Jumamosi, 10 Novemba 2018

Muziki wa Injili "Umuhimu wa Mungu Kumsimamia Binadamu" | God Is Salvation to Man

Usimamizi wa Mungu ni ili kuwapata binadamu
wanaomwabudu na kumtii Yeye.
Ingawa wamepotoshwa na Shetani, hawamwiti baba tena.
Wanajua ubaya wa Shetani, hivyo wanamkataa.
Wanakuja mbele ya Mungu, wanakubali adabu na hukumu.
Wanajua kile kilicho kibaya, na kile ambacho ni kitakatifu.
Na wanajua ukuu wa Mungu, na uovu wa Shetani.
Jamii kama hii ya binadamu haitamfanyia Shetani kazi wala kumwabudu tena.
Kwa sababu hawa ni watu ambao kwa kweli wametwaliwa na Mungu.
Hii ndiyo sababu Mungu anamsimamia mwanadamu.

Katika usimamizi wa Mungu wa wakati huu,
mwanadamu ni lengo la upotovu wa Shetani,
yeye ni kasidi cha wokovu wa Mungu
na kile ambacho Mungu na Shetani wanapigania.
Wakati wa kazi ya Mungu,
Anampata tena mwanadamu hatua kwa hatua kutoka Shetani.
Kisha mwanadamu anakuwa karibu zaidi na Mungu …
Wanajua kile kilicho kibaya, na kile ambacho ni kitakatifu.
Na wanajua ukuu wa Mungu, na uovu wa Shetani.
Jamii kama hii ya binadamu haitamfanyia Shetani kazi wala kumwabudu tena.
Kwa sababu hawa ni watu ambao kwa kweli wametwaliwa na Mungu.
Hii ndiyo sababu Mungu anamsimamia mwanadamu.
Wanajua kile kilicho kibaya, na kile ambacho ni kitakatifu.
Na wanajua ukuu wa Mungu, na uovu wa Shetani.
Jamii kama hii ya binadamu haitamfanyia Shetani kazi wala kumwabudu tena.
Kwa sababu hawa ni watu ambao kwa kweli wametwaliwa na Mungu.
Hii ndiyo sababu Mungu anamsimamia mwanadamu.

kutoka katika Neno Laonekana katika Mwili

    Tufuate : Kanisa la Mwenyezi Mungu, Neno la Mwenyezi mungu

0 评论:

Chapisha Maoni