Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Hukumu-na-Kuadibu. Onyesha machapisho yote
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Hukumu-na-Kuadibu. Onyesha machapisho yote
Ijumaa, 26 Aprili 2019
Matamshi ya Mwenyezi Mungu | Sura ya 97
By Chris ZhouAprili 26, 2019Hukumu-na-Kuadibu, Kazi-ya-Mungu, Neno-la-Mungu, Neno-Laonekana-katika-Mwili, Tafuta-Ufalme-wa-Mungu-Kwanza, VitabuNo comments
Nitafanya kila mtu aone matendo Yangu ya ajabu na kusikia maneno Yangu ya hekima. Ni lazima iwe kila mtu na ni lazima iwe juu ya kila suala. Hii ni amri Yangu ya utawala na ni ghadhabu Yangu. Nitahusisha kila mtu na kila jambo ili watu wote kutoka mwisho mmoja wa ulimwengu hadi mwingine wataona kwa macho yao wenyewe, la sivyo Sitaacha kamwe. Ghadhabu Yangu imemwagwa kikamilifu na hakuna hata chembe imezuiwa. Inaelekezwa kwa kila mtu mmoja ambaye anakubali jina hili (hivi karibuni itageuzwa juu ya mataifa yote ya dunia). Na ghadhabu Yangu ni nini? Ni kali kiasi gani?
Jumapili, 21 Aprili 2019
Matamshi ya Mwenyezi Mungu | Sura ya 35
By Chris ZhouAprili 21, 2019Hukumu-na-Kuadibu, Kazi-ya-Mungu, Neno-la-Mungu, Neno-Laonekana-katika-Mwili, siku-za-mwisho, VitabuNo comments
Matamshi ya Mwenyezi Mungu | Sura ya 35
Nimeanza kutenda kazi Yangu kati ya wanadamu, kuwakubalia kuishi mkondo mmoja Nami. Nitakamilisha kazi Yangu nikiwa kati yao, maana wao ni vyombo Ninavyosimamia katika mpango Wangu wote wa usimamizi—na ni mapenzi Langu ili waweze kuwa watawala wa vitu vyote. Hivyo basi Naendelea kutembea kati ya wanadamu. Kadri wanadamu pamoja Nami tuingiavyo katika enzi ya sasa, Najihisi huru kabisa, kwa sababu, hatua Yangu ni ya haraka.
Jumatatu, 25 Februari 2019
Neno la Mungu | Ni Lazima Wale Wanaofaa Kukamilishwa Wapitie Usafishaji
Kama unamwamini Mungu, ni lazima umtii Mungu, uweke ukweli katika vitendo na utimize wajibu wako wote. Zaidi ya hayo, ni lazima uelewe mambo unayopaswa kupitia. Ikiwa unapitia tu kushughulikiwa, kufundishwa nidhamu na hukumu, kama wewe unaweza tu kumfurahia Mungu, lakini huwezi kuhisi wakati Mungu anakufundisha nidhamu au kukushughulikia, hili halikubaliki. Labda katika wakati huu wa usafishaji unaweza kushikilia msimamo wako.
Alhamisi, 7 Februari 2019
Imani za Kimsingi za Kanisa la Mwenyezi Mungu
By UnknownFebruari 07, 2019Hukumu-na-Kuadibu, Kazi-ya-Mungu, Kristo-wa-siku-za-mwisho, UkweliNo comments
Imani za Kimsingi za Kanisa la Mwenyezi Mungu
(1) Mafundisho ya Kanisa la Mwenyezi Mungu
Mafundisho ya Ukristo yanatoka kwa Biblia, na mafundisho ya Kanisa la Mwenyezi Mungu yanatoka kwa ukweli wote ulioonyeshwa na Mungu tangu wakati wa uumbaji wakati wa kazi ya Enzi ya Sheria, Enzi ya Neema, na Enzi ya Ufalme. Hiyo ni kusema, Agano la Kale, Agano Jipya, na Biblia ya Enzi ya Ufalme–Neno Laonekana Katika Mwili–zilizoonyeshwa Bwana Yesu aliyekurudi wa siku za mwisho, Mwenyezi Mungu, ni imani za msingi na mafundisho ya Kanisa la Mwenyezi Mungu.
