Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Unabii. Onyesha machapisho yote
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Unabii. Onyesha machapisho yote
Jumatatu, 14 Januari 2019
4. Kwa nini Mungu hamtumii mwanadamu kufanya kazi Yake ya hukumu katika siku za mwisho lakini badala yake Yeye ni lazima apate mwili na kuifanya Mwenyewe?
By UnknownJanuari 14, 2019Injili-ya-Ufalme-wa-Mbinguni, masomo-ya-Biblia, Mungu-Kupata-Mwili, Siku-ya-Hukumu, UnabiiNo comments
Aya za Biblia za Kurejelea:
“Kwa kuwa Baba hamhukumu mwanadamu yeyote, ila amekabidhi hukumu yote kwa Mwana” (YN. 5:22).
“Na yeye amempa mamlaka ya kuhukumu pia, kwa kuwa yeye ni Mwana wa Adamu” (YN. 5:27).
Maneno Husika ya Mungu:
Kazi mzima ya mpangilio wa usimamizi wa Mungu inafanywa binafsi na Mungu mwenyewe. Awamu ya kwanza—uumbaji wa ulimwengu—ilifanywa binafsi na Mungu Mwenyewe, na kama haikuwa hivyo, basi hakuna yeyote ambaye angekuwa na uwezo wa kumuumba mwanadamu;
Jumatano, 27 Desemba 2017
Mazungumzo Mafupi Kuhusu “Ufalme wa Milenia Umefika”
Mazungumzo Mafupi Kuhusu “Ufalme wa Milenia Umefika”
Mwenyezi Mungu alisema, Mnayaonaje maono ya Ufalme wa Milenia? Baadhi ya watu hutafakari sana kuuhusu na kusema kuwa Ufalme wa Milenia utadumu duniani kwa miaka elfu moja, hivyo basi ikiwa waumini wazee katika kanisa hawajaoa, je, wanapaswa kuoa? Familia yangu haina pesa, je napaswa nianze kutafuta pesa? … Ufalme wa Milenia ni nini? Je, mnajua? Watu ni nusu vipofu na wanapitia mateso mengi. Kwa hakika, Ufalme wa Milenia bado haujafika rasmi. Katika hatua ya kuwafanya wanadamu wakamilike, Ufalme wa Milenia ni mfano mdogo tu;
Jumanne, 26 Desemba 2017
Kuhusu Majina na Utambulisho | Umeme wa Mashariki
By Suara TuhanDesemba 26, 2017Neno-Laonekana-katika-Mwili, Roho-Mtakatifu, Unabii, Vitabu, YesuNo comments
Kuhusu Majina na Utambulisho
Mwenyezi Mungu alisema, Iwapo unataka kufaa kwa ajili ya matumizi na Mungu, lazima uijue kazi ya Mungu; lazima uijue kazi Aliyofanya awali (katika Agano Jipya na la Kale), na, zaidi ya hayo, lazima uijue kazi Yake ya leo. Ndiyo kusema, ni lazima uzitambue hatua tatu za kazi ya Mungu ya zaidi ya miaka 6,000. Ukiulizwa ueneze injili, basi hutaweza kufanya hivyo bila kuijua kazi ya Mungu. Watu watakuuliza yote kuhusu Biblia, na Agano la Kale, na nini Yesu alisema na kufanya wakati huo.
Ijumaa, 1 Desemba 2017
Kuhusu Biblia (1)
By Suara TuhanDesemba 01, 2017Biblia, Neno-Laonekana-katika-Mwili, Unabii, Vitabu, YehovaNo comments
Kuhusu Biblia (1)
Mwenyezi Mungu alisema, Biblia inapaswa kuangaliwaje kuhusiana na imani kwa Mungu? Hili ni swali muhimu sana. Kwa nini tunawasiliana swali hili? Kwa sababu wakati ujao utaeneza injili na kupanua kazi ya Enzi ya Ufalme, na haitoshi tu kuweza kuzungumza juu ya kazi ya Mungu leo.