Jumamosi, 12 Januari 2019

nyimbo za injili | Unapaswa Kupokeaje Kurudi kwa Kristo wa Siku za Mwisho?

Nyimbo za Injili | Unapaswa Kupokeaje Kurudi kwa Kristo wa Siku za Mwisho?

I
Mwili wa Mungu utajumlisha
kiini cha Mungu na maonyesho Yake.
Atakapofanywa mwili,
Ataleta
matunda ya kazi Aliyopewa
ajidhihirishe na Alete Ukweli kwa wote,
awape uhai na awaonyeshe njia.
Mwili wowote usiokuwa na dutu
Yake sio Mwili wa Mungu.
II
Thibitisha mwili Wake na njia ya kweli
tazamia tabia,
maneno na matendo Yake.
Angazia dutu Yake
wala si sura Yake ya nje.
Ni upumbavu na ujinga kuangazia
sura ya nje ya Mungu.
Ya nje haiamui ile ya ndani,
na kazi ya Mungu haiambatani
na dhana za mwanadamu.
III
Je, si sura ya nje ya Yesu
ilitofautiana na matarajio ya watu
Je, si mfano Wake
na mavazi Yake
yalificha utambulisho Wake
Si ndio sababu
Mafarisayo walimpinga Yesu
Walilenga sura Yake ya nje wakapuuza maneno
Aliyoyasema.
Mungu hutarajia wanaotafuta uonekano Wake,
wasirudie historia.
Usifuate Mafarisayo
usulubishe Mungu msalabani tena.
Tilia maanani
utakavyokaribisha kurudi Kwake.
Waza wazi utakavyotii ukweli.
Ndio wajibu
wa kila angojaye kurudi
kwake Yesu.

kutoka kwa Neno Laonekana katika Mwili

0 评论:

Chapisha Maoni