Jaweni na Upendo kwa Ajili ya Mungu | Muziki wa Akapela "Yasifu Maisha Mapya"

Kristo wa siku za mwisho ameonekana, akifanya kazi na kuzungumza miongini mwa wanadamu. Neno lake hutuhukumu, kutuadibu na kututakasa, likituongoza kwenye njia sahihi ya maisha ya binadamu.

Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Filamu-za-Kikristo. Onyesha machapisho yote
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Filamu-za-Kikristo. Onyesha machapisho yote

Jumatatu, 31 Desemba 2018

"Njia ya Kwenda katika Ufalme wa Mbinguni ni Yenye Hatari" (6) - Mungu Humtumiaje Shetani Kufanya Huduma

"Njia ya Kwenda katika Ufalme wa Mbinguni ni Yenye Hatari" (6) - Mungu Humtumiaje Shetani Kufanya Huduma Mwenyezi Mungu anasema, "Katika Mpango Wangu, Shetani amewahi ondoka katika kisigino cha kila hatua, na, kama foili ya hekima Yangu amejaribu siku zote kutafuta njia na namna ya kuvuruga mpango Wangu wa awali.&nbs...

Jumatatu, 10 Desemba 2018

"Njia ya Kwenda katika Ufalme wa Mbinguni ni Yenye Hatari" (5) - Kwa Nini Mafarisayo Wanampinga Mungu?

"Njia ya Kwenda katika Ufalme wa Mbinguni ni Yenye Hatari" (5) - Kwa Nini Mafarisayo Wanampinga Mungu? Mafarisayo wa dunia ya kidini wote wana maarifa nyingi ya Maandiko na wamemtumikia Mungu kwa miaka mingi, na bado hawatafuti na kuchunguza kuonekana na kazi ya Mungu mwenye mwili tu, lakini kinyume na hayo, wanahukumu vikali, kushutumu, na...

Jumatano, 7 Novemba 2018

Swahili Christian Skit "Mipaka ya Meya wa Kijiji" | Why Is There No Religious Freedom in China?

Swahili Christian Skit "Mipaka ya Meya wa Kijiji" | Why Is There No Religious Freedom in China? Mchezo mfupi Mipaka ya Meya wa Kijiji inaeleza hadithi ya kweli ya mume na mke Wakristo ambao wanalazimishwa kutoroka kwa sababu ya mateso ya serilaki ya CCP. Mkristo Liu Ming'en anahukumiwa na CCP miaka saba gerezani kwa kuamini katika Mungu....

Jumatatu, 5 Novemba 2018

Filamu za Kikristo | "Mazungumzo" | Christian Testimony of Overcoming Satan

Filamu za Kikristo | "Mazungumzo" | Christian Testimony of Overcoming Satan Jiang Xinyi na Wakristo wengine walikamatwa na serikali ya CCP; wao huwatesa Wakristo kwa ukatili ili kutwaa fedha za kanisa na kuwakamata viongozi zaidi wa kanisa. Kisha, ili kuwalazimisha kuikataa imani yao, wao huzindua kampenii moja baada ya nyingine ya kuwatia...

Jumapili, 4 Novemba 2018

Swahili Christian Video "Bwana Anakuja Kwa Namna Gani Hasa?" | The Son of Man Has Come to Earth

Swahili Christian Video "Bwana Anakuja Kwa Namna Gani Hasa?" | The Son of Man Has Come to Earth Katika siku za mwisho, hali ya moyo ya Wakristo wanaongoja kurudi kwa Bwana Yesu inakuwa kali sana, lakini ni kwa vipi, hasa, Bwana atarudi? Baadhi wanasema, "Bwana Yesu atakuja na mawingu." Wengine wanasema, "Unabii unaotabiri kurudi Kwake nao unasema,...

Ijumaa, 2 Novemba 2018

Swahili Gospel Video Clip "Ahadi ya Mungu kwa Waisraeli"

Swahili Gospel Video Clip "Ahadi ya Mungu kwa Waisraeli"     Baada ya mamia ya miaka ya kuwekwa chini ya sheria, Waisraeli hatimaye walikabiliwa na hatari ya kuhukumiwa na kuuawa na sheria kwa sababu ya dhambi zao. Walimwita Mungu kwa haraka, ambaye aliwapa...