Jumapili, 3 Februari 2019
Ushuhuda wa Maisha | 6. Huduma ya Aina Hii Kwa Hakika Ni Ya Kudharauliwa
By UnknownFebruari 03, 2019Hukumu-Mbele-ya-Kiti-cha-Kristo, Hukumu-na-Kuadibu, Kazi-ya-Mungu, Vitabu, wokovu-wa-MunguNo comments
Ushuhuda wa Maisha | 6. Huduma ya Aina Hii Kwa Hakika Ni Ya Kudharauliwa
Ding Ning Mji wa Heze, Mkoa wa Shandong
Katika siku chache zilizopita, kanisa limepanga mabadiliko katika kazi yangu. Nilipopokea wajibu huu mpya, niliwaza, "Ninahitaji kuchukua fursa hii ya mwisho kuita mkutano na ndugu zangu wa kiume na wa kike, niongee nao wazi juu ya mambo, na niwaache na picha nzuri." Kwa hiyo, nilikutana na mashemasi kadhaa, na kufikia mwisho wa wakati wetu pamoja, nikasema, "Nimeulizwa kuondoka hapa na kuenda kwa kazi tofauti.
Jumanne, 29 Januari 2019
Filamu za Injili | "Wimbo wa Ushindi" (5) - Kwa nini Bwana Anarudi Kufanya Kazi ya Hukumu katika Siku za Mwisho
Filamu za lnjili | "Wimbo wa Ushindi" (5) - Kwa nini Bwana Anarudi Kufanya Kazi ya Hukumu katika Siku za Mwisho
Jumapili, 20 Januari 2019
2. Kuona Uhalisi Wangu Kwa Dhahiri
By UnknownJanuari 20, 2019Hukumu-na-Kuadibu, maneno-ya-Mungu, Ukweli, Ushuhuda-wa-Kuipitia-Hukumu-ya-Kristo, Vitabu, wokovu-wa-MunguNo comments
2. Kuona Uhalisi Wangu Kwa Dhahiri
Xiaoxiao Jijini Xuzhou, Mkoani Jiangsu
Kwa sababu ya mahitaji ya kazi ya kanisa, nilihamishwa mpaka mahali pengine ili kutimiza wajibu wangu. Wakati huo, kazi ya injili mahali pale ilikuwa katika hali duni, na hali ya akina kaka na dada kwa kawaida haikuwa nzuri. Lakini kwa kuwa nilikuwa nimeguswa na Roho Mtakatifu, bado nilijitwisha kila kitu nilichoaminiwa nacho kwa matumaini kamili.
Jumatatu, 21 Mei 2018
Maigizo Yaliyosimuliwa ya Hadithi za Kweli "Upendo wa Kweli wa Mungu" (Swahili Subtitles)
By UnknownMei 21, 2018Hukumu-na-Kuadibu, Maisha-ya-Kanisa—Mfululizo-wa-Maonyesho-Mbalimbali, makusudi-ya-Mungu, Upendo-wa-Mungu, VideoNo comments
Maigizo Yaliyosimuliwa ya Hadithi za Kweli "Upendo wa Kweli wa Mungu" (Swahili Subtitles)
Ili kujitengenezea nafasi yake mwenyewe duniani, mhusika mkuu alilazimika kufuata mwenendo wa duniani humu, akihangaika na kufanya kazi kwa bidii kwa ajili ya umaarufu na hadhi. Maisha yake yalilikuwa hasa matupu na yenye maumivu. Baada ya kumwamini Mwenyezi Mungu, alipata maana ya maisha ya binadamu ndani ya maneno ya Mwenyezi Mungu, na akiwa amejawa na furaha, akamfuata Mungu na kutimiza majukumu yake. Hata hivyo, kwa sababu moyo wake ulikuwa chini ya udhibiti wa umaarufu na hadhi, katika kutekeleza majukumu yake mara kwa mara alitenda kwa mujibu wa mawazo yake mwenyewe, na alikuwa dhalimu na mwenye udikteta. Kwa sababu hii, alipogolewa na kushughulikiwa na ndugu. Kwanza, alibishana na hakukubali. Kupitia hukumu na kuadibiwa na maneno ya Mungu, alikuja kujua ukweli wa upotovu wake. Hata hivyo, kwa sababu hakuelewa nia ya Mungu, alimwelewa Mungu visivyo na kufikiri Mungu hangeweza kumwokoa. Kwa wakati huu, neno la Mungu lilimtolea nuru polepole, likamwongoza, na kumfanya kuelewa nia ya Mungu yenye ari ya kumwokoa mwanadamu, na alipitia upendo wa kweli wa Mungu kwa wanadamu …
Soma Zaidi: Kujua Kanisa la Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki Hutoka wapi?
