Jaweni na Upendo kwa Ajili ya Mungu | Muziki wa Akapela "Yasifu Maisha Mapya"

Kristo wa siku za mwisho ameonekana, akifanya kazi na kuzungumza miongini mwa wanadamu. Neno lake hutuhukumu, kutuadibu na kututakasa, likituongoza kwenye njia sahihi ya maisha ya binadamu.

Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo utukufu-kwa-Mungu. Onyesha machapisho yote
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo utukufu-kwa-Mungu. Onyesha machapisho yote

Ijumaa, 25 Januari 2019

Wimbo wa Maneno ya Mungu Viumbe Wote Lazima Waje Chini ya Utawala wa Mungu

Wimbo wa Maneno ya Mungu Viumbe Wote Lazima Waje Chini ya Utawala wa Mungu I Mungu aliumba vitu vyote, na hivyo Yeye hufanya viumbe vyote kuja chini ya amri Yake, na kutii utawala Wake. Anaamuru vitu vyote, akividhibiti katika mikono Yake. Vitu hai, milima, mito na mwanadamu lazima vyote vije chini ya amri Yak...

Jumanne, 27 Novemba 2018

94. Majonzi Yalivutia Upendo Wangu kwa Mungu

94. Majonzi Yalivutia Upendo Wangu kwa Mungu Meng Yong Mkoa wa Shanxi Mimi kwa asili ni mtu mwaminifu, ikiwa ndiyo maana nimekuwa nikidhulumiwa daima na watu wengine. Kwa sababu hiyo, nimeonja dharau ya ulimwengu wa mwanadamu na nilihisi maisha yangu yakiwa matupu...

Alhamisi, 8 Machi 2018

Umeme wa Mashariki | Njia… (1)

Umeme wa Mashariki | Njia… (1) Mwenyezi Mungu alisema, maisha yake, hakuna mtu anayejua ni aina gani ya vipingamizi ataenda kukutana navyo, wala hajui ni aina gani ya kusafishwa ambayo atapata mara kwa mara. Kwa wengine ni katika kazi yao, kwa wengine ni katika matazamio...