Jaweni na Upendo kwa Ajili ya Mungu | Muziki wa Akapela "Yasifu Maisha Mapya"

Kristo wa siku za mwisho ameonekana, akifanya kazi na kuzungumza miongini mwa wanadamu. Neno lake hutuhukumu, kutuadibu na kututakasa, likituongoza kwenye njia sahihi ya maisha ya binadamu.

Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Enzi-ya-Ufalme. Onyesha machapisho yote
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Enzi-ya-Ufalme. Onyesha machapisho yote

Jumanne, 18 Septemba 2018

Wimbo wa Maneno ya Mungu | "Kusudi la Kazi ya Mungu la Usimamizi" | The True Love of God for Man

Wimbo wa Maneno ya Mungu| "Kusudi la Kazi ya Mungu la Usimamizi" | The True Love of God for Man Mungu ana mpango wa usimamizi wa miaka 6,000, uliyogawanywa katika hatua tatu, kila moja inaitwa enzi. Kwanza ni Enzi ya Sheria, kisha Enzi ya Neema, na Enzi ya Ufalme ni awamu ya mwisho. Ingawa kazi ya Mungu ni tofauti katika kila moja, yote...

Alhamisi, 4 Januari 2018

Kazi ya Mungu na Utendaji wa Mwanadamu

Kazi ya Mungu na Utendaji wa Mwanadamu Mwenyezi Mungu alisema, Kazi ya Mungu miongoni mwa mwanadamu haitengani na mwanadamu, kwa kuwa mwanadamu ni chombo cha kazi hii na kiumbe wa pekee aliyeumbwa na Mungu anayeweza kutoa ushuhuda kwa Mungu....

Jumamosi, 9 Desemba 2017

Enzi ya Ufalme Ndiyo Enzi ya Neno | Matamshi ya Mwenyezi Mungu

Enzi ya Ufalme Ndiyo Enzi ya Neno | Matamshi ya Mwenyezi Mungu Katika Enzi ya Ufalme, Mungu anatumia neno ili kukaribisha enzi mpya, ili kubadilisha mbinu za kazi Yake, na kuweza kufanya kazi katika enzi nzima. Hii ndiyo kanuni ambayo Mungu hufanyia kazi katika Enzi...