Alhamisi, 1 Novemba 2018

Swahili Gospel Video Clip "Mungu Akitoa Sheria" l Umeme wa Mashariki

Swahili Gospel Video Clip "Mungu Akitoa Sheria" Baada ya Musa kuwaongoza Waisraeli kutoka Misri, Mungu alitangaza sheria na amri, ambazo ziliyaongoza maisha ya Waisraeli duniani na kuwafundisha watu jinsi ya kumwabudu Mungu. Sheria hizi hazikuwaongoza tu Waisraeli, lakini ziliarifu na kutoa matarajio kwa kuundwa kwa katiba kwa vizazi vijavyo,...

Jumatano, 31 Oktoba 2018

2018 Gospel Music "Mungu Akiwaongoza Waisraeli Kutoka Misri" (Swahili Subtitles)

2018 Gospel Music "Mungu Akiwaongoza Waisraeli Kutoka Misri" (Swahili Subtitles) Ili kuwaongoza Waisraeli kutoka Misri, Mungu alituma mapigo kumi Misri, akatumia mamlaka Yake kwa kutenganisha bahari, na kuwakomboa Waisraeli kutoka kwa maisha yao ya utumwa—yote ambayo yalidhihirisha uwezo Wake mkuu, na kueleza upendo Wake mkubwa na hangaiko...

Jumanne, 30 Oktoba 2018

Swahili Gospel Movie Segment "Mungu Anashikilia Ukuu Juu Ya Majaliwa ya Kila Nchi na Watu Wote"

Swahili Gospel Movie Segment "Mungu Anashikilia Ukuu Juu Ya Majaliwa ya Kila Nchi na Watu Wote" Milki ya kale ya Kirumi na Milki ya zamani ya Uingereza zilikuwa na mafanikio na nguvu kwa haraka sana na kisha kufifia kuelekea kudhoofika na uharibifu. Sasa, Marekani limekuwa taifa kubwa lisilobishaniwa la ulimwengu na pia lina jukumu lisilofidika...

Jumatatu, 29 Oktoba 2018

Gospel Video "Rekodi ya Kazi ya Mungu ya Kuumba Ulimwengu na Kuwaongoza na Kuwakomboa Wanadamu"

Gospel Video "Rekodi ya Kazi ya Mungu ya Kuumba Ulimwengu na Kuwaongoza na Kuwakomboa Wanadamu"     Je, unataka kujua jinsi Mungu alivyouumba ulimwengu? Je, unataka kujua jinsi Mungu amewaongoza wanadamu hatua kwa hatua hadi leo? Sehemu hii ya ajabu kutoka...

Ijumaa, 26 Oktoba 2018

Swahili Gospel Video Clip "Mungu Kuja Duniani na Kuwa Sadaka ya Dhambi"

Swahili Gospel Video Clip "Mungu Kuja Duniani na Kuwa Sadaka ya Dhambi" Wakati wa Enzi ya Neema, Bwana Yesu alikuja miongoni mwa mwanadamu na kusulubiwa kwa ajili yake. Alimkomboa mwanadamu kutoka kwa utumwa wa sheria, na kwa sababu ya sadaka ya dhambi, wanadamu...

Alhamisi, 25 Oktoba 2018

2018 Gospel Music "Uumbaji wa Mungu wa Dunia" (Swahili Subtitles)

2018 Gospel Music "Uumbaji wa Mungu wa Dunia" (Swahili Subtitles)     Kitabu cha Mwanzo kimenakili jinsi, hapo mwanzo, Mungu aliuumba ulimwengu kimiujiza. Dondoo hii ya filamu ya Kikristo inakutolea ufanisi wa kushangaza wa Mungu wa kuuumba ulimwengu.     Kujua zaidi:  Asili ya Kanisa la Mwenyezi Mungu, Chanzo...

Alhamisi, 20 Septemba 2018

Swahili Movie Clip: Rekodi ya Kazi ya Mungu ya Kuumba Ulimwengu na Kuwaongoza na Kuwakomboa Wanadamu

Swahili Movie Clip: Rekodi ya Kazi ya Mungu ya Kuumba Ulimwengu na Kuwaongoza na Kuwakomboa Wanadamu Je, unataka kujua jinsi Mungu alivyouumba ulimwengu? Je, unataka kujua jinsi Mungu amewaongoza wanadamu hatua kwa hatua hadi leo? Sehemu hii ya ajabu kutoka kwa filamu ya Kikristo, "Yule Anayeshikilia Ukuu Juu Ya Kila Kitu", imerekodi kazi ya Mungu...

