Jaweni na Upendo kwa Ajili ya Mungu | Muziki wa Akapela "Yasifu Maisha Mapya"

Kristo wa siku za mwisho ameonekana, akifanya kazi na kuzungumza miongini mwa wanadamu. Neno lake hutuhukumu, kutuadibu na kututakasa, likituongoza kwenye njia sahihi ya maisha ya binadamu.

Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Wakristo. Onyesha machapisho yote
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Wakristo. Onyesha machapisho yote

Alhamisi, 6 Desemba 2018

Swahili Christian Video "Mazungumzo" (2): Jinsi Wakristo Wanavyoukabili Utiaji Kasumba wa Ukanaji Mungu wa CCP

Swahili Christian Video "Mazungumzo" (2): Jinsi Wakristo Wanavyoukabili Utiaji Kasumba wa Ukanaji Mungu wa CCP Ili kuwalazimisha Wakristo kumtelekeza Mungu na kuiacha imani yao, CCP haijawaashawishi Wakristo kwa umaarufu na hadhi tu, lakini imewatia kasumba ya ukanaji Mungu, uyakinifu, kuamini mageuko, na maarifa ya kisayansi.&...

Jumapili, 18 Novemba 2018

Swahili Christian Video "Miaka 17? Hakika!" | The Power of Faith in God

Swahili Christian Video "Miaka 17? Hakika!" | The Power of Faith in God "Kijana! Je, unajua kwamba Chama cha Kikomunisti ni kikana Mungu na kiko kinyume na imani katika Mungu? Katika China, kuna Mungu yupi kwako kuamini? Mungu huyu wako yuko wapi?" "Usifikiri kwamba kwa sababu wewe ni mdogo, tutakuwa wenye huruma kwak...

Ijumaa, 16 Novemba 2018

Swahili Christian Video "Mazungumzo" (6): Jinsi Wakristo Wanavyojibu "Chambo cha Familia" cha CCP

 Swahili Christian Video "Mazungumzo" (6): Jinsi Wakristo Wanavyojibu "Chambo cha Familia" cha CCP Wakati ambapo CCP hakipati mafanikio katika jitihada zake za kuwalazimisha Wakristo kumtelekeza Mungukupitia mateso yao ya ukatili na kutia kasumba, wao kisha huzitumia familia zao kama chambo kuwajaribu. Wakiwa wamekabiliwa na...

Alhamisi, 8 Novemba 2018

Swahili Christian Video "Kutoroka Kizimba" (Crosstalk) | Christians Are Determined to Follow God

Swahili Christian Video "Kutoroka Kizimba" (Crosstalk) | Christians Are Determined to Follow God Mazungumzo chekeshi Kutoroka Kizimbani yanaeleza hadithi ya jinsi Mkristo Xiaolan aliteswa na kufungiwa nyumbani mwao kwa mwezi mmoja na baba yake afisa wa Chama cha Kikomunisti, pale ambapo hakuweza kushiriki katika maisha ya kanisa, na uzoefu...

Jumapili, 11 Februari 2018

Kanisa la Mwenyezi Mungu | Unapaswa Kushughulikiaje Wito Wako wa Mustakabali?

Kanisa la Mwenyezi Mungu | Unapaswa Kushughulikiaje Wito Wako wa Mustakabali? Je, unaweza kuonyesha tabia ya Mungu ya nyakati kwa lugha inayofaa iliyo na umuhimu wa nyakati? Kupitia uzoefu wako wa kazi ya Mungu, unaweza kueleza kwa undani tabia ya Mungu? Utaielezaje vizuri,...

Jumamosi, 10 Februari 2018

Christian Music Video Swahili "Hadithi ya Xiaozhen" | Mungu ni upendo

Christian Music Video Swahili "Hadithi ya Xiaozhen" | Mungu ni upendo Xiaozhen alikuwa Mkristo mwenye moyo safi, ulio na huruma, ambaye kila wakati alikuwa akiwashughulikia wenzake kwa uaminifu. Hata hivyo, ilipokuwa ni kwa manufaa yao, marafiki wake wa awali waligeuka...

Jumamosi, 3 Februari 2018

Swahili Christian Testimony Video "Katikati ya Majira ya Baridi"

Swahili Christian Testimony Video "Katikati ya Majira ya Baridi" Jina lake ni Xiao Li. Ameamini katika Mungu kwa zaidi ya muongo mmoja. Katika majira ya baridi ya mwaka wa 2012, alikamatwa na polisi wa Kikomunisti wa China katika mkutano. Wakati wa mahojiano, polisi...

Jumamosi, 20 Januari 2018

Christian Music Video Swahili “Hadithi ya Xiaozhen” | Mungu ni upendo

Christian Music Video Swahili “Hadithi ya Xiaozhen” | Mungu ni upendo Xiaozhen alikuwa Mkristo mwenye moyo safi, ulio na huruma, ambaye kila wakati alikuwa akiwashughulikia wenzake kwa uaminifu. Hata hivyo, ilipokuwa ni kwa manufaa yao, marafiki wake wa awali waligeuka...

Jumatatu, 11 Desemba 2017

Swahili Christian Video | Nyendo za Mateso ya Kidini "Kuficha Uhalifu"

Tangu kilipokuja mamlakani katika China Bara mnamo mwaka wa 1949, Chama Cha Kikomunisti cha China kimekuwa hakikomi katika mateso yake kwa imani ya kidini. Kwa wayowayo kimewashika na kuwaua Wakristo, kuwafukuza na kuwadhulumu wamishonari wanaofanya kazi nchini China, wakachukua...

Jumapili, 10 Desemba 2017

Swahili Christian Video | Nyendo za Mateso ya Kidini Nchini China

Tangu kilipokuja mamlakani katika China Bara mnamo mwaka wa 1949, Chama Cha Kikomunisti cha China kimekuwa hakikomi katika mateso yake kwa imani ya kidini. Kwa wayowayo kimewashika na kuwaua Wakristo, kuwafukuza na kuwadhulumu wamishonari wanaofanya kazi nchini China,...

Jumapili, 3 Desemba 2017

Swahili Christian Movie Trailer | Nyendo za Mateso ya Kidini | "Kuficha Uhalifu"

Swahili Christian Movie Trailer | Nyendo za Mateso ya Kidini | "Kuficha Uhalifu"  Tangu kilipokuja mamlakani katika China Bara mnamo mwaka wa 1949, Chama Cha Kikomunisti cha China kimekuwa hakikomi katika mateso yake kwa imani ya kidini. Kwa wayowayo kimewashika...