Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Siku-ya-Hukumu. Onyesha machapisho yote
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Siku-ya-Hukumu. Onyesha machapisho yote
Jumapili, 28 Aprili 2019
Matamshi ya Mwenyezi Mungu | Sura ya 104
By Chris ZhouAprili 28, 2019Neno-la-Mungu, Neno-Laonekana-katika-Mwili, Siku-ya-Hukumu, siku-za-mwisho, VitabuNo comments
Watu, matukio na vitu vyote nje Yangu vitakufa na kuwakatika hali ya kutokuwepo, ilhali watu, matukio na vitu vyote vilivyo ndani Yangu vitapata kila kitu kutoka Kwangu na kuingia katika utukufu pamoja na Mimi, kuingia katika Mlima Wangu Sayuni, makazi Yangu, na kuishi pamoja kwa amani nami milele. Niliumba vitu vyote mwanzoni na Nitamaliza kazi Yangu mwishowe, na pia Nitatawala milele kama Mfalme. Katikati, pia Ninaongoza na kuutawala ulimwengu mzima. Hakuna anayeweza kuondoa mamlaka Yangu, kwani Mimi ni Mungu mmoja Mwenyewe, na pia Nina uwezo wa kupitisha mamlaka Yangu kwawazaliwa Wangu wa Kwanza, ili wazaliwa Wangu wa kwanza waweze kutawala kandokando Yangu.
Jumatatu, 14 Januari 2019
4. Kwa nini Mungu hamtumii mwanadamu kufanya kazi Yake ya hukumu katika siku za mwisho lakini badala yake Yeye ni lazima apate mwili na kuifanya Mwenyewe?
By UnknownJanuari 14, 2019Injili-ya-Ufalme-wa-Mbinguni, masomo-ya-Biblia, Mungu-Kupata-Mwili, Siku-ya-Hukumu, UnabiiNo comments
Aya za Biblia za Kurejelea:
“Kwa kuwa Baba hamhukumu mwanadamu yeyote, ila amekabidhi hukumu yote kwa Mwana” (YN. 5:22).
“Na yeye amempa mamlaka ya kuhukumu pia, kwa kuwa yeye ni Mwana wa Adamu” (YN. 5:27).
Maneno Husika ya Mungu:
Kazi mzima ya mpangilio wa usimamizi wa Mungu inafanywa binafsi na Mungu mwenyewe. Awamu ya kwanza—uumbaji wa ulimwengu—ilifanywa binafsi na Mungu Mwenyewe, na kama haikuwa hivyo, basi hakuna yeyote ambaye angekuwa na uwezo wa kumuumba mwanadamu;
Jumanne, 27 Februari 2018
"Ndoto Yangu ya Ufalme wa Kibinguni" (4): Ni nini Tofauti Kati ya Kazi ya Mungu ya Hukumu katika Siku za Mwisho na Kazi ya Bwana Yesu?
By UnknownFebruari 27, 2018Kazi-ya-Bwana-Yesu, Kazi-ya-Mungu, Sehemu-za-Filamu, Siku-ya-Hukumu, Ufalme-wa-Kibinguni, VideoNo comments
"Ndoto Yangu ya Ufalme wa Kibinguni" (4): Ni nini Tofauti Kati ya Kazi ya Mungu ya Hukumu katika Siku za Mwisho na Kazi ya Bwana Yesu?
Baadhi ya watu huamini kwamba baada ya Bwana Yesu kufufuka na kupaa mbinguni, Roho Mtakatifu alishuka kufanya kazi kwa mtu katika siku ya Pentekoste. Yeye aliishutumu dunia ya dhambi, na ya haki, na ya hukumu. Tunapopokea kazi ya Roho Mtakatifu na kutubu kwa Bwana kwa ajili ya dhambi zetu, tunapitia hukumu ya Bwana. Kazi inayofanywa na Roho Mtakatifu katika siku ya Pentekoste inapaswa kuwa kazi ya hukumu ya Mungu katika siku za mwisho. Je, tu sahihi katika njia tunayoipokea? Je, kuna tofauti gani kati ya kazi ya Bwana Yesu na kazi ya hukumu ya Mwenyezi Mungu katika siku za mwisho?
Ijumaa, 16 Februari 2018
Umeme wa Mashariki | Hakuna Aliye wa Mwili Anayeweza Kuepuka Siku Ya Ghadhabu
By UnknownFebruari 16, 2018kupata-mwili, Neno-Laonekana-katika-Mwili, Siku-ya-Hukumu, siku-za-mwisho, VitabuNo comments
Umeme wa Mashariki | Hakuna Aliye wa Mwili Anayeweza Kuepuka Siku Ya Ghadhabu
Mwenyezi Mungu alisema, Leo, Nawaonya hivi kwa ajili ya kusalimika kwenu wenyewe, ili kazi Yangu iendelee vizuri, na ili kazi Yangu ya uzinduzi kote ulimwenguni iweze kufanyika kwa njia inayofaa na kikamilifu, ikifichua maneno Yangu, mamlaka, adhama na hukumu kwa watu wa nchi zote na mataifa. Kazi Ninayoifanya miongoni mwenu ni mwanzo wa kazi Yangu katika ulimwengu wote. Ingawa sasa ni siku za mwisho tayari, jua kwamba "siku za mwisho" ni jina tu la enzi: Kama tu vile Enzi ya Sheria na Enzi ya Neema, linaashiria enzi, na linaashiria enzi nzima, badala ya mwisho wa miaka au miezi michache.