Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo kupata-mwili. Onyesha machapisho yote
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo kupata-mwili. Onyesha machapisho yote
Jumamosi, 30 Machi 2019
Sauti na maneno ya Roho Mtakatifu | “Kiini cha Mwili Ulio na Mungu”
By Chris ZhouMachi 30, 2019Kazi-ya-Mungu, Kristo, kupata-mwili, Neno-la-Mungu, Usomaji-wa-Maneno-ya-Mwenyezi-Mungu, VideoNo comments

Sauti na maneno ya Roho Mtakatifu | “Kiini cha Mwili Ulio na Mungu”
Mwenyezi Mungu anasema, "Maana ya kupata mwili ni kwamba Mungu Anajionyesha katika mwili, na Anakuja kufanya kazi miongoni mwa wanadamu wa uumbaji Wake katika umbo la mwili. Hivyo, ili Mungu kuwa mwili, ni lazima kwanza Apate umbo la mwili, mwili wenye ubinadamu wa kawaida;...
Jumatatu, 4 Machi 2019
Matamshi ya Mwenyezi Mungu | Fumbo la Kupata Mwili (4)
Mnapaswa kujua kuhusu hadithi ya ndani na uumbaji wa Biblia. Ufahamu huu haushikiliwi na wale ambao hawajakubali kazi mpya ya Mungu. Wao hawajui. Waelezee mambo haya ya kiini, na hawatakuwa pamoja nawe wenye kushikilia sana elimu ya vitabuni na sheria kuhusu Biblia. Wao huchunguza kwa uthabiti kile ambacho kimetabiriwa: Kauli hii imeshatimia? Kauli...
Jumapili, 3 Machi 2019
Neno la Mungu | Ni Wale Wanaolenga Kutenda tu Ndio Wanaweza Kukamilishwa
Katika siku za mwisho, Mungu alipata mwili ili kufanya kazi Aliyopaswa kufanya na kutekeleza huduma Yake ya maneno. Alikuja yeye mwenyewe ili kufanya kazi kati ya wanadamu kwa lengo la kuwakamilisha wale watu ambao wanaipendeza nafsi Yake. Kutoka wakati wa uumbaji hadi leo Yeye hufanya tu hiyo kazi wakati wa siku za mwisho. Ni wakati...
Jumatano, 13 Februari 2019
Filamu za Injili | “Siri ya Utauwa” (3) - Siri ya Kupata Mwili kwa Mungu
Filamu za Injili | “Siri ya Utauwa” (3) - Siri ya Kupata Mwili kwa Mungu
Katika Enzi ya Neema, Mungu alipata mwili na akawa Bwana Yesu aliyekuja kuwakomboa wanadamu, na Mafarisayo wa Kiyahudi wakasema kwamba Bwana Yesu alikuwa mwanadamu tu. Katika siku za mwisho, Mungu amepata mwili na amekuwa Mwenyezi Mungu ambaye Amekuja...
Jumanne, 5 Februari 2019
Kanisa la Mwenyezi Mungu | 2. Utangulizi Mfupi Kuhusu Usuli wa Kuonekana kwa Kazi ya Kristo wa Siku za Mwisho Nchini China
By UnknownFebruari 05, 2019kupata-mwili, siku-za-mwisho, ujio-wa-pili-wa-Yesu, Ukweli-Unaohusiana-na-InjiliNo comments

China ni nchi ambamo joka kubwa jekundu hukaa, na ni mahali ambapo pamempinga na kumshutumu Mungu zaidi sana katika historia. China ni kama ngome ya mapepo na gereza linalodhibitiwa na shetani, lisilopenyeka na lisiloingilika. Zaidi ya hayo, utawala wa joka kubwa jekundu husimama ukilinda katika ngazi zote na umeanzisha ulinzi katika...
Jumapili, 27 Januari 2019
Nyimbo za Dini | Ni kwa Kufanya Kazi Katika Mwili Pekee Ndiyo Mungu Anaweza Kumpata Binadamu
Nyimbo za Dini | Ni kwa Kufanya Kazi Katika Mwili Pekee Ndiyo Mungu Anaweza Kumpata Binadamu
I
Kupitia neno la Mungu la utendaji,
unyonge wa mwanadamu na uasi
yanahukumiwa na kufichuliwa.
Kisha wanadamu wanapokea wanachohitaji
Wanaona kuwa Mungu amekuja
katika ulimwengu huu wa binadam...
Jumatano, 16 Januari 2019
6. Kwa nini husemwa kuwa wanadamu wapotovu wanahitaji zaidi wokovu wa Mungu aliyepata mwili?
By UnknownJanuari 16, 2019Injili-ya-Ufalme-wa-Mbinguni, kupata-mwili, Mungu-Kupata-Mwili, siku-za-mwisho, vita-vya-kiroho, WokovuNo comments


