Ijumaa, 9 Novemba 2018

Wimbo za Injili | "Imani ya Kweli Inatokana tu na Kumjua Mungu" | Do You Have True Faith in God?

Wimbo za Injili Umeme wa Mashariki| "Imani ya Kweli Inatokana tu na Kumjua Mungu" | Do You Have True Faith in God?

Kazi ya Mungu sasa ni kunena,
hakuna ishara tena, wala maajabu.
Sio Enzi ya Neema. Mungu ni wa kawaida na halisi.
Katika siku za mwisho Yeye sio Yesu asiye wa kawaida,
lakini ni Mungu wa vitendo katika mwili, hakuna tofauti na mtu.
Hivyo imani ya mwanadamu katika Mungu ni
kwa sababu ya kazi Zake nyingi, maneno na matendo.
Ndiyo, ni matamshi ya Mungu yanayomshinda na kumkamilisha mtu.
Ishara na maajabu sio mizizi ya imani yao.
Ndiyo, ni matendo ya Mungu yanayomfanya mtu kumjua.

Katika kila enzi Mungu anaonyesha tabia tofauti,
Sehemu tofauti ya matendo Yake.
Lakini yote, bado yanatoa ujuzi Wake wa kina.
imani thabiti na ya unyenyekevu katika Mungu.
Hivyo imani ya mwanadamu katika Mungu ni
kwa sababu ya kazi Zake nyingi, maneno na matendo.
Ndiyo, ni matamshi ya Mungu yanayomshinda na kumkamilisha mtu.
Ishara na maajabu sio mizizi ya imani yao.
Ndiyo, ni matendo ya Mungu yanayomfanya mtu kumjua.

Elewa uhalisi Wake, elewa tabia Yake
ni kwa kujua tu matendo Yake halisi,
jinsi Anavyofanya kazi na kuongea,
kutumia hekima Yake, kuwafanya watu wakamilifu.
Elewa Anavyotenda kazi juu ya mtu,
elewa Anavyopenda na Asivyopenda.
Hili linaweza kusaidia kutofautisha mazuri na mabaya,
na kupitia ufahamu huu wa Mungu kuna maendeleo katika maisha yako.
Hivyo imani ya mwanadamu katika Mungu ni
kwa sababu ya kazi Zake nyingi, maneno na matendo.
Ndiyo, ni matamshi ya Mungu yanayomshinda na kumkamilisha mtu.
Ishara na maajabu sio mizizi ya imani yao.
Ndiyo, ni matendo ya Mungu yanayomfanya mtu kumjua.
Hivyo imani ya mwanadamu katika Mungu ni
kwa sababu ya kazi Zake nyingi, maneno na matendo.
Ndiyo, ni matamshi ya Mungu yanayomshinda na kumkamilisha mtu.
Ishara na maajabu sio mizizi ya imani yao.Ndiyo, ni matendo ya Mungu yanayomfanya mtu kumjua.

kutoka katika Neno Laonekana katika Mwili

Kauli Maalum: Uzalishaji huu wa video ulitengenezwa kama mradi usio wa faida na Kanisa la Mwenyezi Mungu. Video hii isisambazwe kwa mtu mwingine kwa minajili ya faida, na ni matumaini yetu kwamba kila mtu atashiriki kuigawa na kuisambaza hadharani. Wakati unapoisambaza, tafadhali sisitiza chanzo chake. Bila ridhaa ya Kanisa la Mwenyezi Mungu, hakuna shirika, kundi la kijamii, au mtu binafsi anayeweza kubadilisha au kuhudhurisha visivyo maudhui ya video hii.

0 评论:

Chapisha Maoni