Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Kanisa-la-Mwenyezi-Mungu. Onyesha machapisho yote
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Kanisa-la-Mwenyezi-Mungu. Onyesha machapisho yote
Jumatatu, 17 Desemba 2018
Best Swahili Full Christian Movie | "Wimbo wa Ushindi" | Preaching the Gospel of the Last Days
By UnknownDesemba 17, 2018Injili, Kanisa-la-Mwenyezi-Mungu, Kikristo, Mateso-ya-Kidini, sinema-za-Kikristo, VideoNo comments

Best Swahili Full Christian Movie | "Wimbo wa Ushindi" | Preaching the Gospel of the Last Days
Kazi ya hukumu ya Mwenyezi Mungu katika siku za mwisho imevuma katika kila farakano na kikundi. Kufuatia kuenea kwa injili ya ufalme, maneno ya Mwenyezi Mungu yanakubaliwa na kuenezwa na watu zaidi na zaidi, waumini wa kweli katika Mungu ambao...
Jumapili, 11 Novemba 2018
Swahili Christian Video "Mazungumzo" (1) : Kwa nini CCP Huwafuatia na Kuwakandamiza Wakristo Sana?
By Kuhusu Umeme wa MasharikiNovemba 11, 2018haki-ya-kuish, Kanisa-la-Mwenyezi-Mungu, Kuwakandamiza-Wakristo, uhuru-wa-dini, uhuru-wa-imani, Video-za-Ushuhuda-wa-Mateso, vidoNo comments

Swahili Christian Video "Mazungumzo" (1) : Kwa nini CCP Huwafuatia na Kuwakandamiza Wakristo Sana?
Katiba ya China hutamka kwa dhahiri uhuru wa dini, lakini kisirisiri, serikali hutumia rasilimali nyingi mno za binadamu na za kifedha kwa kuikandamiza imani ya dini na kuwatesa Wakristo kikatili. Hata hawajaacha kununua vifaa vya hali ya juu...
Jumamosi, 10 Novemba 2018
Muziki wa Injili "Umuhimu wa Mungu Kumsimamia Binadamu" | God Is Salvation to Man
By Kuhusu Umeme wa MasharikiNovemba 10, 2018Dondoo-ya-Filamu, Kanisa-la-Mwenyezi-Mungu, Mungu-anamsimamia-mwanadamu, Muziki-wa-Injili, umuhimu-wa-Mungu-Kumsimamia, VideoNo comments

Muziki wa Injili "Umuhimu wa Mungu Kumsimamia Binadamu" | God Is Salvation to Man
Usimamizi wa Mungu ni ili kuwapata binadamu
wanaomwabudu na kumtii Yeye.
Ingawa wamepotoshwa na Shetani, hawamwiti baba tena.
Wanajua ubaya wa Shetani, hivyo wanamkataa.
Wanakuja mbele ya Mungu, wanakubali adabu na hukumu.
Wanajua kile kilicho kibaya, na...
Alhamisi, 8 Novemba 2018
Swahili Christian Video "Kutoroka Kizimba" (Crosstalk) | Christians Are Determined to Follow God
By Kuhusu Umeme wa MasharikiNovemba 08, 2018Kanisa-la-Mwenyezi-Mungu, Kutoroka-Kizimba, Video-za-Ushuhuda-wa-Mateso, vido, WakristoNo comments

Swahili Christian Video "Kutoroka Kizimba" (Crosstalk) | Christians Are Determined to Follow God
Mazungumzo chekeshi Kutoroka Kizimbani yanaeleza hadithi ya jinsi Mkristo Xiaolan aliteswa na kufungiwa nyumbani mwao kwa mwezi mmoja na baba yake afisa wa Chama cha Kikomunisti, pale ambapo hakuweza kushiriki katika maisha ya kanisa, na uzoefu...
Jumatano, 7 Novemba 2018
Swahili Christian Skit "Mipaka ya Meya wa Kijiji" | Why Is There No Religious Freedom in China?
By Kuhusu Umeme wa MasharikiNovemba 07, 2018Filamu-za-Kikristo, Kanisa-la-Mwenyezi-Mungu, mipaka-ya-Meya-wa-Kijiji, Video, Video-za-Ushuhuda-wa-MatesoNo comments

