Alhamisi, 20 Desemba 2018

Filamu za Injili | "Kupita Katika Mtego" | Kwa nini Wachungaji na Wazee Wanalihukumu Umeme wa Mashariki

Filamu za Injili | "Kupita Katika Mtego" | Kwa nini Wachungaji na Wazee Wanalihukumu Umeme wa Mashariki


Kwa nini wachungaji na wazee wa ulimwengu wa dini wanakataa na kumhukumu Mwenyezi Mungu? Ni kwa sababu wanachukia, ni wenye uhasama na hawawezi kukubali ukweli ambao Mwenyezi Mungu mwenye mwili huonyesha. Hii ndio maana wanamkataa, wanamhukumu na kumpinga Kristo. Hii inafunua kiini cha shetani walicho nacho ambacho kinachukia ukweli. Ukweli ambao Kristo anaonyesha ni wa nguvu kubwa na wenye mamlaka. Unaweza kuamsha na kuokoa jamii ya binadamu na vilevile kusababisha watu kujinasua kutoka kwa nguvu zote za Shetani na kumrudia Mungu. Ndiyo sababu, ili kulinda umaarufu wao wenyewe, faida na hadhi, viongozi wa ulimwengu wa kidini humpiga Kristo misumari msalabani tena. Huu ndio ukweli wa kweli na kiini kuhusu jinsi viongozi wa ulimwengu wa kidini wanamtumikia Mungu na bado wanamkataa Mungu wakati huo huo.
Kauli Maalum: Uzalishaji huu wa video ulitengenezwa kama mradi usio wa faida na Kanisa la Mwenyezi Mungu. Wahusika wanaoonekana katika uzalishaji huu wanafanya kwa msingi wa kutotafuta faida, na hawajalipwa kwa njia yoyote. Video hii isisambazwe kwa mtu mwingine kwa minajili ya faida, na ni matumaini yetu kwamba kila mtu atashiriki kuigawa na kuisambaza hadharani. Wakati unapoisambaza, tafadhali sisitiza chanzo chake. Bila ridhaa ya Kanisa la Mwenyezi Mungu, hakuna shirika, kundi la kijamii, au mtu binafsi anayeweza kubadilisha au kuhudhurisha visivyo maudhui ya video hii.

0 评论:

Chapisha Maoni