Jumanne, 11 Desemba 2018

2018 Best African Worship Song "Miaka Elfu Mbili ya Kungoja" | Karibu Kurudi kwa Bwana Yesu

2018 Best African Worship Song "Miaka Elfu Mbili ya Kungoja" | Karibu Kurudi kwa Bwana Yesu

Kwamba Mungu amekuwa mwili
hutikisa ulimwengu wa kidini,
inavuruga utaratibu wa kidini,
na inakoroga roho za wale
wanaongoja kuonekana kwa Mungu.
     Nani asiyeshangazwa na haya?
Ni nani asiye na hamu ya kumwona Mungu?
Mungu ameishi kwa miaka mingi kati ya binadamu,
lakini binadamu hafahamu.
Leo, Mungu Mwenyewe ametokea
kufanya upya upendo Wake wa kitambo na mwanadamu.

Baada ya Yeye kuondoka Uyahudi,
Mungu alipotea bila kuonekana.
Watu wana hamu ya kumwona tena,
lakini kwamwe hawajawahi kutarajia
kuungana na Yeye hapa na leo.
Hii itakosa vipi kuleta kumbukumbu za kitambo?
Miaka elfu mbili iliyopita,
Simoni mwana wa Yohana alikutana na Bwana Yesu,
na akala na Bwana katika meza moja.
Miaka ya kufuatia iliongeza upendo wake Kwake.
Alimpenda Yesu kwa dhati.
Mungu ameishi kwa miaka mingi kati ya binadamu,
lakini binadamu hafahamu.
Leo, Mungu Mwenyewe ameonekana ili
kufanya upya upendo Wake wa kitambo na mwanadamu.
kufanya upya upendo Wake wa kitambo na mwanadamu.
Kutoka kwa Neno Laonekana katika Mwili
Soma Zaidi: Kuhusu Kanisa la Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki Hutoka wapi?

0 评论:

Chapisha Maoni