Jumatatu, 7 Januari 2019

"Njia ya Kwenda katika Ufalme wa Mbinguni ni Yenye Hatari" (4) - Kwa Nini Binadamu Humwasi Mungu?

"Njia ya Kwenda katika Ufalme wa Mbinguni ni Yenye Hatari" (4) - Kwa Nini Binadamu Humwasi Mungu?

Miaka elfu mbili iliyopita, Mungu alipopata mwili kama Bwana Yesu na kuja miongoni mwa wanadamu kuwakomboa binadamu Alikataliwa katika enzi ya giza, hatimaye kusulubiwa msalabani na binadamu waovu wenye upotovu.
Bwana Yesu alitabiri kwamba Angekuja tena katika siku za mwisho, Akisema: "Kwa kuwa kama vile umeme, umulikavyo toka upande mmoja chini ya mbingu, na kumulika upande mwingine chini ya mbingu; ndivyo atakavyokuwa Mwana wa Adamu katika siku yake. Lakini kwanza, ni lazima apate mateso mengi, na kukataliwa na kizazi hiki.” (Luka 17:24-25). Kwa nini Bwana Yesu atakapokuja tena katika siku za mwisho “Atakataliwa na kizazi hiki”? Mungu alipoonekana mara mbili katika mwili kufanya kazi Yake kwa nini alikumbwa na uasi na shutuma kali na binadamu wapotovu? Je, unajua sababu katika hili? Video hii fupi itakufichulia jibu.
Soma Zaidi: Kuhusu Kanisa la Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki Hutoka wapi?

0 评论:

Chapisha Maoni