Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Tenzi. Onyesha machapisho yote
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Tenzi. Onyesha machapisho yote
Jumanne, 11 Desemba 2018
2018 Best African Worship Song "Miaka Elfu Mbili ya Kungoja" | Karibu Kurudi kwa Bwana Yesu
By UnknownDesemba 11, 2018Kurudi-kwa-Yesu-mara-ya-pili, Tenzi, Upendo-wa-Mungu, Video, YesuNo comments

2018 Best African Worship Song "Miaka Elfu Mbili ya Kungoja" | Karibu Kurudi kwa Bwana Yesu
Kwamba Mungu amekuwa mwili
hutikisa ulimwengu wa kidini,
inavuruga utaratibu wa kidini,
na inakoroga roho za wale
wanaongoja kuonekana kwa Mungu...
Jumamosi, 7 Julai 2018
Swahili Worship Song "Unapoufungua Moyo Wako kwa Mungu" | Seeing the Love of God
Swahili Worship Song "Unapoufungua Moyo Wako kwa Mungu" | Seeing the Love of God
Wakati hamumwelewi Mungu na hamjui asili Yake,
mioyo yenu haiwezi kamwe kufunguka, kufunguka kwa Mungu.
Mara utakapomwelewa Mungu wako,
utaelewa kile kilicho moyoni Mwake,
na kufurahia kile kilicho ndani Yake
kwa imani na usikivu wako wote.
Unapofurahia kile kilicho...
Jumapili, 3 Desemba 2017
Mwabudu Mungu kwa Roho na Ukweli | “Sauti ya Moyo ya Kiumbe Aliyeumbwa” (Video za Nyimbo za Kikristo)

Mwabudu Mungu kwa Roho na Ukweli | “Sauti ya Moyo ya Kiumbe Aliyeumbwa” (Video za Nyimbo za Kikristo)
I
Nilitaka kulia lakini hakuna mahali palihisi sawa. Nilitaka kuimba lakini hakuna wimbo ulipatikana. Nilitaka kuonyesha upendo wa kiumbe aliyeumbwa. Nikitafuta juu...
Ukaribisheni Urejeaji wa Bwana Yesu | Sifa na Ibada "Furaha katika Nchi Nzuri ya Kanaani"

Ukaribisheni Urejeaji wa Bwana Yesu | Sifa na Ibada "Furaha katika Nchi Nzuri ya Kanaani"
I
Nimerudi kwa familia ya Mungu, mchangamfu na mwenye furaha. Mikono yangu imemshika mpendwa wangu, moyo wangu ni miliki Yake. Japo nimepitia Bonde la Machozi, nimeyaona mapenzi...