Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Nyimbo-za-injili. Onyesha machapisho yote
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Nyimbo-za-injili. Onyesha machapisho yote
Alhamisi, 4 Aprili 2019
Wimbo wa Injili "Mwana wa Adamu Ameonekana" | Sifu Kurudi kwa Yesu Mwokozi | Watoto Wanacheza Ngoma
By Chris ZhouAprili 04, 2019Bwana-asifiwe, Msururu-wa-MV-za-Ufalme, Neno-la-Mungu, Nyimbo-za-injili, Upendo-wa-Mungu, VideoNo comments
Kutoka Mashariki ya ulimwengu (Mashariki ... Mashariki ...),
mwale wa mwanga unatokea (mwanga ... mwanga ...),
ukiangaza njia yote kwenda magharibi.
Mwana wa Adamu ameshuka duniani.
Mwokozi amerejea, Yeye ni Mwenyezi Mungu.
Akionyesha ukweli, Ameanzisha enzi mpya.
Mwana wa Adamu ameonekana. (Siyo?)
Mungu amekuja. (Eh!)
Yeye huwaletea binadamu njia ya uzima wa milele@(njia ya uzima wa milele).
Mbingu mpya, dunia mpya, enzi mpya,
binadamu wapya, njia mpya, maisha mapya.
Yerusalemu mpya umeshuka duniani.
Tumerudi kwa familia ya Mungu na tunaishi maisha ya kanisa,
kila siku tukila na kunywa neno la Mungu, tukikua katika upendo Wake.
Wewe kuja na uimbe! (Sawa!)
Nitacheza ngoma! (Ngoma!)
Maisha yetu ni ya furaha kweli (furaha kweli).
Tuko katika uwepo wa Mungu. (Tunaufurahia kweli.)
Tuna baraka za Mungu. (Tuna furaha sana.)
Ufalme wa Kristo ni nyumba kunjufu.
Mwenyezi Mungu, Kristo wa siku za mwisho, mpendwa wetu apendezaye.
Kila mstari Anenao ni ukweli, utunyinyiziao.
Anatufundisha jinsi ya kutenda, jinsi ya kuwa waaminifu.
Tukiishi kati ya baraka za Mungu, tunampenda Mungu kwa moyo wetu wote.
Hukumu ya neno la Mungu inaishinda mioyo ya watu wote.
Wakiwa wametakaswa, watu wa Mungu humtolea ushuhuda.
Hebu tuwe wenye akili moja (tukitimiza wajibu wetu),
tukilipiza upendo wa Mungu (kuwa na ushuhuda kwa Mungu),
tukieneza injili ya Ufalme wa Mungu (injili ya Ufalme wa Mungu).
Neno la Mungu linaenea duniani kote.
Jina takatifu la Mungu linasifiwa na wote.
Ufalme wa Kristo unafanyika duniani.

kutoka katika Mfuateni Mwanakondoo na Kuimba Nyimbo Mpya
Kujua zaidi: Umeme wa Mashariki Hutoka wapi?
Jumatano, 30 Januari 2019
2018 Gospel Music "Mungu Kuutawala Mwanzo na Mustakabali wa Wanadamu" (Swahili Subtitles)
2018 Gospel Music "Mungu Kuutawala Mwanzo na Mustakabali wa Wanadamu" (Swahili Subtitles)
Kutoka wakati tunapoingia ulimwenguni tukilia kwa huzuni, sisi huanza kutekeleza majukumu tofauti katika maisha. Sisi husogea kutoka kuzaliwa hadi ugonjwa hadi uzee hadi kifo; sisi huenda kati ya furaha na huzuni…. Wnadamu hasa hutoka wapi, na kwa kweli tutaenda wapi? Ni nani aliyeudhibiti mwanzo wa mwanadamu, na ni nani huamuru mustakabali wake? Leo, yote yatafichuliwa …
Jumapili, 30 Septemba 2018
Wimbo wa Injili | "Kusudi la Kazi ya Usimamizi ya Mungu ni Kumwokoa Binadamu" | Wema wa Mungu
By Kuhusu Umeme wa MasharikiSeptemba 30, 2018Mungu-ni-Kumwokoa-Binadamu, Nyimbo-za-injili, Upendo-na-huruma-za-Mungu, wema-wa-mungu, Wimbo-za-InjiliNo comments
Upendo na huruma za Mungu
hupenyeza kazi Yake
ya usimamizi kwa utondoti.
