Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Enzi-ya-Neema. Onyesha machapisho yote
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Enzi-ya-Neema. Onyesha machapisho yote
Jumatatu, 6 Mei 2019
Ufafanuzi wa Mafumbo ya Maneno ya Mungu kwa Ulimwengu Mzima | Kuhusu Maisha ya Petro
By ye.fengMei 06, 2019Enzi-ya-Neema, kazi-ya-Roho-Mtakatifu, maneno-ya-Mungu, Neno-Laonekana-katika-Mwili, Vitabu, YesuNo comments

Ufafanuzi wa Mafumbo ya Maneno ya Mungu kwa Ulimwengu Mzima | Kuhusu Maisha ya Petro
Petro ni mfano ambao Mungu aliutambulisha kwa wanadamu, na yeye ni mtu mashuhuri anayejulikana vizuri. Kwa nini mtu mnyonge kama huyo aliwekwa mahala kama mfano na Mungu na amesifiwa na vizazi vya baadaye? Bila shaka, ni wazi kwamba hili halitenganishwi na maonyesho...
Jumanne, 18 Septemba 2018
Wimbo wa Maneno ya Mungu | "Kusudi la Kazi ya Mungu la Usimamizi" | The True Love of God for Man
By Kuhusu Umeme wa MasharikiSeptemba 18, 2018Enzi-ya-Neema, Enzi-ya-Sheria, Enzi-ya-Ufalme, Wimbo-wa-Maneno-ya-MunguNo comments

Wimbo wa Maneno ya Mungu| "Kusudi la Kazi ya Mungu la Usimamizi" | The True Love of God for Man
Mungu ana mpango wa usimamizi wa miaka 6,000,
uliyogawanywa katika hatua tatu, kila moja inaitwa enzi.
Kwanza ni Enzi ya Sheria, kisha Enzi ya Neema, na Enzi ya Ufalme ni awamu ya mwisho.
Ingawa kazi ya Mungu ni tofauti katika kila moja,
yote...