Jaweni na Upendo kwa Ajili ya Mungu | Muziki wa Akapela "Yasifu Maisha Mapya"

Kristo wa siku za mwisho ameonekana, akifanya kazi na kuzungumza miongini mwa wanadamu. Neno lake hutuhukumu, kutuadibu na kututakasa, likituongoza kwenye njia sahihi ya maisha ya binadamu.

Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Ushuhuda-wa-Kuipitia-Hukumu-ya-Kristo. Onyesha machapisho yote
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Ushuhuda-wa-Kuipitia-Hukumu-ya-Kristo. Onyesha machapisho yote

Jumanne, 22 Januari 2019

uzoefu wa maisha | 8. Kutambua Kuwa Nimekuwa Nikiitembea Njia ya Mafarisayo

uzoefu wa maisha | 8. Kutambua Kuwa Nimekuwa Nikiitembea Njia ya Mafarisayo Wuxin Mji wa Taiyuan, Mkoa wa Shanxi Kitu ambacho tumezungumzia mara kwa mara katika ushirikiano wa awali ni njia ambazo zilitembewa na Petro na Paulo. Inasemekana kwamba Petro alizingatia...

Jumapili, 20 Januari 2019

2. Kuona Uhalisi Wangu Kwa Dhahiri

 2. Kuona Uhalisi Wangu Kwa Dhahiri Xiaoxiao Jijini Xuzhou, Mkoani Jiangsu Kwa sababu ya mahitaji ya kazi ya kanisa, nilihamishwa mpaka mahali pengine ili kutimiza wajibu wangu. Wakati huo, kazi ya injili mahali pale ilikuwa katika hali duni, na hali ya akina...

Jumatano, 26 Desemba 2018

9. Ninaona njia ya kumjua Mungu

9. Ninaona njia ya kumjua Mungu Xiaocao Mji wa Changzhi, Mkoa wa Shanxi Siku moja, niliona kifungu hiki kifuatacho cha neno la Mungu kwa maandishi “Namna Petro Alivyopata Kumjua Yesu”: “Kwenye kipindi kile alichomfuata Yesu, Petro alitazama na kutia moyoni kila kitu...

Ijumaa, 21 Desemba 2018

43. Watu Wasio na Hila Sio Lazima Wawe Waaminifu

Umeme wa Mashariki | 43. Watu Wasio na Hila Sio Lazima Wawe Waaminifu Cheng Mingjie Jiji la Xi'an, Mkoa wa Shaanxi Mimi hujiona kuwa mtu wa aina ya kuwa wazi na mchangamfu. Mimi huzungumza na watu kwa njia ya waziwazi; chochote ninachotaka kusema, mimi husema—mimi...

Jumatano, 19 Desemba 2018

25. Umuhimu wa Uratibu Katika Huduma

Umeme wa Mashariki |  25. Umuhimu wa Uratibu Katika Huduma Mei Jie Jijini Jinan, Mkoani Shandong Baada ya kubadilisha uongozi wa kanisa kurudi kwa ule wa asili, ubia uliwekwa kwa kila ngazi ya kiongozi katika nyumba ya Mungu. Wakati huo, nilifikiri kwamba...

Jumanne, 4 Desemba 2018

62. Sababu ya Kweli ya Kazi Isiyofaa

62. Sababu ya Kweli ya Kazi Isiyofaa Xinyi Mji wa Xi’an, Mkoa wa Shaanxi Katika ziara zangu za karibuni kwa makanisa, mara nyingi niliwasikia viongozi na wafanyakazi wakisema kwamba watu wengine, baada ya kuhudhuria ushirika na mimi, waligeuka hasi, wanyonge na...

Ijumaa, 30 Novemba 2018

60. Chochote Mungu Asemacho Ndiyo Hukumu Hasa ya Mwanadamu

60. Chochote Mungu Asemacho Ndiyo Hukumu Hasa ya Mwanadamu Xunqiu Mji wa Nanyang, Mkoa wa Henan Nilikuwa nikidhani kwamba Mungu alimhukumu na kumuadibu mwanadamu wakati tu Alipoufichua upotovu wa asili wa mwanadamu au alipoeleza maneno mkali ambayo yaliuhukumu...

Jumatano, 28 Novemba 2018

95. Kuinuka Kupitia Ukandamizaji wa Giza

Umeme wa Mashariki | 95. Kuinuka Kupitia Ukandamizaji wa Giza Mo Zhijian Mkoa wa Guangdong Nilizaliwa katika eneo maskini, la mbali lenye milima ambako tumefukiza na kumwabudu Budha kwa vizazi vingi. Kuna hekalu za Budha sehemu hiyo kote ambako familia zote...

Jumanne, 27 Novemba 2018

94. Majonzi Yalivutia Upendo Wangu kwa Mungu

94. Majonzi Yalivutia Upendo Wangu kwa Mungu Meng Yong Mkoa wa Shanxi Mimi kwa asili ni mtu mwaminifu, ikiwa ndiyo maana nimekuwa nikidhulumiwa daima na watu wengine. Kwa sababu hiyo, nimeonja dharau ya ulimwengu wa mwanadamu na nilihisi maisha yangu yakiwa matupu...