Swahili Christian Skit "Mipaka ya Meya wa Kijiji" | Why Is There No Religious Freedom in China?
Mchezo mfupi Mipaka ya Meya wa Kijiji inaeleza hadithi ya kweli ya mume na mke Wakristo ambao wanalazimishwa kutoroka kwa sababu ya mateso ya serilaki ya CCP.
Mkristo Liu Ming'en anahukumiwa na CCP miaka saba gerezani kwa kuamini katika Mungu....
Jumanne, 6 Novemba 2018
Swahili Christian Video "Macho Kila Mahali" (Mazungumzo Chekeshi) | The Means the CCP Uses to Capture Christians
By Kuhusu Umeme wa MasharikiNovemba 06, 2018Injili, Kanisa-la-Mwenyezi-Mungu, Macho-Kila-Mahali, Video-za-Ushuhuda-wa-Mateso, vidoNo comments

Swahili Christian Video "Macho Kila Mahali" (Mazungumzo Chekeshi) | The Means the CCP Uses to Capture Christians
Mchezo wa kuchekesha Macho Kila Mahali unaeleza jinsi Chama cha Kikomunisti cha China kinavyojaribu kuondoa dini kwa kutumia uchunguzi mkubwa kote nchini, pamoja na kuwageuza watu katika kila tabaka na kazi ya maisha kuwa macho ili...
Jumatatu, 5 Novemba 2018
Filamu za Kikristo | "Mazungumzo" | Christian Testimony of Overcoming Satan
By Kuhusu Umeme wa MasharikiNovemba 05, 2018Filamu-za-Kikristo, Kanisa-la-Mwenyezi-Mungu, Mazungumzo, Video, Video-za-Ushuhuda-wa-MatesoNo comments

Filamu za Kikristo | "Mazungumzo" | Christian Testimony of Overcoming Satan
Jiang Xinyi na Wakristo wengine walikamatwa na serikali ya CCP; wao huwatesa Wakristo kwa ukatili ili kutwaa fedha za kanisa na kuwakamata viongozi zaidi wa kanisa. Kisha, ili kuwalazimisha kuikataa imani yao, wao huzindua kampenii moja baada ya nyingine ya kuwatia...
Jumapili, 4 Novemba 2018
Swahili Christian Video "Bwana Anakuja Kwa Namna Gani Hasa?" | The Son of Man Has Come to Earth
By Kuhusu Umeme wa MasharikiNovemba 04, 2018bwana-Anakuja-Kwa-Namna-Gani, Bwana-Yesu, Filamu-za-Kikristo, Kanisa-la-Mwenyezi-Mungu, siku-za-mwisho, vidoNo comments

Swahili Christian Video "Bwana Anakuja Kwa Namna Gani Hasa?" | The Son of Man Has Come to Earth
Katika siku za mwisho, hali ya moyo ya Wakristo wanaongoja kurudi kwa Bwana Yesu inakuwa kali sana, lakini ni kwa vipi, hasa, Bwana atarudi? Baadhi wanasema, "Bwana Yesu atakuja na mawingu." Wengine wanasema, "Unabii unaotabiri kurudi Kwake nao unasema,...
Jumamosi, 3 Novemba 2018
Swahili Christian Skit | "Baba Yangu, Mchungaji" | A Debate on the Bible in a Family
By Kuhusu Umeme wa MasharikiNovemba 03, 2018Baba-angu-Mchungaji, Filamu-za-Injili, Injili, Kanisa-la-Mwenyezi-Mungu, siku-za-mwisho, vidoNo comments

Swahili Christian Skit | "Baba Yangu, Mchungaji" | A Debate on the Bible in a Family
Chi Shou, mchungaji wa dini ambaye amekuwa muumini wa Bwana kwa miaka arubaini, daima ameshikilia mitazamo kwamba "maneno na kazi yote ya Bwana yako ndani ya Biblia," na kwamba "imani katika Bwana haiwezi kuacha Biblia, na kuiamini Biblia humaanisha kumwamini...
Ijumaa, 2 Novemba 2018
Swahili Gospel Video Clip "Ahadi ya Mungu kwa Waisraeli"
By Kuhusu Umeme wa MasharikiNovemba 02, 2018Filamu-za-Injili, Filamu-za-Kikristo, Kanisa-la-Mwenyezi-Mungu, vidoNo comments


