Jaweni na Upendo kwa Ajili ya Mungu | Muziki wa Akapela "Yasifu Maisha Mapya"

Kristo wa siku za mwisho ameonekana, akifanya kazi na kuzungumza miongini mwa wanadamu. Neno lake hutuhukumu, kutuadibu na kututakasa, likituongoza kwenye njia sahihi ya maisha ya binadamu.

Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Mungu-asifiwe. Onyesha machapisho yote
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Mungu-asifiwe. Onyesha machapisho yote

Jumapili, 3 Desemba 2017

Nampenda Mungu kwa Moyo Wangu Wote | "Nitampenda Mungu Milele" Video Rasmi ya Muziki

Nampenda Mungu kwa Moyo Wangu Wote | "Nitampenda Mungu Milele" Video Rasmi ya Muziki I Ee Mungu! Maneno Yako yameniongoza kurudi Kwako. Nakubali mafunzo katika ufalme Wako mchana na usiku. Majaribio mengi na maumivu, mateso mengi sana. Mara nyingi nilimwaga machozi...