Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo kukamilishwa-na-Mungu. Onyesha machapisho yote
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo kukamilishwa-na-Mungu. Onyesha machapisho yote
Jumanne, 16 Aprili 2019
“Mungu Mwenyewe, Yule wa Kipekee X Mungu ni Chanzo cha Uhai kwa Vitu Vyote (IV)” Sehemu ya Tatu
By Chris ZhouAprili 16, 2019kukamilishwa-na-Mungu, Neno-la-Mungu, siku-za-mwisho, Usomaji-wa-Maneno-ya-Mwenyezi-Mungu, Video, watu-wa-MunguNo comments

“Mungu Mwenyewe, Yule wa Kipekee X Mungu ni Chanzo cha Uhai kwa Vitu Vyote (IV)” Sehemu ya Tatu
3. Mzunguko wa Uhai na Mauti wa Watu Wanaomfuata Mungu
Baada ya hayo, hebu tuzungumzie mzunguko wa uhai na mauti wa wale wanaomfuata Mungu. Hili linawahusu, hivyo kuweni makini. Kwanza, fikiria kuhusu ni makundi gani ambamo watu wanaomfuata Mungu...
Ijumaa, 12 Aprili 2019
Matamshi ya Mwenyezi Mungu | Umuhimu wa Kuukoa Uzao wa Moabu
By Chris ZhouAprili 12, 2019hekima-ya-Mungu, kukamilishwa-na-Mungu, Neno-la-Mungu, Neno-Laonekana-katika-Mwili, Vitabu, wafuasi-wa-KristoNo comments

Matamshi ya Mwenyezi Mungu | Umuhimu wa Kuukoa Uzao wa Moabu
Katika miaka hii miwili hadi mitatu ya kazi, kile kilichopaswa kutimizwa katika kazi ya hukumu iliyofanyika juu yenu kimetimizwa kimsingi. Watu wengi wamesahau matarajio na kudura yao ya baadaye. Hata hivyo, inapotajwa kuwa ninyi ni uzao wa Moabu, wengi wenu huchukizwa sana—nyuso...
Jumatano, 3 Aprili 2019
Matamshi ya Mwenyezi Mungu | Ni Lazima Wale Wanaofaa Kukamilishwa Wapitie Usafishaji
By Chris ZhouAprili 03, 2019Kazi-ya-Mungu, kukamilishwa-na-Mungu, Neno-la-Mungu, Neno-Laonekana-katika-Mwili, ushuhuda, VitabuNo comments

Matamshi ya Mwenyezi Mungu | Ni Lazima Wale Wanaofaa Kukamilishwa Wapitie Usafishaji
Kama unamwamini Mungu, ni lazima umtii Mungu, uweke ukweli katika vitendo na utimize wajibu wako wote. Zaidi ya hayo, ni lazima uelewe mambo unayopaswa kupitia. Ikiwa unapitia tu kushughulikiwa, kufundishwa nidhamu na hukumu, kama wewe unaweza tu kumfurahia...
Jumatano, 6 Machi 2019
Wale Wanaomtii Mungu kwa Moyo wa Kweli Hakika Watapatwa na Mungu
By UnknownMachi 06, 2019Kazi-ya-Mungu, kukamilishwa-na-Mungu, Matamshi-ya-Kristo, Neno-Laonekana-katika-Mwili, VitabuNo comments


Wale Wanaomtii Mungu kwa Moyo wa Kweli Hakika Watapatwa na Mungu
Kazi ya Roho Mtakatifu inabadilika kutoka siku hadi siku, ikipanda juu kwa kila hatua; ufunuo wa kesho unakuwa hata juu kuliko wa leo, hatua kwa hatua ukikwea hata juu zaidi. Hii ndiyo kazi anayotumia Mungu...
Jumanne, 27 Machi 2018
Umeme wa Mashariki | Wengi Wameitwa, Lakini Wachache Wamechaguliwa
By UnknownMachi 27, 2018kukamilishwa-na-Mungu, kumfuata-Mungu, kumpenda-Mungu, Neno-Laonekana-katika-Mwili, Ukweli, VitabuNo comments


Umeme wa Mashariki | Wengi Wameitwa, Lakini Wachache Wamechaguliwa
Mwenyezi Mungu alisema, Nimewatafuta wengi duniani wawe wafuasi Wangu. Kati yao ni wale wanaohudumu kama makuhani, wanaoongoza, wanaojumuisha wana, wanaojumuisha watu, na wale wanaotoa huduma. Ninaweka migawo...
Jumamosi, 10 Machi 2018
Umeme wa Mashariki | Njia… (5)
By UnknownMachi 10, 2018kukamilishwa-na-Mungu, makusudi-ya-Mungu, Neno-Laonekana-katika-Mwili, Vitabu, watu-wa-MunguNo comments


Umeme wa Mashariki | Njia… (5)
Mwenyezi Mungu alisema, Ilikuwa kwamba hakuna aliyejua Roho Mtakatifu, na hasa hawakujua njia ya Roho Mtakatifu ilikuwa gani. Ndio maana watu kila mara walifanya upumbavu mbele ya Mungu. Inaweza kusemwa kwamba karibu watu wote wanaoamini...
Jumatatu, 12 Februari 2018
Matukio Aliyopitia Petro: Ufahamu Wake wa Adabu na Hukumu
By UnknownFebruari 12, 2018Hukumu-na-Kuadibu, kukamilishwa-na-Mungu, Neno-Laonekana-katika-Mwili, Ukweli, VitabuNo comments


Matukio Aliyopitia Petro: Ufahamu Wake wa Adabu na Hukumu
Mwenyezi Mungu alisema, Alipokuwa akiadibiwa na Mungu, Petro aliomba, “Ee Mungu! Mwili wangu ni mkaidi, na unaniadibu na kunihukumu mimi. Nafurahi katika adabu Yako na hukumu, na hata kama Hunitaki mimi,...
Ijumaa, 9 Februari 2018
Umeme wa Mashariki | Wale Waliokamilishwa Pekee Ndio Wanaoweza Kuishi Maisha Yenye Maana
By UnknownFebruari 09, 2018kukamilishwa-na-Mungu, Neno-Laonekana-katika-Mwili, tabia-ya-Mungu, Ukweli, ushindi, VitabuNo comments

Umeme wa Mashariki | Wale Waliokamilishwa Pekee Ndio Wanaoweza Kuishi Maisha Yenye Maana
Mwenyezi Mungu alisema, Kwa kweli, kazi inayofanywa sasa ni kuwafanya watu kumtoroka Shetani, kutoroka babu zao wa kale. Hukumu zote kwa neno zinalenga kufichua tabia potovu ya binadamu na kuwawezesha watu kuelewa kiini cha maisha. Hukumu hizi zote...
Jumanne, 9 Januari 2018
Umeme wa Mashariki | Mafanikio au Kushindwa Kunategemea Njia Ambayo Mwanadamu Hutembea
By Suara TuhanJanuari 09, 2018kukamilishwa-na-Mungu, Neno-Laonekana-katika-Mwili, Paulo, Petro, VitabuNo comments


Mafanikio au Kushindwa Kunategemea Njia Ambayo Mwanadamu Hutembea
Mwenyezi Mungu alisema, Watu wengi wanamwamini Mungu kwa ajili ya hatima yao ya baadaye au kwa ajili ya starehe ya muda mfupi. Kwa wale ambao hawajapitia ushughulikiaji wowote, imani kwa Mungu ni kwa...