Swahili Gospel Video Clip "Ahadi ya Mungu kwa Waisraeli"
Baada ya mamia ya miaka ya kuwekwa chini ya sheria, Waisraeli hatimaye walikabiliwa na hatari ya kuhukumiwa na kuuawa na sheria kwa sababu ya dhambi zao. Walimwita Mungu kwa haraka, ambaye aliwapa...
Jumatano, 31 Oktoba 2018
2018 Gospel Music "Mungu Akiwaongoza Waisraeli Kutoka Misri" (Swahili Subtitles)
By Kuhusu Umeme wa MasharikiOktoba 31, 2018Filamu-za-Injili, Filamu-za-Kikristo, Kanisa-la-Mwenyezi-Mungu, kuwakomboa-Waisraeli, Mungu-Akiwaongoza-Waisraeli-Kutoka, VideoNo comments

2018 Gospel Music "Mungu Akiwaongoza Waisraeli Kutoka Misri" (Swahili Subtitles)
Ili kuwaongoza Waisraeli kutoka Misri, Mungu alituma mapigo kumi Misri, akatumia mamlaka Yake kwa kutenganisha bahari, na kuwakomboa Waisraeli kutoka kwa maisha yao ya utumwa—yote ambayo yalidhihirisha uwezo Wake mkuu, na kueleza upendo Wake mkubwa na hangaiko...
Jumapili, 28 Oktoba 2018
Swahili Gospel Movie Segment "Mungu Anashikilia Ukuu Juu Ya Kila Kitu Katika Ulimweng"
By Kuhusu Umeme wa MasharikiOktoba 28, 2018huutawala-ulimwengu-na-vitu-vyote, Kanisa-la-Mwenyezi-Mungu, Kwaya-za-Injili, Mungu-Anashikilia-Ulimweng, Video-za-Nyimbo-na-Kucheza, vidoNo comments

Swahili Gospel Movie Segment "Mungu Anashikilia Ukuu Juu Ya Kila Kitu Katika Ulimweng"
Wanadamu wamekuwa wakitafuta majibu haya kwa miaka elfu kadhaa: Miili ya mbingu katika ulimwengu inawezaje kwendelea mbele kwa taratibu timilifu kama hiyo? Kwa nini vitu vyote vilivyo hai daima husogea kwa miviringo inayofuata kanuni zisizobadilika? Kwa nini...
Ijumaa, 26 Oktoba 2018
Swahili Gospel Video Clip "Mungu Kuja Duniani na Kuwa Sadaka ya Dhambi"
By Kuhusu Umeme wa MasharikiOktoba 26, 2018Bwana-Yesu, Filamu-za-Kikristo, Filamu-za-lnjili, Kanisa-la-Mwenyezi-Mungu, kusulubiwa, Mungu-Kuja-Duniani, VideoNo comments


Swahili Gospel Video Clip "Mungu Kuja Duniani na Kuwa Sadaka ya Dhambi"
Wakati wa Enzi ya Neema, Bwana Yesu alikuja miongoni mwa mwanadamu na kusulubiwa kwa ajili yake. Alimkomboa mwanadamu kutoka kwa utumwa wa sheria, na kwa sababu ya sadaka ya dhambi, wanadamu...
Jumatano, 24 Oktoba 2018
Swahili Gospel Video Clip "Maangamizo ya Mungu ya Dunia kwa Mafuriko"
By Kuhusu Umeme wa MasharikiOktoba 24, 2018Filamu-za-Injili, Kanisa-la-Mwenyezi-Mungu, katikati-ya-maafa, Maangamizo-ya-Mungu-ya-Dunia-kwa-Mafuriko-ya-Mungu, Video, wokovu-wa-MunguNo comments

Swahili Gospel Video Clip "Maangamizo ya Mungu ya Dunia kwa Mafuriko"
Unapoitazama dondoo hii ya kustaajabisha ya filamu ya Kikristo Kuangamizwa kwa Dunia kwa Gharika na Mungu, utagundua tabia takatifu, ya haki ya Mungu na utunzaji Wake na huruma kwa wanadamu, na utapata njia ya wokovu wa Mungu katikati ya maafa.Unapoitazama...
Jumanne, 23 Oktoba 2018
Swahili Gospel Video Clip "Maangamizi ya Mungu ya Sodoma na Gomora"
By Kuhusu Umeme wa MasharikiOktoba 23, 2018Filamu-za-Injili, Kanisa-la-Mwenyezi-Mungu, Sodoma-na-Gomora, VideoNo comments