Jumamosi, 8 Septemba 2018

The Words the Holy Spirit Says to the Churches | "Sauti Nzuri Ajabu" | Filamu za Injili

The Words the Holy Spirit Says to the Churches | "Sauti Nzuri Ajabu" | Filamu za Injili Dong Jingxin ni mhubiri katika kanisa la nyumba nchini Uchina. Amemsadiki Bwana kwa miaka thelathini, na anapenda ukweli, mara kwa mara yeye husoma maneno ya Bwana na yanamsisimua. Anajitumia kwa ajili ya Bwana kwa shauku kubwa....

Jumamosi, 1 Septemba 2018

Swahili Christian Movie "Ujinga Angamizi" | Why Can’t Foolish Virgins Enter xthe Kingdom of Heaven?

Swahili Christian Movie "Ujinga Angamizi" | Why Can’t Foolish Virgins Enter xthe Kingdom of Heaven? Zheng Mu'en ni mfanyakazi mwenza katika kanisa la Kikristo nchini Marekani, amemwamini Bwana kwa miaka mingi, na anafanya kazi kwa bidii na humtumia Bwana. Siku moja, shangazi yake anashuhudia kwake kwamba Bwana Yesu amerudi kuonyesha ukweli na...

Jumanne, 14 Agosti 2018

Swahili Christian Movie | Nyendo za Mateso ya Kidini Nchini China | "Njia Ndefu ya Uhamisho"

Swahili Christian Movie | Nyendo za Mateso ya Kidini Nchini China | "Njia Ndefu ya Uhamisho" Tangu kilipokuja mamlakani katika China Bara mnamo mwaka wa 1949, Chama Cha Kikomunisti cha China kimekuwa hakikomi katika mateso yake kwa imani ya kidini.Kwa wayowayo kimewashika na kuwaua Wakristo, kuwafukuza na kuwadhulumu wamishonari wanaofanya kazi...

Ijumaa, 10 Agosti 2018

Nyendo za Mateso ya Kidini Nchini China| "Ni Nani Aliyemlazimisha Kuyatamatisha Maisha Yake"

Nyendo za Mateso ya Kidini Nchini China| "Ni Nani Aliyemlazimisha Kuyatamatisha Maisha Yake" Tangu kilipokuja mamlakani katika China Bara mnamo mwaka wa 1949, Chama Cha Kikomunisti cha China kimekuwa hakikomi katika mateso yake kwa imani ya kidini. Kwa wayowayo kimewashika na kuwaua Wakristo, kuwafukuza na kuwadhulumu wamishonari wanaofanya...

Jumapili, 5 Agosti 2018

Filamu za Kikristo "Ni Nani Anayemsulubisha Mungu Tena"

Filamu za Kikristo "Ni Nani Anayemsulubisha Mungu Tena"  Go Shoucheng ni mchungaji katika kanisa la nyumbani huko China. Amemwamini Bwana kwa miaka mingi, na amekuwa akishughulikia kwa mahubiri yake kwa uthabiti, na amekuwa kila mahali akihuburu injili. Amekamatwa na kutiwa jelani kwa sababu ya kuhubiri injili, na kukaa miaka kumi na miwili...

Alhamisi, 2 Agosti 2018

Video ya Injili 2018 | "Kutoka Kinywani mwa Mauti" | Mungu Amenipa Fursa ya Pili Katika Maisha

Video ya Injili 2018 | "Kutoka Kinywani mwa Mauti" | Mungu Amenipa Fursa ya Pili Katika Maisha Liu Zhen, mwenye umri wa miaka 78, ni mke wa nyumbani wa kawaida wa mashambani. Baada ya kumwamini Mungu, alihisi furaha isiyo na kisawe na kusoma maneno Yake na kuimba nyimbo za kumsifu siku zote, na mara nyingi kukusanyika pamoja na ndugu zake kushirikiana...

Jumapili, 22 Julai 2018

Video ya Kiswahili ya Ushuhuda wa Kikristo "Mungu Ndiye Nguvu ya Maisha Yangu"

Video ya Kiswahili ya Ushuhuda wa Kikristo "Mungu Ndiye Nguvu ya Maisha Yangu" | Jinsi Wakristo Humtegemea Mungu Kushinda Fang Jin ni Mkristo. Alikamatwa na serikali ya CCP kwenye mkusanyiko. Ili kumlazimisha kuwataja ndugu zake wa kike na kiume na kumsaliti Mungu, polisi walimnyima chakula, maji na usingizi kwa siku saba mchana na siku sita...