Ijumaa, 18 Mei 2018
Umeme wa Mashariki | Ambua Barakoa, na Uanze Maisha Upya
By UnknownMei 18, 2018Hukumu-na-Kuadibu, Roho-Mtakatifu, Upendo-wa-Mungu, Ushuhuda-wa-Kuipitia-Hukumu-ya-Kristo, VitabuNo comments
Umeme wa Mashariki | Ambua Barakoa, na Uanze Maisha Upya
Chen Dan Mkoa wa Hunan
Mwishoni mwa mwaka jana, kwa sababu sikuweza kuzindua kazi ya injili katika eneo langu, familia ya Mungu ilimhamisha ndugu mmoja wa kiume kutoka eneo jingine ili kuchukua kazi yangu. Kabla ya haya sikuwa nimearifiwa, bali nilisikia kwa njia isiyo ya moja kwa moja kutoka kwa dada mmoja niliyekuwa mbia naye. Nilifadhaika sana.
Alhamisi, 10 Mei 2018
Umeme wa Mashariki | Niko Tayari Kukubali Usimamizi wa Wote
By UnknownMei 10, 2018Hukumu-na-Kuadibu, makusudi-ya-Mungu, ndugu-na-dada, Ushuhuda-wa-Kuipitia-Hukumu-ya-Kristo, VitabuNo comments
Umeme wa Mashariki | Niko Tayari Kukubali Usimamizi wa Wote
Xianshang Mji wa Jinzhong, Mkoa wa Shanxi
Muda mfupi uliopita, kila wakati niliposikia kwamba wahubiri wa wilaya walikuwa wakija kwa kanisa letu, ningehisi kutaharaki kiasi. Sikufichua hisia zangu kwa nje, lakini moyo wangu ulijaa upinzani wa siri.
Jumatatu, 30 Aprili 2018
Uchaguzi Kutoka katika Mafungu Manne ya Neno la Mungu Juu ya “Ukweli wa Ndani wa Kazi ya Ushindi”
By UnknownAprili 30, 2018Hukumu-na-Kuadibu, Matamshi-ya-Kristo-wa-Siku-za-Mwisho-(Chaguzi), ukamilifu, ushindi, VitabuNo comments
Uchaguzi Kutoka katika Mafungu Manne ya Neno la Mungu Juu ya “Ukweli wa Ndani wa Kazi ya Ushindi”
1. Mwenyezi Mungu alisema, Wanadamu kwa kupotoshwa sana na Shetani, hawajui kuwa kuna Mungu na wameacha kumwabudu Mungu. Adamu na Hawa walipoumbwa mwanzoni, utukufu wa Yehova na Ushuhuda wa Yehova daima vilikuwepo. Lakini baada ya kupotoshwa, mwanadamu alipoteza utukufu na ushuhuda kwa sababu kila mtu alimwasi Mungu na kuacha kumtukuza kabisa. Kazi ya sasa ya kushinda ni kuupata ushuhuda na utukufu wote, na kuwafanya wanadamu wote wamwabudu Mungu, ili kuwepo na ushuhuda miongoni mwa viumbe wote. Hili ndilo linapaswa kufanywa katika hatua hii ya kazi.
Jumamosi, 28 Aprili 2018
Umeme wa Mashariki | Kuona Uhalisi Wangu Kwa Dhahiri
By UnknownAprili 28, 2018Hukumu-na-Kuadibu, Upendo-wa-Mungu, Ushuhuda-wa-Kuipitia-Hukumu-ya-Kristo, VitabuNo comments
Umeme wa Mashariki | Kuona Uhalisi Wangu Kwa Dhahiri
Xiaoxiao Jijini Xuzhou, Mkoani Jiangsu
Ijumaa, 27 Aprili 2018
Umeme wa Mashariki | Kupotea Njia na Kupata Njia
By UnknownAprili 27, 2018Hukumu-na-Kuadibu, kumfuata-Mungu, tabia-ya-Mungu, Ushuhuda-wa-Kuipitia-Hukumu-ya-Kristo, VitabuNo comments
Umeme wa Mashariki | Kupotea Njia na Kupata Njia
Xiaobing Jijini Xuanzhou, Mkoani Anhui
“Kile ambacho unafurahia leo ndicho kilekile ambacho kinaharibu mustakabali wako, huku yale maumivu unayopitia leo ndiyo yaleyale ambayo yanakulinda. Lazima ufahamu waziwazi kuhusu jambo hilo ili ukuwe mbali namtego wa majaribio na kukuepushwa kuingia kwenye ukungu mzito unaozuia jua katika maisha yako.”
