Ijumaa, 25 Januari 2019

Wimbo wa Maneno ya Mungu Viumbe Wote Lazima Waje Chini ya Utawala wa Mungu


Wimbo wa Maneno ya Mungu Viumbe Wote Lazima Waje Chini ya Utawala wa Mungu


I
Mungu aliumba vitu vyote,
na hivyo Yeye hufanya viumbe vyote
kuja chini ya amri Yake, na kutii utawala Wake.
Anaamuru vitu vyote, akividhibiti katika mikono Yake.
Vitu hai, milima, mito na mwanadamu
lazima vyote vije chini ya amri Yake.
Vitu angani na duniani
lazima vyote vije chini ya utawala Wake.
Vyote lazima vitii, bila uchaguzi wowote.
Hii ni amri ya Mungu na mamlaka Yake.
II
Mungu aliumba vitu vyote,
na hivyo Yeye hufanya viumbe vyote
kuja chini ya amri Yake, na kutii utawala Wake.
Kila kitu kinaamuriwa na Mungu.
Anaamuru na kuvipanga vitu vyote,
kila kuainishwa kulingana na aina na kwa mapenzi ya Mungu
kupewa nafasi yake.
Vitu angani na duniani
lazima vyote vije chini ya utawala Wake.
Vyote lazima vitii, bila uchaguzi wowote.
Hii ni amri ya Mungu na mamlaka Yake.
III
Haijalishi kitu ni kikubwa vipi,
hakitaweza kamwe kumzidi Mungu.
Vyote vinamtumikia Mungu-hakuna binadamu
wanaothubutu kupinga au kufanya madai kwa Mungu.
Mwanadamu, kiumbe wa Mungu,
lazima pia aendeleze wajibu wake.
Awe bwana au mtawala wa vitu vyote,
hata hadhi yake iwe ya juu vipi,
mtu mdogo chini ya utawala wa Mungu atabaki kuwa.
Mwanadamu asiye na maana, kiumbe wa Mungu,
kamwe hatakuwa juu ya Mungu.

kutoka katika Neno Laonekana katika Mwili

0 评论:

Chapisha Maoni