Swahili Christian Movie | Nyendo za Mateso ya Kidini Nchini China | "Njia Ndefu ya Uhamisho"
Tangu kilipokuja mamlakani katika China Bara mnamo mwaka wa 1949, Chama Cha Kikomunisti cha China kimekuwa hakikomi katika mateso yake kwa imani ya kidini.Kwa wayowayo kimewashika na kuwaua Wakristo, kuwafukuza na kuwadhulumu wamishonari wanaofanya kazi nchini China, wakachukua ngawira na kuchoma nakala nyingi za Biblia, wakafunga kabisa na kubomoa majengo ya kanisa, na bila mafanikio wakajaribu kukomesha makanisa yote ya nyumbani.…
Filamu hii inasimulia kisa cha kweli cha Mkristo Mchina, Yang Jing'en, akiteswa na Chama Cha Kikomunisti cha China. Yang Jing'en alikuwa na nyumba yenye furaha na maisha mazuri, lakini baada ya yeye na mkewe kumwamini Mungu na kuanza kutekeleza wajibu wao, wakawa watu wa kutakiwa na CCP. Walilazimishwa kuikimbia nyumbani kwao na wakawa wakimbizi. Yang Jing'en alivuka nusu ya China kwa zaidi ya miaka 18, lakini bila kujali ni wapi alipoenda bado alikuwa akipitia ukandamizaji, na mara kwa mara alikuwa katika hatari kubwa, akikabiliwa na hali moja ya hatari baada ya nyingine …
0 评论:
Chapisha Maoni