Jaweni na Upendo kwa Ajili ya Mungu | Muziki wa Akapela "Yasifu Maisha Mapya"

Kristo wa siku za mwisho ameonekana, akifanya kazi na kuzungumza miongini mwa wanadamu. Neno lake hutuhukumu, kutuadibu na kututakasa, likituongoza kwenye njia sahihi ya maisha ya binadamu.

Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Mungu-Akitoa-Sheria. Onyesha machapisho yote
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Mungu-Akitoa-Sheria. Onyesha machapisho yote

Alhamisi, 1 Novemba 2018

Swahili Gospel Video Clip "Mungu Akitoa Sheria" l Umeme wa Mashariki

Swahili Gospel Video Clip "Mungu Akitoa Sheria" Baada ya Musa kuwaongoza Waisraeli kutoka Misri, Mungu alitangaza sheria na amri, ambazo ziliyaongoza maisha ya Waisraeli duniani na kuwafundisha watu jinsi ya kumwabudu Mungu. Sheria hizi hazikuwaongoza tu Waisraeli, lakini ziliarifu na kutoa matarajio kwa kuundwa kwa katiba kwa vizazi vijavyo,...