Jaweni na Upendo kwa Ajili ya Mungu | Muziki wa Akapela "Yasifu Maisha Mapya"

Kristo wa siku za mwisho ameonekana, akifanya kazi na kuzungumza miongini mwa wanadamu. Neno lake hutuhukumu, kutuadibu na kututakasa, likituongoza kwenye njia sahihi ya maisha ya binadamu.

Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo watu-wa-Mungu. Onyesha machapisho yote
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo watu-wa-Mungu. Onyesha machapisho yote

Jumanne, 16 Aprili 2019

“Mungu Mwenyewe, Yule wa Kipekee X Mungu ni Chanzo cha Uhai kwa Vitu Vyote (IV)” Sehemu ya Tatu

“Mungu Mwenyewe, Yule wa Kipekee X Mungu ni Chanzo cha Uhai kwa Vitu Vyote (IV)” Sehemu ya Tatu 3. Mzunguko wa Uhai na Mauti wa Watu Wanaomfuata Mungu Baada ya hayo, hebu tuzungumzie mzunguko wa uhai na mauti wa wale wanaomfuata Mungu. Hili linawahusu, hivyo kuweni makini. Kwanza, fikiria kuhusu ni makundi gani ambamo watu wanaomfuata Mungu...

Jumatatu, 25 Machi 2019

Wimbo wa Kusifu na Kuabudu 2019 | “Watu wa Mungu wa Mataifa Yote Huonyesha Hisia Zao Kama Mtu Mmoja” | Praise and Thank God's Love

Wimbo wa Kusifu na Kuabudu 2019 | “Watu wa Mungu wa Mataifa Yote Huonyesha Hisia Zao Kama Mtu Mmoja” | Praise and Thank God's Love Uangalie ufalme wa Mungu, ambako Mungu anatawala juu ya yote. Kutoka wakati uumbaji ulipoanza mpaka siku ya sasa, wana wa Mungu waliongozwa wakipitia taabu. Katika milima na mabonde walienda. Lakini sasa katika nuru...

Jumanne, 17 Aprili 2018

Umeme wa Mashariki | Tamko la Tisa

Umeme wa Mashariki | Tamko la Tisa Mwenyezi Mungu alisema, Kwa sababu kwamba wewe ni mmoja wa watu nyumbani Mwangu, na kwa sababu wewe ni mwaminifu katika Ufalme wangu, kila unachofanya lazima kifikie viwango Ninavyohitaji Mimi. Sisemi kwamba uwe tu kama wingu linalofuata upepo, bali uwe kama theluji inayong’aa, na uwe na hali kama yake na hata...

Ijumaa, 16 Machi 2018

Umeme wa Mashariki | Ufafanuzi wa Tamko la Kwanza

Umeme wa Mashariki | Ufafanuzi wa Tamko la Kwanza Mwenyezi Mungu alisema, Kama tu Mungu alivyosema, “Hakuna anayeweza kuelewa mzizi wa maneno Yangu, wala kusudi la maneno haya.” Kama Isingekuwa uongozi wa Roho wa Mungu, kama isingekuwa kwa majilio ya maneno Yake, wote wangeangamia chini ya kuadibu Kwake. Ni kwa nini Mungu humjaribu...

Jumanne, 13 Machi 2018

Ngoma ya Kikristo | Swahili Worship Song "Ufalme wa Kristo Unapatikana Miongoni mwa Wanadamu"

Ngoma ya Kikristo | Swahili Worship Song "Ufalme wa Kristo Unapatikana Miongoni mwa Wanadamu" Mwenyezi Mungu mwenye mwili Anaonekana katika siku za mwisho Mashariki, kama tu vile jua la haki likichomoza; mwanadamu ameona mwanga wa kweli ukionekana. Mungu wa haki na...

Jumamosi, 10 Machi 2018

Umeme wa Mashariki | Njia… (5)

Umeme wa Mashariki | Njia… (5) Mwenyezi Mungu alisema, Ilikuwa kwamba hakuna aliyejua Roho Mtakatifu, na hasa hawakujua njia ya Roho Mtakatifu ilikuwa gani. Ndio maana watu kila mara walifanya upumbavu mbele ya Mungu. Inaweza kusemwa kwamba karibu watu wote wanaoamini...

Jumatano, 14 Februari 2018

Mbingu Mpya na Nchi imeonekana | "Ulimwengu na Eneo Kubwa Zamsifu Mungu"

Mbingu Mpya na Nchi imeonekana | "Ulimwengu na Eneo Kubwa Zamsifu Mungu" Ulimwengu na Eneo Kubwa Zamsifu Mungu Ha … nyimbo ni nyingi na ngoma ni za madaha; ulimwengu na miisho ya dunia zinakuwa bahari inayosisimka. Ha … mbingu ni mpya na dunia ni mpya. Eneo...

Jumatano, 7 Februari 2018

Umeme wa Mashariki | Ahadi kwa Wale Ambao Wamekamilishwa

Umeme wa Mashariki | Ahadi kwa Wale Ambao Wamekamilishwa  Mwenyezi Mungu alisema, Ni njia gani ambayo Mungu hutumia kumkamilisha mwanadamu? Ni vipengele vipi vinavyojumuishwa? Je, uko tayari kukamilishwa na Mungu?...