Jaweni na Upendo kwa Ajili ya Mungu | Muziki wa Akapela "Yasifu Maisha Mapya"

Kristo wa siku za mwisho ameonekana, akifanya kazi na kuzungumza miongini mwa wanadamu. Neno lake hutuhukumu, kutuadibu na kututakasa, likituongoza kwenye njia sahihi ya maisha ya binadamu.

Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Watimilifu. Onyesha machapisho yote
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Watimilifu. Onyesha machapisho yote

Alhamisi, 1 Februari 2018

Namna ya Kujua Tabia ya Mungu na Matokeo ya Kazi Yake

Namna ya Kujua Tabia ya Mungu na Matokeo ya Kazi Yake Kwanza, hebu na tuuimbe wimbo wa kumsifu Mungu: Wimbo wa Ufalme (I) Ufalme Umeshuka katika Ulimwengu Kisaidizi ala cha muziki: Watu wanashangilia Mungu kwa furaha, watu wanamsifu Yeye, sauti zisizohesabika...

Alhamisi, 25 Januari 2018

Je, Umekuwa Hai Tena? | Umeme wa Mashariki

Je, Umekuwa Hai Tena? Mwenyezi Mungu alisema, Baada ya kutimiza kuishi kulingana na ubinadamu wa kawaida, na umefanywa mkamilifu, ingawa utakuwa huwezi kunena unabii, wala siri zozote, utakuwa unaishi kulingana na kufichua taswira ya mwanadamu. Mungu alimuumba mwanadamu,...

Jumatatu, 22 Januari 2018

Mnapaswa Kuzingatia Matendo Yenu

Mnapaswa Kuzingatia Matendo Yenu Mwenyezi Mungu alisema, Kulingana na vitendo na matendo katika maisha yenu, nyote mnahitaji kurasa za maneno ya kuwajaza na kuwajenga kila siku, kwani mko na upungufu mno, na ujuzi na maarifa yenu ya kupokea ni ya hali ya chini sana....