Jumatano, 7 Machi 2018
Anzeni Maisha Mapya - "Nimeuona uzuri wa Mungu" (Video Rasmi ya Muziki)
By UnknownMachi 07, 2018Hukumu-na-Kuadibu, Msururu-wa-MV-za-Ufalme, Upendo-wa-Mungu, Video, WokovuNo comments
Anzeni Maisha Mapya - "Nimeuona uzuri wa Mungu" (Video Rasmi ya Muziki)
Nimeuona uzuri wa Mungu
I
Nasikia sauti ijulikanayo ikiniita mara kwa mara.
Nikaamka na kuangalia kuona, ni nani aliye pale akizungumza.
Sauti yake ni nyororo lakini kali, picha Yake nzuri!
Nateseka kupigwa na kuvumilia maumivu makubwa, nikipapaswa na mkono Wake wenye upendo.
Halafu natambua ni Mwenyezi ambaye nilipigana naye.
Najichukia mwenyewe, kwa majuto makubwa, fikiria niliyoyafanya.
Nimepotoka kwa kina, hakuna wanadamu, sasa nauona ukweli.
Pamoja na mwanzo mpya, kujiingiza katika maisha halisi, kutimiza wajibu wangu.
Kwa hali, kushindana na Mungu, mimi siheshimiki.
Mungu bado Mungu, mtu ni mtu—mimi ni mjinga sana.
Mjinga na mwenye kiburi kiasi cha kutoijua nafsi yangu halisi.
Nilikosa aibu na kutahayarika; moyo wangu umejaa majuto.
Najichukia mwenyewe, bila kujua kile ninachoishia.
Shetani alinikanyaga kwa miaka mingi sana, nikawa mdharauliwa.
Wakishapewa sumu na yule Mwovu, wanadamu wamepotea.
Kama sitabadilishwa na kuzaliwa upya, sina maisha ya kweli.
II
Tabia yangu potovu hunisumbua, huduma yangu bado i bure.
Ni mjinga wa kumjua Mungu, na kujawa na dhana; jinsi gani mimi singepinga?
Mungu hunihukumu, kwa uasi wangu, na ukosefu wa uadilifu.
Nimeuona upendo wa kweli wa kuadibu na kuhukumu.
Mungu ni mwenye haki, mimi nina hakika kabisa.Niko ana kwa ana naye.
Wokovu wa vitendo wa Mungu umenisaidia kufika uambali huu.
Uhalisi wa Mungu na uweza wake, vimefichuliwa kikamilifu kwa mtu.
Kwa kuishi katika mwanga, namjua Mungu na kuuona uzuri wake.
Nikiwa na nia ya kutimiza wajibu, Nitamtosheleza Mungu na kumpenda.
kutoka kwa Mfuateni Mwanakondoo na Kuimba Nyimbo Mpya
Umeme wa Mashariki, Kanisa la Mwenyezi Mungu lilianzishwa kwa sababu ya kuonekana na kazi ya Mwenyezi Mungu, ujio wa pili wa Bwana Yesu, Kristo wa siku za mwisho. Linashirikisha wale wote ambao wanaikubali kazi ya Mwenyezi Mungu katika siku za mwisho na ambao wameshindwa na kuokolewa kwa maneno Yake. Liliasisiwa kikamilifu na Mwenyezi Mungu mwenyewe na linaongozwa naye kama Mchungaji. Kwa hakika halikuanzishwa na mtu. Kristo ni ukweli, njia, na uzima. Kondoo wa Mungu husikia sauti ya Mungu. Mradi unasoma maneno ya Mwenyezi Mungu, utaona kuwa Mungu ameonekana.