I
Ikiwa mwanadamu ahisi mapenzi Yake ya huruma au la,
Yeye hachoki kufuatilia kazi Anayohitaji kufanya.
Ikiwa mwanadamu aelewa usimamizi Wake au la,
kazi Yake huleta usaidizi na utoaji unaoweza kuhisiwa na wote.
Upendo na huruma za Mungu
hupenyeza kazi Yake
ya usimamizi kwa utondoti.
II
Pengine leo huhisi upendo na uzima Mungu anaokupa,
mradi tu huondoki katika upande Wake,
wala kuachilia mapenzi yako ya kutafuta ukweli,
hakika siku moja utaiona tabasamu ya Mungu.
Sababu kusudi la Mungu katika kazi Yake ya usimamizi
ni kumpokonya mwanadamu kutoka milki ya shetani
na sio kuwaacha waliopotoshwa na Shetani,
na kupinga mapenzi Yake.
Upendo na huruma za Mungu
hupenyeza kazi Yake
ya usimamizi kwa utondoti.
kutoka kwa Neno Laonekana katika Mwili
Alhamisi, 26 Julai 2018
Wimbo wa Injili | Mungu Hutumaini Mtu Anaweza Kumjua na Kumwelewa | Mahitaji ya Mungu kwa Wanadamu
By Kuhusu Umeme wa MasharikiJulai 26, 2018Kanisa-la-Mwenyezi-Mungu, Nyimbo-za-injili, Video, ya-Mwenyezi-MunguNo comments
Wimbo wa Injili | Mungu Hutumaini Mtu Anaweza Kumjua na Kumwelewa | Mahitaji ya Mungu kwa Wanadamu
I
Tangu uhusiano wa kwanza wa Mungu na mwanadamu,
Amekuwa akifichua kwao
Kiini Chake na vile Alivyo na Alicho nacho, bila kukoma, kila wakati.
Kama watu katika enzi wanaweza kuona au kuelewa,
Mungu huzungumza na kufanya kazi ili kuonyesha tabia Yake na kiini.
Jumamosi, 14 Julai 2018
Kwa Kuwa Mungu Anamwokoa Mwanadamu, Atamwokoa Kabisa | Mwenyezi Mungu
Kwa Kuwa Mungu Anamwokoa Mwanadamu, Atamwokoa Kabisa | Mwenyezi Mungu
I
Kwa kuwa Mungu alimuumba mwanadamu, Atamwongoza;
kwa kuwa Anamwokoa mwanadamu,
Atamwokoa na kumpata kabisa;
kwa kuwa anamwongoza mwanadamu,
Atamfikisha katika hatima sahihi.
Kwa kuwa Alimuumba mwanadamu na Anamsimamia,
ni lazima awajibikie matarajio na jalaa ya mwanadamu.
Ni hii ndiyo kazi inayofanywa na Muumba.
Ingawa kazi ya ushindi inafanikishwa ikiondoa
matarajio ya jamii ya wanadamu,
mwishowe, mwanadamu bado ataletwa katika
hatima sahihi ambayo Mungu amemwandalia.
Jumatatu, 18 Desemba 2017
Mungu ni upendo | "Watu Wote Wanaishi Katika Mwanga wa Mungu" | Best Swahili Gospel Worship Song
By Suara TuhanDesemba 18, 2017Msururu-wa-MV-za-Ufalme, Mungu, Mungu-ni-upendo, Nyimbo-za-injili, VideoNo comments
Mungu ni upendo | Watu Wote Wanaishi Katika Mwanga wa Mungu
Sasa kwa kushangilia sana, utakatifu wa Mungu na haki
vinakua ulimwenguni kote,
ikitukuka sana kati ya wanadamu wote.
Miji ya mbinguni inacheka, falme za dunia zinacheza.
Ni nani asiyesherehekea? Ni nani asiyetoa machozi?
Wanadamu hawagombani wala kupigana makonde;
jua linaaangaza kotekote.
wakiishi katika mwanga wa Mungu,
wakiwa na amani na kila mmoja.
Dunia ni ya mbingu, mbingu inaungana na dunia.
Mwanadamu ndiye ukamba unaounganisha mbingu na dunia.
Kwa sababu ya utakatifu wa mwanadamu,
kwa sababu ya upya wake,
mbingu haijifichi kutoka kwa dunia tena,
dunia haiinyamazii mbingu tena.
