Jaweni na Upendo kwa Ajili ya Mungu | Muziki wa Akapela "Yasifu Maisha Mapya"

Kristo wa siku za mwisho ameonekana, akifanya kazi na kuzungumza miongini mwa wanadamu. Neno lake hutuhukumu, kutuadibu na kututakasa, likituongoza kwenye njia sahihi ya maisha ya binadamu.

Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo uaminifu. Onyesha machapisho yote
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo uaminifu. Onyesha machapisho yote

Jumamosi, 6 Aprili 2019

Matamshi ya Mungu | “Namna ya Kujua Tabia ya Mungu na Matokeo ya Kazi Yake” Sehemu ya Kwanza

Matamshi ya Mungu | “Namna ya Kujua Tabia ya Mungu na Matokeo ya Kazi Yake” Sehemu ya Kwanza Kwanza, hebu tuuimbe wimbo wa kumsifu Mungu: Wimbo wa Ufalme (I) Ufalme Umeshuka katika Ulimwengu. Kiambata: Watu wanamshangilia Mungu, watu wanamsifu Mungu; vinywa vyote vinamwita Mungu mmoja wa kweli. Mfalme unashuka ulimwenguni. I. Watu wanamshangilia...

Ijumaa, 30 Machi 2018

Christian Video Swahili "Uaminifu ni wa Thamani Mno" | Wokovu wa Bwana

Christian Video Swahili "Uaminifu ni wa Thamani Mno" | Wokovu wa Bwana Utambulisho Zhen Cheng alikuwa mmiliki wa duka la urekebishaji wa vifaa vya stima. Alikuwa mkarimu, mwaminifu, na alifanya biashara inavyopasa kufanywa. Hangejaribu kumdanganya mtu, lakini alikuwa...

Jumatatu, 12 Machi 2018

Umeme wa Mashariki | Njia... (8)

Umeme wa Mashariki | Njia... (8)   Mwenyezi Mungu alisema, Wakati ambapo Mungu anakuja duniani kuchanganyika na wanadamu, kuishi nao, sio tu kwa siku moja au mbili. Labda kwa wakati huu wote watu wamemjua Mungu kwa kiwango fulani, na labda wamepata utambuzi...

Jumapili, 4 Februari 2018

Umeme wa Mashariki | Unapaswaje Kuitembea Hatua ya Mwisho ya Njia?

Unapaswaje Kuitembea Hatua ya Mwisho ya Njia? Sasa mko kwenye hatua ya mwisho ya njia, na hii ni sehemu muhimu. Labda umevumilia mateso mengi kabisa, umefanya kazi nyingi, umetembea barabara nyingi, na umesikiliza mahubiri mengi, na haijakuwa rahisi kufika hadi sas...

Jumamosi, 3 Februari 2018

Swahili Christian Testimony Video "Katikati ya Majira ya Baridi"

Swahili Christian Testimony Video "Katikati ya Majira ya Baridi" Jina lake ni Xiao Li. Ameamini katika Mungu kwa zaidi ya muongo mmoja. Katika majira ya baridi ya mwaka wa 2012, alikamatwa na polisi wa Kikomunisti wa China katika mkutano. Wakati wa mahojiano, polisi...

Alhamisi, 1 Februari 2018

Namna ya Kujua Tabia ya Mungu na Matokeo ya Kazi Yake

Namna ya Kujua Tabia ya Mungu na Matokeo ya Kazi Yake Kwanza, hebu na tuuimbe wimbo wa kumsifu Mungu: Wimbo wa Ufalme (I) Ufalme Umeshuka katika Ulimwengu Kisaidizi ala cha muziki: Watu wanashangilia Mungu kwa furaha, watu wanamsifu Yeye, sauti zisizohesabika...

Jumatatu, 22 Januari 2018

Mungu Ndiye Chanzo cha Uhai wa Mwanadamu

Mungu Ndiye Chanzo cha Uhai wa Mwanadamu Tangu unapoingia katika dunia hii ukilia, unaanza kutekeleza wajibu wako. Unachukua jukumu lako katika mpango wa Mungu na katika utaratibu wa Mungu. Unaanza safari ya maisha. Licha ya asili yako na licha ya safari iliyoko mbele...