Jaweni na Upendo kwa Ajili ya Mungu | Muziki wa Akapela "Yasifu Maisha Mapya"

Kristo wa siku za mwisho ameonekana, akifanya kazi na kuzungumza miongini mwa wanadamu. Neno lake hutuhukumu, kutuadibu na kututakasa, likituongoza kwenye njia sahihi ya maisha ya binadamu.

Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Kikristo. Onyesha machapisho yote
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Kikristo. Onyesha machapisho yote

Jumatatu, 17 Desemba 2018

Best Swahili Full Christian Movie | "Wimbo wa Ushindi" | Preaching the Gospel of the Last Days

Best Swahili Full Christian Movie | "Wimbo wa Ushindi" | Preaching the Gospel of the Last Days Kazi ya hukumu ya Mwenyezi Mungu katika siku za mwisho imevuma katika kila farakano na kikundi. Kufuatia kuenea kwa injili ya ufalme, maneno ya Mwenyezi Mungu yanakubaliwa na kuenezwa na watu zaidi na zaidi, waumini wa kweli katika Mungu ambao...

Alhamisi, 23 Agosti 2018

Sura ya 35. Jinsi ya Kuishika Njia ya Petro

Sura ya 35. Jinsi ya Kuishika Njia ya Petro Kufanya muhtasari wa kuishika njia ya Petro, ni kuishika njia ya kufuatilia ukweli, ambayo pia ni njia ya kujijua na kubadilisha tabia ya mtu. Ni kwa kuishika tu njia ya Petro ndio mtu atakuwa anashika njia ya kukamilishwa...

Jumapili, 22 Julai 2018

Video ya Kiswahili ya Ushuhuda wa Kikristo "Mungu Ndiye Nguvu ya Maisha Yangu"

Video ya Kiswahili ya Ushuhuda wa Kikristo "Mungu Ndiye Nguvu ya Maisha Yangu" | Jinsi Wakristo Humtegemea Mungu Kushinda Fang Jin ni Mkristo. Alikamatwa na serikali ya CCP kwenye mkusanyiko. Ili kumlazimisha kuwataja ndugu zake wa kike na kiume na kumsaliti Mungu, polisi walimnyima chakula, maji na usingizi kwa siku saba mchana na siku sita...

Jumapili, 4 Februari 2018

Swahili Gospel Video "Kanisa la Nafsi Tatu ni Mwavuli Wangu"

Swahili Gospel Video "Kanisa la Nafsi Tatu ni Mwavuli Wangu" Wakati mmoja, serikali ya Kikomunisti ya Uchina iliwakamata Wakristo wengi wa Kanisa la Mwenyezi Mungu kutoka mahali fulani usiku wa manane. Jambo hili lilisababisha ghasia kubwa mahali hapo. Lilichochea majadiliano miongoni mwa washirika wa Kanisa la Nafsi Tatu. Watu wengine waliamini...

Alhamisi, 1 Februari 2018

Kanisa la Mwenyezi Mungu | Maoni Wanayopaswa Kushikilia Waumini

 Maoni Wanayopaswa Kushikilia Waumini Ni kitu gani ambacho mwanadamu amepokea tangu alipomwamini Mungu mara ya kwanza? Umejua kitu gani kumhusu Mungu? Umebadilika kiasi gani kwa sababu ya imani yako kwa Mungu? Sasa mnajua nyote ya kwamba imani ya mwanadamu katika Mungu si kwa ajili ya wokovu wa roho na ustawi wa mwili tu, wala si kuimarisha...