Wanadamu hawagombani wala kupigana makonde;
hawaliabishi jina la Mungu,
wakiishi katika mwanga wa Mungu,
wakiwa na amani na kila mmoja.
Wanadamu hawagombani wala kupigana makonde;
hawaliabishi jina la Mungu,
wakiishi katika mwanga wa Mungu,
wakiwa na amani na kila mmoja.
Hewa ni changamfu, ukungu mzito umetoweka,
jua linaangaza kotekote.
Hewa ni changamfu, ukungu mzito umetoweka,
jua linaangaza kotekote.
Hewa ni changamfu, ukungu mzito umetoweka,
jua linaangaza kotekote.
Hewa ni changamfu, ukungu mzito umetoweka,
jua linaangaza kotekote.
Nyuso za ubinadamu zimezingirwa na tabasamu.
Ukiwa umejificha mioyoni mwao,
utamu unaenda kwa mwendo mrefu.
Wanadamu hawagombani wala kupigana makonde;
hawaliabishi jina la Mungu,
wakiishi katika mwanga wa Mungu,
wakiwa na amani na kila mmoja.
Wanadamu hawagombani wala kupigana makonde;
hawaliabishi jina la Mungu,
wakiishi katika mwanga wa Mungu,
wakiwa na amani na kila mmoja,
wakiwa na amani na kila mmoja,
wakiwa na amani na kila mmoja.
kutoka kwa Neno Laonekana katika Mwili
Umeme wa Mashariki, Kanisa la Mwenyezi Mungu lilianzishwa kwa sababu ya kuonekana na kazi ya Mwenyezi Mungu, ujio wa pili wa Bwana Yesu, Kristo wa siku za mwisho. Linashirikisha wale wote ambao wanaikubali kazi ya Mwenyezi Mungu katika siku za mwisho na ambao wameshindwa na kuokolewa kwa maneno Yake. Liliasisiwa kikamilifu na Mwenyezi Mungu mwenyewe na linaongozwa naye kama Mchungaji. Kwa hakika halikuanzishwa na mtu. Kristo ni ukweli, njia, na uzima. Kondoo wa Mungu husikia sauti ya Mungu. Mradi unasoma maneno ya Mwenyezi Mungu, utaona kuwa Mungu ameonekana.
Kauli Maalum: Uzalishaji huu wa video ulitengenezwa kama mradi usio wa faida na Kanisa la Mwenyezi Mungu. Video hii isisambazwe kwa mtu mwingine kwa minajili ya faida, na ni matumaini yetu kwamba kila mtu atashiriki kuigawa na kuisambaza hadharani. Wakati unapoisambaza, tafadhali sisitiza chanzo chake. Bila ridhaa ya Kanisa la Mwenyezi Mungu, hakuna shirika, kundi la kijamii, au mtu binafsi anayeweza kubadilisha au kuhudhurisha visivyo maudhui ya video hii.
Jumapili, 3 Desemba 2017
Mwabudu Mungu kwa Roho na Ukweli | “Sauti ya Moyo ya Kiumbe Aliyeumbwa” (Video za Nyimbo za Kikristo)
Mwabudu Mungu kwa Roho na Ukweli | “Sauti ya Moyo ya Kiumbe Aliyeumbwa” (Video za Nyimbo za Kikristo)
I
Nilitaka kulia lakini hakuna mahali palihisi sawa. Nilitaka kuimba lakini hakuna wimbo ulipatikana. Nilitaka kuonyesha upendo wa kiumbe aliyeumbwa. Nikitafuta juu na chini, lakini hakuna maneno yangeweza kusema, yangeweza kusema jinsi hasa ninavyohisi. Mungu wa vitendo na wa kweli, upendo ndani ya moyo wangu. Nainua mikono yangu kwa sifa, ninafurahia kwamba Ulikuja katika dunia hii.
II
Mwanadamu alitoka mavumbini, na Mungu akampa uhai. Shetani alishuka chini kuwapotosha wanadamu. Ubinadamu na mantiki yao yamepotea. Kizazi baada ya kizazi, kimeanguka tangu siku hiyo. Lakini Wewe ni … Mungu wa vitendo na wa kweli, upendo ndani ya moyo wangu. Mimi ni vumbi lakini ninaweza kuona uso Wako. Ninawezaje kukosa kuabudu? Mungu wa vitendo na wa kweli, upendo ndani ya moyo wangu. Mimi ni vumbi lakini ninaweza kuona uso Wako. Ninawezaje kukosa kukuabudu?