6. Kwa nini husemwa kuwa wanadamu wapotovu wanahitaji zaidi wokovu wa Mungu aliyepata mwili?
(Fungu Lililochaguliwa la Neno la Mungu)
Mwanadamu Aliyeanguka Anahitaji Zaidi Wokovu wa Mungu Mwenye Mwili
Mungu alifanyika...
Jumanne, 15 Januari 2019
Matamshi ya Mwenyezi Mungu | 5. Ni zipi tofauti muhimu kati ya Mungu mwenye mwili na hao watu ambao hutumiwa na Mungu?
By UnknownJanuari 15, 2019dutu-ya-Mungu, Injili-ya-Ufalme-wa-Mbinguni, Kiumbe-Aliyeumbwa, kupata-mwili, masomo-ya-Biblia, Mungu-Kupata-Mwili, Roho-MtakatifuNo comments


Matamshi ya Mwenyezi Mungu | 5. Ni zipi tofauti muhimu kati ya Mungu mwenye mwili na hao watu ambao hutumiwa na Mungu?
Aya za Biblia za Kurejelea:
“Mimi nawabatiza na maji ili mtubu. Lakini yule ajaye baada ya mimi ni mwenye nguvu zaidi kuliko mimi, ambaye sistahili...
Jumamosi, 12 Januari 2019
nyimbo za injili | Unapaswa Kupokeaje Kurudi kwa Kristo wa Siku za Mwisho?
By UnknownJanuari 12, 2019dutu-ya-Mungu, Kristo-ndiye-ukweli, Kristo-ndiye-ukweli-njia-na-uzima, kupata-mwili, njia, Nyimbo-za-Neno-la-MunguNo comments

Nyimbo za Injili | Unapaswa Kupokeaje Kurudi kwa Kristo wa Siku za Mwisho?
I
Mwili wa Mungu utajumlisha
kiini cha Mungu na maonyesho Yake.
Atakapofanywa mwili,
Ataleta
matunda ya kazi Aliyopewa
ajidhihirishe na Alete Ukweli kwa wote,
awape uhai na awaonyeshe njia.
Mwili wowote usiokuwa na dutu
Yake sio Mwili wa Mung...
Jumatano, 21 Novemba 2018
Kwa nini Mungu hamtumii mwanadamu kufanya kazi Yake ya hukumu katika siku za mwisho lakini badala yake Yeye ni lazima apate mwili na kuifanya Mwenyewe?

Ni Lazima Mtu Ashuhudie Kipengele cha Ukweli Kuhusu Kupata Mwili kwa Mungu
4.Kwa nini Mungu hamtumii mwanadamu kufanya kazi Yake ya hukumu katika siku za mwisho lakini badala yake Yeye ni lazima apate mwili na kuifanya Mwenyewe?
Aya za Biblia za Kurejelea:
"Kwa...
Jumatano, 18 Julai 2018
"Njia ya Kwenda katika Ufalme wa Mbinguni ni Yenye Hatari" (2) - Je, Kuna Msingi Katika Biblia wa Kurudi kwa Bwana Kupitia Kupata Mwili?
By Kuhusu Umeme wa MasharikiJulai 18, 2018Biblia, kuja-kwa-mara-ya-pili, kupata-mwili, Sinema-za-InjiliNo comments

"Njia ya Kwenda katika Ufalme wa Mbinguni ni Yenye Hatari" (2) - Je, Kuna Msingi Katika Biblia wa Kurudi kwa Bwana Kupitia Kupata Mwili?
Watu wengi katika kukaribisha kuja kwa mara ya pili kwa Bwana wanaweka umuhimu tu katika unabii ulio katika Maandiko kwamba Bwana atashuka kutoka mawinguni kuja tena huku wakipuuza unabii kwamba kuja kwa pili...
Jumamosi, 30 Juni 2018
13. Kuelewa Mapenzi ya Mungu Katikati ya Matatizo

13. Kuelewa Mapenzi ya Mungu Katikati ya Matatizo
Xiao Rui Mji wa Panzhihua, Mkoa wa Sichuan
Nilipokuwa nikihubiri injili nilikutana na viongozi wa madhehebu ambao walisema uongo ili kupinga na kuvuruga, na kuwaita...
Jumatatu, 14 Mei 2018
Umeme wa Mashariki | Ufafanuzi wa Tamko la Kumi na Sita
By UnknownMei 14, 2018Kiumbe-Aliyeumbwa, kupata-mwili, Mungu, Neno-Laonekana-katika-Mwili, VitabuNo comments

