Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo kumwabudu-Mungu. Onyesha machapisho yote
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo kumwabudu-Mungu. Onyesha machapisho yote
Jumapili, 24 Februari 2019
Matamshi ya Mwenyezi Mungu | Hudumu kama Waisraeli Walivyofanya
By UnknownFebruari 24, 2019kumtumikia-Mungu, kumwabudu-Mungu, mapenzi-ya-Mungu, sauti-ya-Mungu, VitabuNo comments
Siku hizi watu wengi hawatilii maanani mafunzo yapi yanayopaswa kusomwa wakati wa upatano na wengine. Nimegundua kuwa wengi wenu hawawezi kujifunza mafunzo hata kidogo wakati wa ushirikiano na wengine. Wengi wenu mnashikilia maoni yenu mwenyewe, na wakati mnafanya kazi kanisani, unatoa maoni yako na yeye anatoa yake, moja uhusiano na mingine, bila kushirikiana kabisa. Mnajihusisha tu katika kutoa umaizi wenu wenyewe wa ndani, unaingia tu katika kuachilia huru “mizigo” ndani yenu, si kutafuta uzima hata kidogo.
Alhamisi, 1 Novemba 2018
Swahili Gospel Video Clip "Mungu Akitoa Sheria" l Umeme wa Mashariki
By Kuhusu Umeme wa MasharikiNovemba 01, 2018Filamu-za-Injili, Filamu-za-Kikristo, kumwabudu-Mungu, Mungu-Akitoa-Sheria, sheria-na-amri, VideoNo comments
Swahili Gospel Video Clip "Mungu Akitoa Sheria"
Baada ya Musa kuwaongoza Waisraeli kutoka Misri, Mungu alitangaza sheria na amri, ambazo ziliyaongoza maisha ya Waisraeli duniani na kuwafundisha watu jinsi ya kumwabudu Mungu. Sheria hizi hazikuwaongoza tu Waisraeli, lakini ziliarifu na kutoa matarajio kwa kuundwa kwa katiba kwa vizazi vijavyo, kuweka msingi kwa mifumo ya kisheria ya wanadamu wa baadaye.
Jumatano, 14 Februari 2018
Mbingu Mpya na Nchi imeonekana | "Ulimwengu na Eneo Kubwa Zamsifu Mungu"
By UnknownFebruari 14, 2018kumwabudu-Mungu, Sayuni, upendo-kwa-Mungu, Video, Video-za-Nyimbo-na-Kucheza, watu-wa-MunguNo comments
Mbingu Mpya na Nchi imeonekana | "Ulimwengu na Eneo Kubwa Zamsifu Mungu"
Ulimwengu na Eneo Kubwa Zamsifu Mungu
Ha … nyimbo ni nyingi na ngoma ni za madaha;
ulimwengu na miisho ya dunia zinakuwa bahari inayosisimka.
Ha … mbingu ni mpya na dunia ni mpya.
Eneo kubwa la ulimwengu limejaa kusifu; tunapiga ukelele na kuruka kwa shangwe.
Milima yajiunga na milima na maji mengi kujiunga na maji mengi, ndugu wote wa kiume na kike ni wandani.
Twamsifu Mungu bila kukoma. Viumbe wampenda Mungu,
wakija, mbele ya kiti chake cha enzi kwa furaha kuabudu pamoja.
Mungu Amefichua katika Sayuni kwa ulimwengu uadilifu Wake na utakatifu Wake.
Watu wote wa Mungu wanachangamka kwa furaha, wakimtukuza Mungu bila kukoma.
Msifuni Mungu, msifuni Mungu!
Haleluya! Msifuni Mungu, msifuni Mungu!
Kumpenda Mungu, lazima kwanza tutoe moyo wa kweli.
Imbeni na kucheza kumsifu Mwenyezi Mungu.
Sauti inayosifu yapasua mbingu.
Acha sisi, waume kwa wake, wazee kwa vijana, tuwahi pamoja.
Watoa nyimbo nami natoa ngoma, uimbe nami nishirikiane.
Aliyetiwa aibu ni shetani—joka kubwa jekundu; lililotukuzwa ni jina la Mwenyezi Mungu wa kweli.
Mwenyezi Mungu ni Mungu mwadilifu. Watu wote wa Mungu wameiona sura Yake tukufu.
Sisi sote hufuata kumpenda na kumtosheleza Mungu, tukipenda kuwa waaminifu Kwake milele.
Msifuni Mungu, msifuni Mungu!
Haleluya! Msifuni Mungu, msifuni Mungu!
Njooni! Hebu tumsifu Mungu!
Njooni! Hebu tumsifu Mungu!
Kuja!
Milima inashangilia na maji mengi yanacheka,
mataifa yote na watu wote wanacheka kwa furaha. Mtazamo mpya ulioje!
Hiyo mbingu mpya, dunia mpya, na ufalme mpya!
Tunacheza na kuimba nyimbo mpya kwa Mungu; tumefurahi sana!
Nyimbo nzuri sana zaimbiwa Mungu, ngoma za madaha zaidi zawasilishwa kwa Mungu.
Moyo mnyofu umeinuliwa juu kwa Mungu, moyo wa kweli umetolewa juu kwa Mungu.
Watu wote wa Mungu na vitu vyote watamsifu Yeye milele bila kukoma. Ha!
Lo! Sayuni ni tukufu sana!
Makao ya Mungu hung'aa kwa miale ya mwanga. Utukufu wake hung'aa kotekote ulimwengu mzima.
Mwenyezi Mungu huvaa tabasamu, na hukalia enzi Yake akitazama umbo jipya la ulimwengu mzima. Ala
kutoka kwa Mfuateni Mwanakondoo na Kuimba Nyimbo Mpya
Jumatano, 7 Februari 2018
Mungu Anaongoza Majaliwa ya Wanadamu Wote
By UnknownFebruari 07, 2018hukumu, kumwabudu-Mungu, Mkristo, Neno-Laonekana-katika-Mwili, VitabuNo comments
Mungu Anaongoza Majaliwa ya Wanadamu Wote
Mwenyezi Mungu alisema, Kama washiriki wa jamii ya binadamu na Wakristo wamchao Mungu, ni jukumu na wajibu wa sisi wote kutoa akili na mwili wetu kwa kutimiza agizo la Mungu, kwani uhai wetu wote ulitoka kwa Mungu, na upo kwa sababu ya ukuu wa Mungu.
Jumapili, 3 Desemba 2017
Umuhimu na Mazoezi ya Sala | Umeme wa Mashariki
Sura ya 34. Umuhimu na Mazoezi ya Sala
Je, mnaomba vipi kwa sasa? Ni maendeleo kwa sala za kidini jinsi gani? Mnaelewa nini hasa kuhusu umuhimu wa sala? Je mmechunguza maswali haya? Kila mtu ambaye hafanyi sala ako mbali na Mungu, kila mtu ambaye hasali anafuata mapenzi yake; Kukosekana kwa sala kunaashiria kwenda mbali na Mungu na usaliti wa Mungu. Ni nini uzoefu wenu hasa na sala? Sasa hivi, kazi ya Mungu tayari inakaribia mwisho na uhusiano kati ya Mungu na mwanadamu unaweza kuonekana kutoka kwa maombi ya mwanadamu.