III
Mungu alimuumba mwanadamu na anampenda sana, kiasi kwamba Alipata mwili tena, Alistahimili mazuri na mabaya, taabu na huzuni, Akituokoa na kutuleta mahali pazuri. Tutakushukuru Wewe daima. Mungu wa vitendo na wa kweli, upendo ndani ya moyo wangu. Mpotovu, lakini Wewe umeniokoa! Ninawezaje kukosa kuabudu?
Mungu wa vitendo na wa kweli, upendo ndani ya moyo wangu. Mpotovu, lakini Wewe umeniokoa! Ninawezaje kukosa kukuabudu? Ninawezaje kukosa kukuabudu? Ninawezaje kukosa kukuabudu?
Umeme wa Mashariki, Kanisa la Mwenyezi Mungu lilianzishwa kwa sababu ya kuonekana na kazi ya Mwenyezi Mungu, ujio wa pili wa Bwana Yesu, Kristo wa siku za mwisho. Linashirikisha wale wote ambao wanaikubali kazi ya Mwenyezi Mungu katika siku za mwisho na ambao wameshindwa na kuokolewa kwa maneno Yake. Liliasisiwa kikamilifu na Mwenyezi Mungu mwenyewe na linaongozwa naye kama Mchungaji. Kwa hakika halikuanzishwa na mtu. Kristo ni ukweli, njia, na uzima. Kondoo wa Mungu husikia sauti ya Mungu. Mradi unasoma maneno ya Mwenyezi Mungu, utaona kuwa Mungu ameonekana.
Kauli Maalum: Uzalishaji huu wa video ulitengenezwa kama mradi usio wa faida na Kanisa la Mwenyezi Mungu. Wahusika wanaoonekana katika uzalishaji huu wanafanya kwa msingi wa kutotafuta faida, na hawajalipwa kwa njia yoyote. Video hii isisambazwe kwa mtu mwingine kwa minajili ya faida, na ni matumaini yetu kwamba kila mtu atashiriki kuigawa na kuisambaza hadharani. Wakati unapoisambaza, tafadhali sisitiza chanzo chake. Bila ridhaa ya Kanisa la Mwenyezi Mungu, hakuna shirika, kundi la kijamii, au mtu binafsi anayeweza kubadilisha au kuhudhurisha visivyo maudhui ya video hii.
Nampenda Mungu kwa Moyo Wangu Wote | "Nitampenda Mungu Milele" Video Rasmi ya Muziki
By Suara TuhanDesemba 03, 2017Mungu, Mungu-asifiwe, Nyimbo-za-injili, Video, Video-za-Nyimbo-za-DiniNo comments
Nampenda Mungu kwa Moyo Wangu Wote | "Nitampenda Mungu Milele" Video Rasmi ya Muziki
I
Ee Mungu! Maneno Yako yameniongoza kurudi Kwako. Nakubali mafunzo katika ufalme Wako mchana na usiku. Majaribio mengi na maumivu, mateso mengi sana. Mara nyingi nilimwaga machozi na kuhisi huzuni, na mara nyingi nimeanguka katika mtego wa Shetani. Lakini Hujawahi kuniacha. Uliniongoza kupitia matatizo mengi, Umeniweka kupitia hatari nyingi. Sasa najua ya kuwa Wewe Umenipenda.
II
Ee Mungu! Waniongoza kwa maisha mapya. Nikifurahia Maneno yako, Nimeelewa mapenzi yako. Maneno yako hunihukumu na kuniadibu, na kutakasa upotovu wangu. Kupitia majaribio nimejifunza kukutii Wewe. Kukua katika neno la Mungu, nimekuja kumjua Mungu. Niko tayari kufanya wajibu wangu kwa shahidi Wako na utukufu. Nitakupenda Wewe kwa muda wote. Kama kubarikiwa au kulaaniwa, mimi nitafurahi kuwa katika huruma Yako. Nitakupa Wewe upendo wa kweli, na sitakuacha Usubiri. Mimi nitakupa Wewe upendo safi, na tafadhali furahia upendo wangu. Nitakupa Wewe upendo wangu wote, na kukuacha upate upendo wangu. Nitakupenda Wewe kwa wakati wote; kukuridhisha Wewe ni matamanio yangu.
kutoka kwa Mfuateni Mwanakondoo na Kuimba Nyimbo Mpya