Muziki wa Akapela "Tokeo Lililofikiwa kwa Kumjua Mungu" (Video Rasmi ya Muziki)

Hayuko katika upeo wa mbali, wala hajajificha juu mawinguni. Yuko kando yako, akiwa na mamlaka juu ya kila kitu chako, Yeye ni kila kitu ulicho nacho, na Yeye ni kitu pekee ulicho nacho.

Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo hekima-ya-Mungu. Onyesha machapisho yote
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo hekima-ya-Mungu. Onyesha machapisho yote

Ijumaa, 12 Aprili 2019

Matamshi ya Mwenyezi Mungu | Umuhimu wa Kuukoa Uzao wa Moabu

Matamshi ya Mwenyezi Mungu | Umuhimu wa Kuukoa Uzao wa Moabu Katika miaka hii miwili hadi mitatu ya kazi, kile kilichopaswa kutimizwa katika kazi ya hukumu iliyofanyika juu yenu kimetimizwa kimsingi. Watu wengi wamesahau matarajio na kudura yao ya baadaye. Hata hivyo, inapotajwa kuwa ninyi ni uzao wa Moabu, wengi wenu huchukizwa sana—nyuso...

Jumapili, 20 Mei 2018

70. Kazi ya Mungu ni Ya Hekima Sana!

70. Kazi ya Mungu ni Ya Hekima Sana! Shiji    Jiji la Ma’anshan , Mkoa wa Anhui Wakati wa kufanya kazi kwangu kama kiongozi katika kanisa, kiongozi wangu mara nyingi angeshirikiana mifano ya kushindwa kwa wengine ili kutumikia kama somo kwetu. Kwa mfano: Viongozi...

Alhamisi, 10 Mei 2018

Umeme wa Mashariki | Mateso na Maafa Yalinisaidia Kukua

Umeme wa Mashariki |  Mateso na Maafa Yalinisaidia Kukua Baituo     Mji wa Dezhou, Mkoa wa Shandong Kabla, nilijua tu kwamba hekima ya Mungu ilitumiwa kwa msingi wa njama za Shetani, kwamba Mungu ni Mungu mwenye hekima na kwamba Shetani milele atakuwa...