Jumatatu, 5 Machi 2018
Umeme wa Mashariki | "Wakati Wa Mabadiliko"(2) - Njia ya Pekee ya Kuinuliwa Kwenda Katika Ufalme wa Mbinguni
By UnknownMachi 05, 2018Hukumu-na-Kuadibu, kumfuata-Mungu, Sehemu-za-Filamu, ushindi, VideoNo comments
Umeme wa Mashariki | "Wakati Wa Mabadiliko"(2) - Njia ya Pekee ya Kuinuliwa Kwenda Katika Ufalme wa Mbinguni
Watu wengine huamini, kwa kuwa Mungu aliweza kuumba mbingu na dunia na vitu vyote kwa neno moja, kuweza kuwafufua wafu kwa neno moja, Mungu pia Ataweza kubadili taswira zetu mara moja, kutufanya watakatifu, kutuinua hewani kukutana na Bwana wakati Atakaporudi katika siku za mwisho. Je, kweli ni ili kuinuliwa kwenda katika ufalme wa mbinguni? Je, kazi ya kurudi kwa Mungu katika siku za mwisho rahisi hivyo jinsi tunavyofikiri? Mungu husema, "Lazima ufahamu wala usirahisishe mambo zaidi. Kazi ya Mungu ni tofauti na kazi nyingine ya kawaida. Uzuri wake hauwezi kutambuliwa na akili za mwanadamu wala hekima yake kupatikana vile. Mungu Haumbi kila kitu wala kuharibu kila kitu. Bali, Anabadilisha viumbe Vyake na kutakasa vyote vilivyonajisiwa na Shetani. Kwa hiyo, Mungu Ataanzisha kazi kuu, na huu ndio umuhimu wa kazi ya Mungu kabisa. Baada ya kusoma maandishi haya, je, unaamini kuwa kazi ya Mungu ni rahisi vile?" (Neno Laonekana katika Mwili). Hakuna anayeweza kuelewa kazi ya Mungu na hekima ya Mungu. Ni Mungu Mwenyewe tu ndiye Anayeweza kufunua fumbo la jinsi waumini watanyakuliwa katika siku za mwisho, jinsi Mungu atakavyofanya kazi ya hukumu kuwatakasa watu…. Video hii fupi itakujulisha ufahamu wa njia ya pekee ya kuinuliwa kwenda katika ufalme wa mbinguni wakati wa kurudi kwa Bwana!
Umeme wa Mashariki, Kanisa la Mwenyezi Mungu lilianzishwa kwa sababu ya kuonekana na kazi ya Mwenyezi Mungu, ujio wa pili wa Bwana Yesu, Kristo wa siku za mwisho. Linashirikisha wale wote ambao wanaikubali kazi ya Mwenyezi Mungu katika siku za mwisho na ambao wameshindwa na kuokolewa kwa maneno Yake. Liliasisiwa kikamilifu na Mwenyezi Mungu mwenyewe na linaongozwa naye kama Mchungaji. Kwa hakika halikuanzishwa na mtu. Kristo ni ukweli, njia, na uzima. Kondoo wa Mungu husikia sauti ya Mungu. Mradi unasoma maneno ya Mwenyezi Mungu, utaona kuwa Mungu ameonekana.
Jumatano, 28 Februari 2018
"Ndoto Yangu ya Ufalme wa Kibinguni" (5) - Ushuhuda wa Kupitia Hukumu Mbele ya Kiti cha Kristo na Kupokea Uzima
By UnknownFebruari 28, 2018Hukumu-na-Kuadibu, Kumjua-Mungu, Sehemu-za-Filamu, ushuhuda, VideoNo comments
"Ndoto Yangu ya Ufalme wa Kibinguni" (5) - Ushuhuda wa Kupitia Hukumu Mbele ya Kiti cha Kristo na Kupokea Uzima
Mwenyezi Mungu ameanzisha kazi ya hukumu akianza na nyumba ya Mungu kwa kuonyesha ukweli. Utangulizi wa hukumu kabla ya ufalme mkuu mweupe kuanza. Tunapitia hukumu ya Mungu na kuadibiwa na Mungu vipi? Je, ni aina gani ya utakaso na mabadiliko yanaweza kupatikana baada ya kupitia hukumu na adabu ya Mungu? Ni maarifa gani ya kweli ya Mungu yanaweza kuarifiwa?
