Jaweni na Upendo kwa Ajili ya Mungu | Muziki wa Akapela "Yasifu Maisha Mapya"

Kristo wa siku za mwisho ameonekana, akifanya kazi na kuzungumza miongini mwa wanadamu. Neno lake hutuhukumu, kutuadibu na kututakasa, likituongoza kwenye njia sahihi ya maisha ya binadamu.

Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo imani. Onyesha machapisho yote
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo imani. Onyesha machapisho yote

Jumamosi, 11 Mei 2019

Maneno ya Mungu | Sura ya 5

Maneno ya Mungu | Sura ya 5 Milima na mito huenda ikibadilika, vijito hutiririka mbele, na maisha ya mwanadamu ni yenye uvumilivu mdogo kuliko ardhi na anga. Mwenyezi Mungu pekee ndiye maisha ya milele yaliyofufuka milele, katika vizazi hai milele! Vitu vyote na...

Jumatano, 26 Desemba 2018

9. Ninaona njia ya kumjua Mungu

9. Ninaona njia ya kumjua Mungu Xiaocao Mji wa Changzhi, Mkoa wa Shanxi Siku moja, niliona kifungu hiki kifuatacho cha neno la Mungu kwa maandishi “Namna Petro Alivyopata Kumjua Yesu”: “Kwenye kipindi kile alichomfuata Yesu, Petro alitazama na kutia moyoni kila kitu...

Alhamisi, 6 Desemba 2018

Swahili Christian Video "Mazungumzo" (2): Jinsi Wakristo Wanavyoukabili Utiaji Kasumba wa Ukanaji Mungu wa CCP

Swahili Christian Video "Mazungumzo" (2): Jinsi Wakristo Wanavyoukabili Utiaji Kasumba wa Ukanaji Mungu wa CCP Ili kuwalazimisha Wakristo kumtelekeza Mungu na kuiacha imani yao, CCP haijawaashawishi Wakristo kwa umaarufu na hadhi tu, lakini imewatia kasumba ya ukanaji Mungu, uyakinifu, kuamini mageuko, na maarifa ya kisayansi.&...

Jumatatu, 26 Novemba 2018

Filamu za Injili | "Kupita Katika Mtego" | Je, Kuamini katika Biblia Kunaweza Kuwakilisha Kumwamini Mungu?

Filamu za Injili | "Kupita Katika Mtego" | Je, Kuamini katika Biblia Kunaweza Kuwakilisha Kumwamini Mungu? Wachungaji na wazee wa ulimwengu wa dini hushikilia maneno ya Paulo katika Biblia yanayosema "Maandiko yote yametolewa kwa msukumo wa Mungu," wakiamini kwamba Biblia ni maneno ya Mungu kabisa na kufanya yote wanayoweza...

Jumamosi, 24 Novemba 2018

Filamu za Injili | "Kupita Katika Mtego" | Kwa nini Chama cha Kikomunisti cha China Kinalitesa Kanisa la Mwenyezi Mungu

Filamu za Injili | "Kupita Katika Mtego" | Kwa nini Chama cha Kikomunisti cha China Kinalitesa Kanisa la Mwenyezi Mungu Chama cha Kikomunisti cha China ni serikali ya kishetani ambayo huchukia ukweli na Mungu. Kinajua kwamba Mwenyezi Mungu peke Yake katika ulimwengu ndiye Anayeweza kuonyesha ukweli. Mwenyezi Mungu yuko katika mchakato...

Ijumaa, 10 Agosti 2018

Nyendo za Mateso ya Kidini Nchini China| "Ni Nani Aliyemlazimisha Kuyatamatisha Maisha Yake"

Nyendo za Mateso ya Kidini Nchini China| "Ni Nani Aliyemlazimisha Kuyatamatisha Maisha Yake" Tangu kilipokuja mamlakani katika China Bara mnamo mwaka wa 1949, Chama Cha Kikomunisti cha China kimekuwa hakikomi katika mateso yake kwa imani ya kidini. Kwa wayowayo kimewashika na kuwaua Wakristo, kuwafukuza na kuwadhulumu wamishonari wanaofanya...

Jumapili, 4 Machi 2018

Kwa Nini Chama cha Kikomunisti cha China Kwa Hasira Kinakandamiza na Kutesa Imani ya Kidini?

Kwa Nini Chama cha Kikomunisti cha China Kwa Hasira Kinakandamiza na Kutesa Imani ya Kidini? Chama cha Kikomunisti cha China wakati huu wote kimewakandamiza kwa hasira, kuwashambulia na kupiga marufuku imani za kidini. Wanawachukulia Wakristo kama wahalifu wakuu wa...