Swahili Gospel Video Clip "Maangamizi ya Mungu ya Sodoma na Gomora"
Ikifurika na uovu na uzinzi, miji hii miwili mikubwa ya Sodoma na Gomora iliichokoza tabia ya Mungu. Mungu alinyesha moto wa jahanamu kutoka mbinguni, akiiteketeza hiyo miji na watu ndani yayo hadi kuwa majivu, na kuwafanya watoweke katikati ya hasira Yake…. Tazama...
Jumamosi, 20 Oktoba 2018
Gospel Video Clip "Wayahudi Wakienda Uhamishoni Ughaibuni na Injili ya Ufalme wa Mbinguni Ikienezwa"
By Kuhusu Umeme wa MasharikiOktoba 20, 2018Filamu-za-Injili, Kanisa-la-Mwenyezi-Mungu, Mwenyezi-Mungu, Uhamishoni-Injili, Video, WayahudiNo comments

Gospel Video Clip "Wayahudi Wakienda Uhamishoni Ughaibuni na Injili ya Ufalme wa Mbinguni Ikienezwa"
Baada ya kufufuka kwa Bwana Yesu, Wayahudi walitupwa uhamishoni duniani kote, na kusababisha injili ya ufalme wa mbinguni kuenea kwa kila kona ya dunia. Hivyo tunaona kwamba hekima ya Mungu ni ya juu zaidi kuliko mbinguni, na kwamba...
Ijumaa, 19 Oktoba 2018
Maono ya Kazi ya Mungu (1)
By Kuhusu Umeme wa MasharikiOktoba 19, 2018Bwana-Yesu, Kanisa-la-Mwenyezi-Mungu, Neno-Laonekana-katika-Mwili, Umeme-wa-Mashariki, VitabuNo comments


Maono ya Kazi ya Mungu (1)
ohana alimfanyia Yesu kazi kwa miaka saba, na tayari alikuwa ameandaa njia Yesu alipofika. Kabla ya haya,injili ya ufalme wa mbinguni iliyohubiriwa na Yohana ilisikika kotekote katika nchi, hivyo ilienea kutoka upande mmoja hadi upande...
Alhamisi, 18 Oktoba 2018
Swahili Gospel Video Clip "Kuibuka na Kuanguka kwa Falme ya Kirumi"
By Kuhusu Umeme wa MasharikiOktoba 18, 2018Filamu-za-Injili, Kanisa-la-Mwenyezi-Mungu, Kuanguka-kwa-Falme-ya-Kirumi, VideoNo comments

Swahili Gospel Video Clip "Kuibuka na Kuanguka kwa Falme ya Kirumi"
Milki ya kale ya Kirumi iliinuka na ilianzishwa kwa ajili ya kuenea kwa Ukristo. Kipindi chake cha heri na furaha kubwa kilikaribishwa na kuanzisha Ukristo kama dini yake ya kitaifa. Na ikaharibiwa kutokana na mateso yake ya Wakristo…. Tazama dondoo hii ya filamu ya Kikristo...
Jumatano, 17 Oktoba 2018
Kuhusu Kila Mmoja Kutekeleza Wajibu Wake
By Kuhusu Umeme wa MasharikiOktoba 17, 2018Kanisa-la-Mwenyezi-Mungu, Kutekeleza-Wajibu-Wake, Neno-Laonekana-katika-Mwili, Umeme-wa-Mashariki, VitabuNo comments


Kuhusu Kila Mmoja Kutekeleza Wajibu Wake
Katika mkondo wa sasa, kila mtu anayempenda Mungu kwa kweli ana fursa ya kukamilishwa na Yeye. Bila kujali kama yeye ni kijana au mzee, mradi tu anatazamia kwa hamu kumtii Mungu na kumheshimu Yeye, wataweza kukamilishwa...
Jumanne, 16 Oktoba 2018
Swahili Gospel Video Clip "Kuibuka kwa Falme ya Uingereza Ikiendesha Maendeleo ya Wanadamu"
By Kuhusu Umeme wa MasharikiOktoba 16, 2018Filamu-za-Injili, Kanisa-la-Mwenyezi-Mungu, Nyendo, Umeme-wa-Mashariki, VideoNo comments

Kanisa la Mwenyezi Mungu | Swahili Gospel Video Clip "Kuibuka kwa Falme ya Uingereza Ikiendesha Maendeleo ya Wanadamu"
Ni nini kilichosababisha kuibuka kwa Milki ya Uingereza? Na ni nini kilichosababisha kushuka kwayo? Tazama dondoo hii ya filamu ya Kikristo Kuibuka kwa Milki ya Uingereza Kuendesha Maendeleo ya Wanadamu...