Jaweni na Upendo kwa Ajili ya Mungu | Muziki wa Akapela "Yasifu Maisha Mapya"

Kristo wa siku za mwisho ameonekana, akifanya kazi na kuzungumza miongini mwa wanadamu. Neno lake hutuhukumu, kutuadibu na kututakasa, likituongoza kwenye njia sahihi ya maisha ya binadamu.

Muziki wa Akapela "Tokeo Lililofikiwa kwa Kumjua Mungu" (Video Rasmi ya Muziki)

Hayuko katika upeo wa mbali, wala hajajificha juu mawinguni. Yuko kando yako, akiwa na mamlaka juu ya kila kitu chako, Yeye ni kila kitu ulicho nacho, na Yeye ni kitu pekee ulicho nacho.

Mwabudu Mungu kwa Roho na Ukweli | “Sauti ya Moyo ya Kiumbe Aliyeumbwa” (Video za Kikristo)

Mungu wa vitendo na wa kweli, upendo ndani ya moyo wangu. Mimi ni vumbi lakini ninaweza kuona uso Wako. Ninawezaje kukosa kukuabudu?

Mungu ndiye Mwanzo na tena Mwisho | Kwaya ya Injili

Mungu ndiye Mwanzo (Mungu ndiye Mwanzo) na Mwisho (na Mwisho); ni Yeye Mwenyewe Anayetekeleza kazi Yake na hivyo lazima iwe Yeye Mwenyewe Anayemaliza enzi ya kale. Huo ndio ushahidi kuwa Yeye humshinda Shetani (humshinda Shetani) na huishinda dunia, ushahidi kuwa Yeye huishinda dunia.

Nampenda Mungu kwa Moyo Wangu Wote | "Nitampenda Mungu Milele" Video Rasmi ya Muziki

Nitakupa Wewe upendo wa kweli, na sitakuacha Usubiri. Mimi nitakupa Wewe upendo safi, na tafadhali furahia upendo wangu. Nitakupa Wewe upendo wangu wote, na kukuacha upate upendo wangu. Nitakupenda Wewe kwa wakati wote; kukuridhisha Wewe ni matamanio yangu.

Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Bwana-asifiwe. Onyesha machapisho yote
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Bwana-asifiwe. Onyesha machapisho yote

Jumapili, 14 Aprili 2019

Wimbo wa Kuabudu | "Sifa kwa Maisha Mapya katika Ufalme" | Watu wa Mungu Humsifu na Kumwabudu Mungu


Wimbo wa Kuabudu | "Sifa kwa Maisha Mapya katika Ufalme" | Watu wa Mungu Humsifu na Kumwabudu Mungu

Tumesikia sauti ya Mungu na kurudi nyumbani Kwake.
Mikutanoni tunakula na kunywa maneno ya Mungu, tunahudhuria karamu.
Sisi tunaaga huzuni na vifungo vyetu, tunaishi maisha mapya.
Tunapofungua mioyo yetu katika ushirika wa kweli, mioyo yetu inaangazwa sana.
Maneno ya Mungu yako nasi kila siku, tunastarehe ndani yake.
Tunaondolewa vizuizi na ubaguzi wetu, tunaishi ndani ya upendo wa Mungu.
Tunatafakari, kufikiri maneno ya Mungu, Roho Mtakatifu anatuangazia.
Tunaelewa moyo wa Mungu, sisi si hasi tena.

Alhamisi, 4 Aprili 2019

Wimbo wa Injili "Mwana wa Adamu Ameonekana" | Sifu Kurudi kwa Yesu Mwokozi | Watoto Wanacheza Ngoma



