacha siku zangu za zamani za kuzurura nyuma yangu.
Neno Lake linanijaza na raha
na furaha kutoka kwa neema Yake.
Ni maneno nyororo ya Mungu ndiyo huninyunyizia
na kunistawisha ili nikuwe.
Ni maneno Yake makali ndiyo hunitia moyo nisimame tena.
Mungu, tunakuimbia leo kwa sababu ya Baraka Zako.
Tunatoa shukrani Kwako leo kwa sababu Umetuinua.
Mwenyezi Mungu wa kweli ambaye Ametupenda!
Tunakupenda! Ee Mungu! Kweli tunakupenda!
Nataka kuwa na shauku ya neno Lako
katika siku zangu zote.
Unawanyunyizia na kuwastawisha watu Wako kwa upendo.
Unatuongoza mbali na ushawishi wa ibilisi wa kupotosha.
Ni maneno nyororo ya Mungu ndiyo huninyunyizia
na kunistawisha ili nikuwe.
Ni maneno Yake makali ndiyo hunitia moyo nisimame tena.
Mungu, tunakuimbia leo kwa sababu ya Baraka Zako.
Tunatoa shukrani Kwako leo kwa sababu Umetuinua.
Mwenyezi Mungu wa kweli ambaye Ametupenda!
Tunakupenda! Ee Mungu! Kweli tunakupenda!
Ndugu! Tuinukeni na tusifu!
Tuutunze wakati huu tunaoshirikiana pamoja.
Tukiwa huru kutokana na minyororo ya mizigo ya mwili,
hebu tuonyeshe upendo wetu kwa Mungu
katika matendo halisi,
tutimize wajibu wetu kwa moyo na nuvu.
Tunakupenda, Mwenyezi Mungu! Hatutawahi kukuacha!
Ni maneno nyororo ya Mungu ndiyo huninyunyizia
na kunistawisha ili nikuwe.
Ni maneno Yake makali ndiyo hunitia moyo nisimame tena.
Mungu, tunakuimbia leo kwa sababu ya Baraka Zako.
Tunatoa shukrani Kwako leo kwa sababu Umetuinua.
Ni maneno nyororo ya Mungu ndiyo huninyunyizia
na kunistawisha ili nikuwe.
Ni maneno Yake makali ndiyo hunitia moyo nisimame tena.
Mungu, tunakuimbia leo kwa sababu ya Baraka Zako.
Tunatoa shukrani Kwako leo kwa sababu Umetuinua.
Mwenyezi Mungu wa kweli ambaye Ametupenda!
Tunakupenda! Ee Mungu! Kweli tunakupenda!
Kwa sababu Umetuinua.
Mwenyezi Mungu wa kweli ambaye Ametupenda!
Tunakupenda! Ee Mungu! Kweli tunakupenda!
Kujua zaidi: Kuhusu Kanisa la Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki
Jumamosi, 27 Januari 2018
Kuhusu Maisha ya Petro | Umeme wa Mashariki
By UnknownJanuari 27, 2018kumpenda-Mungu, msalaba, Neno-Laonekana-katika-Mwili, Roho-Mtakatifu, VitabuNo comments
Kuhusu Maisha ya Petro
Mwenyezi Mungu alisema, Petro ni mfano ambao Mungu aliutambulisha kwa wanadamu, na yeye ni mtu mashuhuri anayejulikana vizuri. Kwa nini mtu mnyonge kama huyo aliwekwa mahala kama mfano na Mungu na amesifiwa na vizazi vya baadaye? Bila shaka, ni wazi kwamba hili halitenganishwi na maonyesho yake na azimio lake la upendo kwa Mungu.
Alhamisi, 18 Januari 2018
Kumpenda Mungu Tu Ndiko Kumwamini Mungu Kweli
By UnknownJanuari 18, 2018kumpenda-Mungu, Kumwamini-Mungu, kutenda-ukweli, Neno-Laonekana-katika-Mwili, VitabuNo comments
Kumpenda Mungu Tu Ndiko Kumwamini Mungu Kweli
Mwenyezi Mungu alisema, Mnapotaka kumpenda na kumjua Mungu leo, kwa upande mmoja ni lazima mstahimili mateso, usafishaji, na kwa ule upande mwingine, ni lazima mgharamike. Hakuna funzo lililo kubwa kuliko lile la kumpenda Mungu, na inaweza kusemwa kuwa funzo ambalo watu hujifunza katika maisha yao yote ya imani ni jinsi ya kumpenda Mungu. Hii ni kusema, kama unamwamini Mungu ni lazima umpende Mungu.
Jumatano, 10 Januari 2018
Wanaompenda Mungu Wataishi Milele Katika Mwangaza Wake
Wanaompenda Mungu Wataishi Milele Katika Mwangaza Wake
Mwenyezi Mungu alisema, Kiini cha imani ya watu wengi katika Mungu ni imani za kidini: Hawana uwezo wa kumpenda Mungu, na wanaweza kumfuata Mungu tu kama roboti, bila kuweza kumtamani Mungu, ama kumwabudu. Wanamfuata tu kimyakimya. Watu wengi wanamwamini Mungu, lakini wapo wachache sana ambao humpenda Mungu; wanamheshimu tu Mungu kwa sababu wanaogopa majanga, au hata wanamstahi Mungu kwa sababu ni Mwenye nguvu na aliye juu—lakini katika kumheshimu na kuvutiwa kwao hakuna upendo au kutamani kwa kweli. Katika matukio wanayoyapitia wanataka chembe za ukweli, au hata miujiza fulani isiyokuwa na maana.