Alhamisi, 27 Septemba 2018

Kuuonja Upendo wa Mungu Katikati ya Dhiki

Kuuonja Upendo wa Mungu Katikati ya Dhiki Chen Lu Wilaya ya Tonglu, Mkoa wa Zhejiang     Nilizaliwa miaka ya 1980 katika kijiji—tulikuwa tumekuwa familia ya wakulima kwa vizazi vingi. Nilijiingiza katika masomo yangu ili niweze kuhitimu kuingia katika chuo...

Jumapili, 23 Septemba 2018

Utajiri wa Maisha

Utajiri wa Maisha Wang Jun Mkoa wa Shandong Kwa miaka mingi tangu kukubali kazi ya Mwenyezi Mungu katika siku za mwisho, mke wangu na mimi tumepitia hili pamoja chini ya ukandamizaji wa joka kubwa jekundu. Katika wakati huu, ingawa nimekuwa na udhaifu, maumivu, na...

Jumatano, 19 Septemba 2018

Mapambano ya Kufa na Kupona

Mapambano ya Kufa na Kupona Chang Moyang Mjini Zhengzhou, Mkoani Henan "Unapoutelekeza mwili, bila shaka kutakuwa na mapambano ndani. Shetani anataka ufuate dhana za mwili, kulinda maslahi ya mwili. Hata hivyo, neno la Mungu bado linakupa nuru na kukuangaza ndani,...

Jumatatu, 17 Septemba 2018

Kujijua kwa Hakika kwa Kuuelewa Ukweli Tu

Kujijua kwa Hakika kwa Kuuelewa Ukweli Tu Wenwen Mji wa Changchun, Mkoa wa Jilin Kwa maoni yangu, daima nililidhani kwamba mradi matendo ya nje yalionekana ya kufaa ambapo watu hawangeweza kuona upotovu wowote, basi lilichukuliwa kuwa mabadiliko. Kwa hiyo, nilizingatia...

Jumamosi, 15 Septemba 2018

Ni Upendo wa Mungu Tu Ulio Halisi

Ni Upendo wa Mungu Tu Ulio Halisi Xiaodong Mkoa wa Sichuan Mungu alisema, “Taifa la China ambalo limepotoshwa kwa miaka elfu nyingi limeendelea mpaka leo. Kila aina ya virusi vinaendelea kutanuka na vinasambaa kila mahali kama taun...

Jumapili, 9 Septemba 2018

Mabadiliko ya Kweli Humaanisha Nini?

Mabadiliko ya Kweli Humaanisha Nini? Jinru    Mji wa Nanyang, Mkoa wa Henan Wakati ndugu wa kiume au wa kike alipoonyesha dosari zangu au hakusikiza kauli yangu ama sikuhisi kushawishika au nilibishana nao. Nilijutia vitendo vyangu baadaye, lakini nilipokabiliwa...

Ijumaa, 7 Septemba 2018

Maneno ya Mungu Huniongoza Kujifunza Jinsi ya Kufundisha Watoto Wangu (II)

Xiaoxue, Malesia     Siku moja baada ya mlo mkuu wa siku, nilimfundisha mwanangu mvulana mkubwa jinsi ya kusoma Kichina—maneno rahisi tu, “Mbinguni, dunia, watu, na, dunia, baba, mama….” Nilimfundisha mara chache hasa, lakini bado hakuweza kuandika. Angeandika...

Jumanne, 4 Septemba 2018

Kwaheri kwa Zile Siku za Kushindana na Majaliwa

Kwaheri kwa Zile Siku za Kushindana na Majaliwa Yixin Kijiji cha kishamba kilichojikokota kimaendeleo, wazazi wangu waliochoka kwa sababu ya kazi zao, maisha ya shida za kifedha … kumbukumbu hizi za huzuni zilitia alama kwa mawazo yangu machanga, zilikuwa ni hisia...

Ijumaa, 31 Agosti 2018

Maneno ya Mungu Huniongoza Kujifunza Jinsi ya Kuwafundisha Wanangu (I)

Maneno ya Mungu Huniongoza Kujifunza Jinsi ya Kuwafundisha Wanangu (I) Xiaoxue, Malesia Nina wana wawili wa kiume na wameachana na mwaka mmoja. Ili kuwalea kuwa watu waliostaarabika, wenye tabia nzuri, watu wema ambao wataweza watajijengea jina katika jamii na...

Jumatatu, 27 Agosti 2018

Asili ya Binadamu Haiwezi Kupimwa kwa Sura

Asili ya Binadamu Haiwezi Kupimwa kwa Sura Yang Rui Mji wa Yuci , Mkoa wa Shanxi Siku moja, nilisikia kwa ghafla kuwa baba yangu alifukuzwa kutoka kwa kanisa. Nilishangaa kabisa wakati huo na sikuweza kuelewa. Katika moyo wangu, baba yangu alikuwa ndiye mtu mkuu mno...

Ijumaa, 24 Agosti 2018

Maneno ya Mungu Yameniamsha

Maneno ya Mungu Yameniamsha Miao Xiao Mji wa Jinan, Mkoa wa Shandong Katika siku zilizopita, nilikuwa daima nikifikiri kuwa Mungu aliposema “ni kibaraka na msaliti anayekikimbia kiti kikuu cheupe cha enzi” Alikuwa anaashiria wale wanaoikubali hatua hii ya kazi lakini...