Wimbo wa Injili "Mwana wa Adamu Ameonekana" | Sifu Kurudi kwa Yesu Mwokozi | Watoto Wanacheza Ngoma
Kutoka Mashariki ya ulimwengu (Mashariki ... Mashariki ...), mwale wa mwanga unatokea (mwanga ... mwanga ...), ukiangaza njia yote kwenda magharibi. Mwana wa Adamu ameshuka duniani. Mwokozi amerejea, Yeye ni Mwenyezi Mungu. Akionyesha ukweli, Ameanzisha enzi mpya. Mwana wa Adamu ameonekana. (Siyo?) Mungu amekuja. (Eh!) Yeye huwaletea binadamu njia ya uzima wa milele@(njia ya uzima wa milele). Mbingu mpya, dunia mpya, enzi mpya, binadamu wapya, njia mpya, maisha mapya. Yerusalemu mpya umeshuka duniani. Tumerudi kwa familia ya Mungu na tunaishi maisha ya kanisa, kila siku tukila na kunywa neno la Mungu, tukikua katika upendo Wake. Wewe kuja na uimbe! (Sawa!) Nitacheza ngoma! (Ngoma!) Maisha yetu ni ya furaha kweli (furaha kweli). Tuko katika uwepo wa Mungu. (Tunaufurahia kweli.) Tuna baraka za Mungu. (Tuna furaha sana.) Ufalme wa Kristo ni nyumba kunjufu. Mwenyezi Mungu, Kristo wa siku za mwisho, mpendwa wetu apendezaye. Kila mstari Anenao ni ukweli, utunyinyiziao. Anatufundisha jinsi ya kutenda, jinsi ya kuwa waaminifu. Tukiishi kati ya baraka za Mungu, tunampenda Mungu kwa moyo wetu wote. Hukumu ya neno la Mungu inaishinda mioyo ya watu wote. Wakiwa wametakaswa, watu wa Mungu humtolea ushuhuda. Hebu tuwe wenye akili moja (tukitimiza wajibu wetu), tukilipiza upendo wa Mungu (kuwa na ushuhuda kwa Mungu), tukieneza injili ya Ufalme wa Mungu (injili ya Ufalme wa Mungu). Neno la Mungu linaenea duniani kote. Jina takatifu la Mungu linasifiwa na wote. Ufalme wa Kristo unafanyika duniani. Hebu tuwe wenye akili moja (tukitimiza wajibu wetu), tukilipiza upendo wa Mungu (kuwa na ushuhuda kwa Mungu), tukieneza injili ya Ufalme wa Mungu (injili ya Ufalme wa Mungu). Neno la Mungu linaenea duniani kote. Jina takatifu la Mungu linasifiwa na wote. Ufalme wa Kristo unafanyika duniani. Ufalme wa Kristo unafanyika duniani.
kutoka katika Mfuateni Mwanakondoo na Kuimba Nyimbo Mpya

Kujua zaidi: Umeme wa Mashariki Hutoka wapi?


Jumanne, 2 Aprili 2019

Wimbo wa Kuabudu | “Wale Wanaompenda Mungu kwa Dhati Wote ni Watu Waaminifu” | Kids Dance


 Wimbo wa Kuabudu | “Wale Wanaompenda Mungu kwa Dhati Wote ni Watu Waaminifu” | Kids Dance

Safi na mwaminifu, kama mtoto bila hatia, mchangamfu na mwenye nguvu za ujana, wao ni kama malaika wanaokuja ulimwenguni. Bila udanganyifu, na mioyo iliyo wazi tu, wao ni waadilifu. Wanatoa mioyo yao kwa Mungu na kupata imani Yake. Wao ni watu waaminifu ambao Mungu anapenda. Kuacha maneno ya Mungu yatuongoze kila siku, tumebarikiwa na Roho Mtakatifu anatuongoza. Tunakubali uchunguzi wa Mungu, tunaishi mbele Yake. Kumpenda Mungu kweli ni kuwa na furaha. Ufalme wa Kristo ni mbinguni kwa watu waaminifu. Na ni nyumbani kwao kuzuri. Wale wanaopenda ukweli wote wana mioyo ya uaminifu. Tunafurahia kutenda ukweli. Kwa kumtii Mungu mioyo yetu ina amani. Tunamcha Mungu na kuepuka uovu, kuishi kwa maneno ya Mungu. Tukiishi katika maneno ya Mungu tumewekwa huru. Kumpenda Mungu ni kuwa na furaha kamili. Kuacha maneno ya Mungu yatuongoze kila siku, tumebarikiwa na Roho Mtakatifu anatuongoza. Tunakubali uchunguzi wa Mungu, tunaishi mbele Yake. Kumpenda Mungu kweli ni kuwa na furaha. Ufalme wa Kristo ni mbinguni kwa watu waaminifu. Na ni nyumbani kwao kuzuri. Kumpenda Mungu huleta amani na furaha. Tunaishi kwa urahisi tunapotenda kwa maneno ya Mungu. Ni Mungu na ukweli pekee vilivyo moyoni mwetu. Maneno ya Mungu yamekuwa maisha yetu yote. Kuacha maneno ya Mungu yatuongoze kila siku, tumebarikiwa na Roho Mtakatifu anatuongoza. Tunakubali uchunguzi wa Mungu, tunaishi mbele Yake. Kumpenda Mungu kweli ni kuwa na furaha. Ufalme wa Kristo ni mbinguni kwa watu waaminifu. Na ni nyumbani kwao kuzuri.
kutoka katika Mfuateni Mwanakondoo na Kuimba Nyimbo Mpya


Sikiliza zaidi: Wimbo za Kusifu na Kuabudu 2019 “Watu wa Mungu wa Mataifa Yote Huonyesha Hisia Zao Kama Mtu Mmoja


