Jaweni na Upendo kwa Ajili ya Mungu | Muziki wa Akapela "Yasifu Maisha Mapya"

Kristo wa siku za mwisho ameonekana, akifanya kazi na kuzungumza miongini mwa wanadamu. Neno lake hutuhukumu, kutuadibu na kututakasa, likituongoza kwenye njia sahihi ya maisha ya binadamu.

Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Kurudi-kwa-Yesu-mara-ya-pili. Onyesha machapisho yote
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Kurudi-kwa-Yesu-mara-ya-pili. Onyesha machapisho yote

Jumanne, 11 Desemba 2018

2018 Best African Worship Song "Miaka Elfu Mbili ya Kungoja" | Karibu Kurudi kwa Bwana Yesu

2018 Best African Worship Song "Miaka Elfu Mbili ya Kungoja" | Karibu Kurudi kwa Bwana Yesu Kwamba Mungu amekuwa mwili hutikisa ulimwengu wa kidini, inavuruga utaratibu wa kidini, na inakoroga roho za wale wanaongoja kuonekana kwa Mungu...

Alhamisi, 4 Oktoba 2018

Tamko la Mia Moja na Nane

Tamko la Mia Moja na Nane Ndani Yangu, wote wanaweza kupata raha na wote wanaweza kuwa huru. Wale walio nje Yangu hawawezi kupata uhuru na furaha kwa sababu Roho Wangu hayuko pamoja na watu hawa....

Alhamisi, 1 Machi 2018

"Ivunje Laana" (2) - Bwana Atakaporudi, Ataonekanaje kwa Wanadamu?

"Ivunje Laana" (2) - Bwana Atakaporudi, Ataonekanaje kwa Wanadamu? Siku za mwisho tayari zimefika, na waumini wengi wanatamani Bwana arudi na kuwachukua kwenda katika ufalme wa mbinguni. Lakini unajua Bwana atakavyoonekana kwetu Atakaporudi? Je, kweli itakuwa kama tunavyofikiria,...