Umeme wa Mashariki | Ufafanuzi wa Tamko la Kumi na Sita
Mwenyezi Mungu alisema, Kwa watu, Mungu ni mkuu mno, mwenye utele mno, wa ajabu mno, Asiyeeleweka mno; machoni pao, maneno ya Mungu hupaa juu, na huonekana kama kazi bora sana ya ulimwengu. Lakini kwa vile watu wana kasoro nyingi sana, na akili zao ni za kawaida san...
Jumamosi, 21 Aprili 2018
Umeme wa Mashariki | Ufafanuzi wa Tamko la Kumi
By UnknownAprili 21, 2018kanisa, kupata-mwili, kwamba-ujenzi-wa-ufalme, Neno-Laonekana-katika-Mwili, VitabuNo comments

Umeme wa Mashariki | Ufafanuzi wa Tamko la Kumi
Mwenyezi Mungu alisema, Katika wakati wa ujenzi wa kanisa, Mungu alitaja ujenzi wa kanisa kwa nadra. Hata Alipotaja, Alifanya hivyo katika lugha ya wakati wa ujenzi wa kanisa. Mara tu Enzi ya Ufalme ilipokuja, Mungu alifuta...
Jumamosi, 14 Aprili 2018
Mungu Kuja Duniani na Kuwa Sadaka ya Dhambi
By UnknownAprili 14, 2018kupata-mwili, Neno-Laonekana-katika-Mwili, Ukombozi, Vitabu, YesuNo comments


Kuja kwa Bwana Yesu hakumalizi tu enzi nzee iliyofungwa na sheria, na kuwaleta wanadamu kwa enzi mpya, lakini pia kunaboresha uhusiano kati ya mwanadamu na Mungu, na kunaashiria mwanzo mpya, hatua mpya ya kuanzia, kwa kazi ya Mungu ya usimamizi miongoni mwa wanadamu.
Mwenyezi...
Jumatano, 11 Aprili 2018
Umeme wa Mashariki | Tamko la Nne

Umeme wa Mashariki | Tamko la Nne
Watu Wangu wote wanaohudumu mbele Zangu wanapaswa kutafakari kuhusu siku zilizopita: Je, upendo wenu Kwangu ulikuwa umetiwa doa na uchafu? Je, uaminifu wenu Kwangu ulikuwa safi na wa moyo wako wote? Je, ufahamu wenu kunihusu ulikuwa...
Jumatatu, 9 Aprili 2018
Maono ya Kazi ya Mungu (1)
By UnknownAprili 09, 2018Injili, kupata-mwili, Neno-Laonekana-katika-Mwili, ushindi, Vitabu, YesuNo comments


Maono ya Kazi ya Mungu (1)
Mwenyezi Mungu alisema, Yohana alimfanyia Yesu kazi kwa miaka saba, na tayari alikuwa ameandaa njia Yesu alipofika. Kabla ya haya, injili ya ufalme wa mbinguni iliyohubiriwa na Yohana ilisikika kotekote katika nchi, hivyo ilienea kutoka upande...
Jumatano, 4 Aprili 2018
Kuhusu Biblia (3)
By UnknownAprili 04, 2018Biblia, Bwana-Yesu, kupata-mwili, Neno-Laonekana-katika-Mwili, siku-za-mwisho, VitabuNo comments


Kuhusu Biblia (3)
Mwenyezi Mungu alisema, Sio kila kitu katika Biblia ni rekodi ya maneno aliyoyasema Mungu. Kimsingi Biblia inaandika hatua mbili za awali za kazi ya Mungu, ambapo sehemu moja ni rekodi ya utabiri wa kale wa manabii, na sehemu nyingine ni uzoefu na...
Jumatano, 14 Machi 2018
Umeme wa Mashariki | Utendaji (1)
By UnknownMachi 14, 2018kupata-mwili, makusudi-ya-Mungu, mapenzi-ya-Mungu, Neno-Laonekana-katika-Mwili, Roho-Mtakatifu, VitabuNo comments


Umeme wa Mashariki | Utendaji (1)
Mwenyezi Mungu alisema, kulikuwa na kupotoka kwingi katika jinsi watu walipata uzoefu, na kungeweza hata kuwa kwa ajabu. Kwa sababu tu hawakuelewa viwango vya mahitaji ya Mungu, kulikuwa na maeneo mengi ambayo uzoefu wa watu ulienda...
Jumanne, 13 Machi 2018
Ngoma ya Kikristo | Swahili Worship Song "Ufalme wa Kristo Unapatikana Miongoni mwa Wanadamu"
By UnknownMachi 13, 2018kupata-mwili, siku-za-mwisho, ushindi, Video, Video-za-Nyimbo-na-Ngoma, watu-wa-MunguNo comments


Ngoma ya Kikristo | Swahili Worship Song "Ufalme wa Kristo Unapatikana Miongoni mwa Wanadamu"
Mwenyezi Mungu mwenye mwili
Anaonekana katika siku za mwisho Mashariki,
kama tu vile jua la haki likichomoza;
mwanadamu ameona mwanga wa kweli ukionekana.
Mungu wa haki na...