Jaweni na Upendo kwa Ajili ya Mungu | Muziki wa Akapela "Yasifu Maisha Mapya"

Kristo wa siku za mwisho ameonekana, akifanya kazi na kuzungumza miongini mwa wanadamu. Neno lake hutuhukumu, kutuadibu na kututakasa, likituongoza kwenye njia sahihi ya maisha ya binadamu.

Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Upendo-na-huruma-za-Mungu. Onyesha machapisho yote
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Upendo-na-huruma-za-Mungu. Onyesha machapisho yote

Jumapili, 30 Septemba 2018

Wimbo wa Injili | "Kusudi la Kazi ya Usimamizi ya Mungu ni Kumwokoa Binadamu" | Wema wa Mungu

Wimbo wa Injili | "Kusudi la Kazi ya Usimamizi ya Mungu ni Kumwokoa Binadamu" | Wema wa Mungu Upendo na huruma za Mungu hupenyeza kazi Yake ya usimamizi kwa utondoti. I Ikiwa mwanadamu ahisi mapenzi Yake ya huruma au la, Yeye hachoki kufuatilia kazi Anayohitaji kufanya. Ikiwa mwanadamu aelewa usimamizi Wake au la, kazi...