Alhamisi, 13 Septemba 2018

Swahili Christian Skit | "Polisi Waenda kwa Ziara ya Mwaka Mpya" (Kichekesho)


Swahili Christian Skit | "Polisi Waenda kwa Ziara ya Mwaka Mpya" (Kichekesho)

Zheng Xinming, mwanamume mzee wa karibu miaka sabini, ni Mkristo wa dhati. Kwa sababu ya imani yake katika Bwana, aliwekwa kizuizini na kufungwa gerezani, na kuhukumiwa miaka nane. Alipoachiliwa, bado alikuwa ameorodheshwa na Polisi wa Kikomunisti wa China kama mlengwa wa ufuatiliaji wa kuzingatiwa. Hasa, baada ya mzee huyo kukubali kazi ya Mwenyezi Mungu katika siku za mwisho, polisi walikuja karibu kila siku kumtisha, kumuogofya na kumsumbua. Hakukuwa na njia ya Zheng Xinming kusoma neno la Mungu nyumbani kwa kawaida, na hata familia yake ilishiriki hali yake ya wasiwasi. Sasa ni Mkesha wa Mwaka Mpya na mzee yuko nyumbani akisoma neno la Mungu, bila kujua nini kinaweza kutokea …

    Soma Zaidi: Kuhusu Kanisa la Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki Hutoka wapi?

Jumatatu, 4 Desemba 2017

Wimbo wa Uzoefu wa Maisha | Nimeuona uzuri wa Mungu

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki, Mwenyezi Mungu,

Wimbo wa Uzoefu wa Maisha | Nimeuona uzuri wa Mungu

I
Nasikia sauti ijulikanayo ikiniita mara kwa mara. Nikaamka na kuangalia kuona, ni nani aliye pale akizungumza. Sauti yake ni nyororo lakini kali, picha Yake nzuri! Nateseka kupigwa na kuvumilia maumivu makubwa, nikipapaswa na mkono Wake wenye upendo. Halafu natambua ni Mwenyezi ambaye nilipigana naye. Najichukia mwenyewe, kwa majuto makubwa, fikiria niliyoyafanya. Nimepotoka kwa kina, hakuna wanadamu, sasa nauona ukweli. Pamoja na mwanzo mpya, kujiingiza katika maisha halisi, kutimiza wajibu wangu. Kwa hali, kushindana na Mungu, mimi siheshimiki. Mungu bado Mungu, mtu ni mtu—mimi ni mjinga sana. Mjinga na mwenye kiburi kiasi cha kutoijua nafsi yangu halisi. Nilikosa aibu na kutahayarika; moyo wangu umejaa majuto. Najichukia mwenyewe, bila kujua kile ninachoishia. Shetani alinikanyaga kwa miaka mingi sana, nikawa mdharauliwa. Wakishapewa sumu na yule Mwovu, wanadamu wamepotea. Kama sitabadilishwa na kuzaliwa upya, sina maisha ya kweli.
II
Tabia yangu potovu hunisumbua, huduma yangu bado i bure. Ni mjinga wa kumjua Mungu, na kujawa na dhana; jinsi gani mimi singepinga? Mungu hunihukumu, kwa uasi wangu, na ukosefu wa uadilifu. Nimeuona upendo wa kweli wa kuadibu na kuhukumu. Mungu ni mwenye haki, mimi nina hakika kabisa. Niko ana kwa ana naye. Wokovu wa vitendo wa Mungu umenisaidia kufika umbali huu. Uhalisi wa Mungu na uweza wake, vimefichuliwa kikamilifu kwa mtu. Kwa kuishi katika mwanga, namjua Mungu na kuuona uzuri wake. Nikiwa na nia ya kutimiza wajibu, Nitamtosheleza Mungu na kumpenda.
kutoka kwa Mfuateni Mwanakondoo na Kuimba Nyimbo Mpya
Umeme wa Mashariki, Kanisa la Mwenyezi Mungu lilianzishwa kwa sababu ya kuonekana na kazi ya Mwenyezi Mungu, ujio wa pili wa Bwana Yesu, Kristo wa siku za mwisho. Linashirikisha wale wote ambao wanaikubali kazi ya Mwenyezi Mungu katika siku za mwisho na ambao wameshindwa na kuokolewa kwa maneno Yake. Liliasisiwa kikamilifu na Mwenyezi Mungu mwenyewe na linaongozwa naye kama Mchungaji. Kwa hakika halikuanzishwa na mtu. Kristo ni ukweli, njia, na uzima. Kondoo wa Mungu husikia sauti ya Mungu. Mradi unasoma maneno ya Mwenyezi Mungu, utaona kuwa Mungu ameonekana.