Jaweni na Upendo kwa Ajili ya Mungu | Muziki wa Akapela "Yasifu Maisha Mapya"

Kristo wa siku za mwisho ameonekana, akifanya kazi na kuzungumza miongini mwa wanadamu. Neno lake hutuhukumu, kutuadibu na kututakasa, likituongoza kwenye njia sahihi ya maisha ya binadamu.

Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo vido. Onyesha machapisho yote
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo vido. Onyesha machapisho yote

Jumapili, 11 Novemba 2018

Swahili Christian Video "Mazungumzo" (1) : Kwa nini CCP Huwafuatia na Kuwakandamiza Wakristo Sana?

Swahili Christian Video "Mazungumzo" (1) : Kwa nini CCP Huwafuatia na Kuwakandamiza Wakristo Sana? Katiba ya China hutamka kwa dhahiri uhuru wa dini, lakini kisirisiri, serikali hutumia rasilimali nyingi mno za binadamu na za kifedha kwa kuikandamiza imani ya dini na kuwatesa Wakristo kikatili. Hata hawajaacha kununua vifaa vya hali ya juu...

Ijumaa, 9 Novemba 2018

Wimbo za Injili | "Imani ya Kweli Inatokana tu na Kumjua Mungu" | Do You Have True Faith in God?

Wimbo za Injili Umeme wa Mashariki| "Imani ya Kweli Inatokana tu na Kumjua Mungu" | Do You Have True Faith in God? Kazi ya Mungu sasa ni kunena, hakuna ishara tena, wala maajabu. Sio Enzi ya Neema. Mungu ni wa kawaida na halisi. Katika siku za mwisho Yeye sio Yesu asiye wa kawaida, lakini ni Mungu wa vitendo katika mwili, hakuna...

Alhamisi, 8 Novemba 2018

Swahili Christian Video "Kutoroka Kizimba" (Crosstalk) | Christians Are Determined to Follow God

Swahili Christian Video "Kutoroka Kizimba" (Crosstalk) | Christians Are Determined to Follow God Mazungumzo chekeshi Kutoroka Kizimbani yanaeleza hadithi ya jinsi Mkristo Xiaolan aliteswa na kufungiwa nyumbani mwao kwa mwezi mmoja na baba yake afisa wa Chama cha Kikomunisti, pale ambapo hakuweza kushiriki katika maisha ya kanisa, na uzoefu...

Jumanne, 6 Novemba 2018

Swahili Christian Video "Macho Kila Mahali" (Mazungumzo Chekeshi) | The Means the CCP Uses to Capture Christians

Swahili Christian Video "Macho Kila Mahali" (Mazungumzo Chekeshi) | The Means the CCP Uses to Capture Christians Mchezo wa kuchekesha Macho Kila Mahali unaeleza jinsi Chama cha Kikomunisti cha China kinavyojaribu kuondoa dini kwa kutumia uchunguzi mkubwa kote nchini, pamoja na kuwageuza watu katika kila tabaka na kazi ya maisha kuwa macho ili...

Jumapili, 4 Novemba 2018

Swahili Christian Video "Bwana Anakuja Kwa Namna Gani Hasa?" | The Son of Man Has Come to Earth

Swahili Christian Video "Bwana Anakuja Kwa Namna Gani Hasa?" | The Son of Man Has Come to Earth Katika siku za mwisho, hali ya moyo ya Wakristo wanaongoja kurudi kwa Bwana Yesu inakuwa kali sana, lakini ni kwa vipi, hasa, Bwana atarudi? Baadhi wanasema, "Bwana Yesu atakuja na mawingu." Wengine wanasema, "Unabii unaotabiri kurudi Kwake nao unasema,...

Jumamosi, 3 Novemba 2018

Swahili Christian Skit | "Baba Yangu, Mchungaji" | A Debate on the Bible in a Family

Swahili Christian Skit | "Baba Yangu, Mchungaji" | A Debate on the Bible in a Family Chi Shou, mchungaji wa dini ambaye amekuwa muumini wa Bwana kwa miaka arubaini, daima ameshikilia mitazamo kwamba "maneno na kazi yote ya Bwana yako ndani ya Biblia," na kwamba "imani katika Bwana haiwezi kuacha Biblia, na kuiamini Biblia humaanisha kumwamini...

Ijumaa, 2 Novemba 2018

Swahili Gospel Video Clip "Ahadi ya Mungu kwa Waisraeli"

Swahili Gospel Video Clip "Ahadi ya Mungu kwa Waisraeli"     Baada ya mamia ya miaka ya kuwekwa chini ya sheria, Waisraeli hatimaye walikabiliwa na hatari ya kuhukumiwa na kuuawa na sheria kwa sababu ya dhambi zao. Walimwita Mungu kwa haraka, ambaye aliwapa...

Jumapili, 28 Oktoba 2018

Swahili Gospel Movie Segment "Mungu Anashikilia Ukuu Juu Ya Kila Kitu Katika Ulimweng"

Swahili Gospel Movie Segment "Mungu Anashikilia Ukuu Juu Ya Kila Kitu Katika Ulimweng" Wanadamu wamekuwa wakitafuta majibu haya kwa miaka elfu kadhaa: Miili ya mbingu katika ulimwengu inawezaje kwendelea mbele kwa taratibu timilifu kama hiyo? Kwa nini vitu vyote vilivyo hai daima husogea kwa miviringo inayofuata kanuni zisizobadilika? Kwa nini...