Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo maafa. Onyesha machapisho yote
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo maafa. Onyesha machapisho yote
Jumanne, 19 Juni 2018
Umeme wa Mashariki | 7. Katikati ya Maafa Niliiona Tabia ya Haki ya Mungu
By Kuhusu Umeme wa MasharikiJuni 19, 2018Kuipitia-Hukumu-ya-Kristo, maafa, tabia-ya-Mungu, Umeme-wa-Mashariki, VitabuNo comments
Li Jing, Beijing
7 Agosti, mwaka wa 2012
Siku hiyo, ilianza kunyesha asubuhi. Nilikwenda kwa mkutano nyumbani mwa ndugu mmoja, wakati mvua ilipoendelea kuongezeka zaidi na zaidi kwa uzito. Kufikia alasiri ilikuwa ikinyesha kana kwamba ilitoka mbinguni moja kwa moja. Wakati tulipomaliza mkutano wetu, mvua ilikuwa imeingia katika ua wa ndugu yangu, lakini kwa sababu nilikuwa na wasiwasi juu ya familia yangu, nilijitahidi kwenda nyumbani.
Jumatano, 23 Mei 2018
Umeme wa Mashariki | Trela ya Filamu "Yule Anayeshikilia Ukuu Juu ya Kila Kitu" | Mawazo Juu ya Maafa
Umeme wa Mashariki | Trela ya Filamu "Yule Anayeshikilia Ukuu Juu ya Kila Kitu" | Mawazo Juu ya Maafa
Watu wengi hufikiri kuwa jaala yao iko mikononi mwao wenyewe. Lakini wakati maafa yanapokuja, yote tunayohisi ni hali ya kutojiweza, woga, na kitisho, na tunahisi kutokuwa na thamani kwa wanadamu na udhaifu wa maisha…. Ni nani wokovu wetu wa pekee? Filamu ya Kikristo ya muziki—Yule Anayeshikilia Ukuu Juu ya Kila Kitu—hivi karibuni itafichua jibu!
Umeme wa Mashariki, Kanisa la Mwenyezi Mungu lilianzishwa kwa sababu ya kuonekana na kazi ya Mwenyezi Mungu, ujio wa pili wa Bwana Yesu, Kristo wa siku za mwisho. Linashirikisha wale wote ambao wanaikubali kazi ya Mwenyezi Mungu katika siku za mwisho na ambao wameshindwa na kuokolewa kwa maneno Yake. Liliasisiwa kikamilifu na Mwenyezi Mungu mwenyewe na linaongozwa naye kama Mchungaji. Kwa hakika halikuanzishwa na mtu. Kristo ni ukweli, njia, na uzima. Kondoo wa Mungu husikia sauti ya Mungu. Mradi unasoma maneno ya Mwenyezi Mungu, utaona kuwa Mungu ameonekana.
Alhamisi, 12 Aprili 2018
Umeme wa Mashariki | Je, kweli wanadamu wana uamuzi // juu ya hatima yao?
By UnknownAprili 12, 2018Injili, kutuokoa, maafa, Maswali-na-Majibu-Mia-Moja-Kuhusu-Kuichunguza-Njia-ya-Kweli, Upendo-wa-Mungu, VitabuNo comments
Watu wengi hufikiri kuwa jaala yao iko mikononi mwao wenyewe—lakini bado utaamini hili wakati unakabiliwa na maafa? Si utahisi mshtuko, hofu, na kitisho? Si utajihisi kuwa mdogo na asiye na maana, si utahisi udhaifu wa maisha? Ni nani anayeweza kutuokoa?
Kupitia Utunzaji wa Uangalifu wa Mungu wa Wokovu wa Mwanadamu katika Maafa
Muling , Beijing
Agosti 16, Mwaka wa 2012
Mnamo Julai 21, mwaka wa 2012, Beijing ilipata mvua kubwa zaidi katika miaka sitini. Katika mvua hiyo kubwa niliona matendo ya Mungu na kuona jinsi Yeye huwaokoa mwanadamu. Siku hiyo adhuhuri, dada zangu watatu na mimi tulikuwa tumekutana.