Ijumaa, 23 Februari 2018
Umeme wa Mashariki | 3. Baada ya Kupoteza Hadhi Yangu …
By UnknownFebruari 23, 2018hadhi, Hukumu-na-Kuadibu, Kumjua-Mungu, Ushuhuda-wa-Kuipitia-Hukumu-ya-Kristo, VitabuNo comments
Umeme wa Mashariki | 3. Baada ya Kupoteza Hadhi Yangu …
Huimin Mji wa Jiaozuo, Mkoa wa Henan
Kila wakati nilipoona au kusikia kuhusu mtu aliyekuwa amebadilishwa naye kujisikia mwenye huzuni, dhaifu au mnunaji, na kutotaka kufuata tena, basi niliwaangalia kwa dharau. Nilidhani haikuwa kitu zaidi ya watu tofauti waliokuwa na majukumu tofauti ndani ya kanisa, kwamba hakukuwa na tofauti kati ya juu au chini, kwamba sote tulikuwa uumbaji wa Mungu na hakukuwa na sababu ya kuhuzunikia. Kwa hiyo kama nilikuwa nikiwatunza waumini wapya au kuongoza wilaya, sikuwahi kufikiri kuwa nilizingatia sana hadhi yangu, kwamba nilikuwa mtu wa aina hiyo.
Jumatatu, 19 Februari 2018
Umeme wa Mashariki | Kurejesha Maisha ya Kawaida ya Mwanadamu na Kumpeleka Kwenye Hatima ya Ajabu
By UnknownFebruari 19, 2018Hukumu-na-Kuadibu, Neno-Laonekana-katika-Mwili, ukamilifu, ushindi, VitabuNo comments
Umeme wa Mashariki | Kurejesha Maisha ya Kawaida ya Mwanadamu na Kumpeleka Kwenye Hatima ya Ajabu
Mwenyezi Mungu alisema, Mwanadamu anaelewa sehemu ndogo ya kazi ya leo na kazi ya baadaye, lakini hafahamu hatima ambapo mwanadamu ataingia. Kama kiumbe, mwanadamu anapaswa kutekeleza wajibu wa kiumbe: Mwanadamu anapaswa kumfuata Mungu kwa lolote afanyalo, na mnapaswa muendelee mbele kwa njia yoyote ambayo Nitawaambia. Wewe huna mbinu ya kufanya mipango yako mwenyewe, na huna uwezo wa kujitawala mwenyewe; yote ni lazima yaachwe kwa rehema za Mungu, na kila kitu kinadhibitiwa na mikono Yake.
Alhamisi, 15 Februari 2018
Namna Petro Alivyopata Kumjua Yesu
By UnknownFebruari 15, 2018Hukumu-na-Kuadibu, Kumjua-Mungu, Maombi, Neno-Laonekana-katika-Mwili, VitabuNo comments
Namna Petro Alivyopata Kumjua Yesu
Mwenyezi Mungu alisema, Katika kipindi kile ambacho Petro alikuwa na Yesu, aliona sifa nyingi za kupendeza ndani ya Yesu, hali nyingi zenye za kustahili kuigwa, na nyingi ambazo zilimkimu. Ingawa Petro aliona nafsi ya Mungu ndani ya Yesu katika njia nyingi, na kuona sifa nyingi za kupendeza, mara ya kwanza hakumjua Yesu. Petro alianza kumfuata Yesu alipokuwa na umri wa miaka 20, na akaendelea kufanya hivyo kwa miaka sita. Katika kipindi hiki cha muda, hakuwahi kupata kumjua Yesu, lakini alikuwa radhi kumfuata kutokana na kuvutiwa na Yeye tu.
Jumatatu, 12 Februari 2018
Matukio Aliyopitia Petro: Ufahamu Wake wa Adabu na Hukumu
By UnknownFebruari 12, 2018Hukumu-na-Kuadibu, kukamilishwa-na-Mungu, Neno-Laonekana-katika-Mwili, Ukweli, VitabuNo comments
Matukio Aliyopitia Petro: Ufahamu Wake wa Adabu na Hukumu
Mwenyezi Mungu alisema, Alipokuwa akiadibiwa na Mungu, Petro aliomba, “Ee Mungu! Mwili wangu ni mkaidi, na unaniadibu na kunihukumu mimi. Nafurahi katika adabu Yako na hukumu, na hata kama Hunitaki mimi, katika hukumu Yako mimi ninaona tabia Yako takatifu na tabia Yako ya haki. Unaponihukumu, ili wengine wapate kuiona hali Yako ya haki katika hukumu Yako, ninaridhika. Iwapo hukumu Yako itaonyesha tabia Yako, na kuruhusu tabia Yako ya haki kuonekana na viumbe wote, na iwapo inaweza kufanya upendo wangu Kwako uwe safi zaidi, ili niweze kufikia mfano wa mwenye haki, basi hukumu Yako ni nzuri, kwa maana hivyo ndivyo mapenzi Yako ya neema yalivyo.