Alhamisi, 12 Aprili 2018

Umeme wa Mashariki | Je, kweli wanadamu wana uamuzi // juu ya hatima yao?

Watu wengi hufikiri kuwa jaala yao iko mikononi mwao wenyewe—lakini bado utaamini hili wakati unakabiliwa na maafa? Si utahisi mshtuko, hofu, na kitisho? Si utajihisi kuwa mdogo na asiye na maana, si utahisi udhaifu wa maisha? Ni nani anayeweza kutuokoa?
Kanisa la Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki, Injili

Kupitia Utunzaji wa Uangalifu wa Mungu wa Wokovu wa Mwanadamu katika Maafa

Muling , Beijing
Agosti 16, Mwaka wa 2012
Mnamo Julai 21, mwaka wa 2012, Beijing ilipata mvua kubwa zaidi katika miaka sitini. Katika mvua hiyo kubwa niliona matendo ya Mungu na kuona jinsi Yeye huwaokoa mwanadamu. Siku hiyo adhuhuri, dada zangu watatu na mimi tulikuwa tumekutana. Nje mvua ilikuwa ikiendelea kunyesha. Saa kumi u nusu jioni mume wangu, ambaye hakuwa muumini, alirudi akitwambia kwamba kulikuwa na maji mengi kwa mzunguko kiasi kwamba watu hawakuweza kupitia. Hata hivyo, saa kumi na moja jioni aliondoka kwa haraka sana kwenda kwa zamu yake ya usiku kazini. Wakati huo sikuhisi kitu chochote kisicho cha kawaida, na nilienda kupika chakula cha jioni kama kawaida. Saa moja usiku, mpangaji wetu kwa ghafla alibisha mlango akiniita, na nilipotoka kuangalia, kile nilichoona kilinipa mshtuko mkubwa: Maji ya mvua yalikuwa tayari yamejaza ua na yalikuwa yakiingia kwa pembe za mashariki na magharibi za nyumba, wakati maji yaliyokuwa juu ya ardhi yaliendelea kuongezeka. Mwanangu wa kiume nami tulijaribu kuzuia mtiririko wa maji, lakini hatukufaulu. Katika kukata tamaa, nikapiga magoti ndani ya maji, nikimwita Mungu, “Ee Mungu, nakuomba unifungulie njia.” Wakati huo tu kampuni ya mume wangu ikapiga simu na kuuliza kama alikuwa nyumbani, na nilipokuwa nikichukua simu maji yalikuwa tayari yakija katika sehemu kuu ya nyumba. Nilitambua sasa jinsi mambo yalivyokuwa mazito, na nikaanza kuhangaika juu ya mume wangu bila kujua ni nini kilichokuwa kimemtokea. Nilipiga magoti tena ndani ya maji ili kumwita Mungu katika wasiwasi wangu, “Ewe Mungu! Ni katika kukakabiliana na mafuriko haya ya ghafla tu ambapo ninajihisia mwenyewe hasira Yako, na kutambua uasi wangu mwenyewe na usaliti. Ungependa tugeuze mioyo yetu kukuelekea Wewe, na kuishi kwa urahisi kwa kukutegemea Wewe, lakini bado ninaendelea kushikilia familia, mume wangu na mtoto wangu na siwaachilii. Ewe Mungu! Ni sasa tu ninapoelewa kuwa kati ya wanadamu hakuna mtu anayeweza kumletea yeyote chochote, na hakuna mtu anayeweza kumwokoa yeyote; ninaweza kukutegemea Wewe tu. Mume wangu amekuwa zaidi ya saa 4 njiani kwelekea kazini, lakini bado hajafika kwa kampuni, na sijui kinachoweza kuwa kilitokea njiani. Bila kusita namwaminia mikononi Mwako, na kila kitakachotendeka, bila kusita ninatii mpango Wako na utaratibu Wako!” Niliendelea kuomba jinsi hii tena na tena, na takriban saa tatu usiku mume wangu kwa ghafla akasimama mbele yangu kama ameloweka kabisa. Nilimshukuru Mungu bila kukoma katika moyo wangu kwa kumwokoa. Wakati huu maji ndani ya chumba yalikuwa tayari yamepanda hadi sehemu ya chini ya paja langu na nilimchukua mume wangu nikisema, “Omba pamoja nami, maisha yetu ni ya Mungu kutoa.” Mume wangu alikubali kwa kichwa, na tukapiga magoti katika maji pamoja katika sala. Tulipokuwa tukiomba, ghafla nikasikia mpangaji wetu akipaaza sauti, “Maji yanapungua! Yanapungua!” Katika moyo wangu nilifurahi; nje mvua ilikuwa ikishuka, hivyo maji yanawezaje kuwa yakipungua? Huu ulikuwa ni uweza wa Mungu! Ni kupendeza kwingi kulikoje, uaminifu mwingi ulioje alio nao Mungu; Anampenda mtu sana kabisa. Sisi ni duni sana na waasi, Mungu hutuhurumia sana, na husikiliza kilio chetu na kutuokoa kutoka kwa majanga. Mimi kweli sijui ni maneno gani ambayo yanaweza kuonyesha shukrani yangu na ibada ya Mungu.
Baada ya mvua hii nzito, mume wangu, mama mkwe wangu na wenzangu pia walimwamini Mungu, na nikamshukuru Mungu kwa wokovu wao. Kwa njia ya uzoefu huu nilielewa kweli kwamba Mungu hushusha maafa sio kuwaangamiza wanadamu lakini kuathiri wokovu wao. Kwa upande mmoja, Yeye hutupa tahadhari, watoto tulio vipofu na waasi ambao humwamini Yeye lakini bado tuko shingo upande na humdanganya na kumsaliti Yeye. Kwa upande mwingine, ni zaidi kuziokoa roho zote fukara ambazo kwanza zilikuwa Zake lakini bado zinaishi chini ya utawala wa Shetani. Njia hii ya wokovu ina utunzaji mwingi wa uangalifu wa Mungu. Kama maneno ya Mwenyezi Mungu yanavyosema: “Leo hii, Sishuki tu juu ya taifa la joka kuu jekundu, Mimi pia Nageuza uso Wangu kuelekea ulimwengu mzima, mpaka kila kitu cha mbingu kinatetemeka. Kunayo sehemu hata moja isiyopitia hukumu Yangu? Kunayo sehemu isiyo chini ya mateso Ninayovurumisha kuelekea chini? Kila Ninapoenda Nimesambaza ‘mbegu za maafa’ ya kila aina. Hii ni mojawapo ya njia ambazo Nafanya kazi, na bila shaka ni kitendo cha ukombozi kwa ajili ya mwanadamu, na kile Ninachompa bado ni aina ya upendo. Nataka kufanya hata watu zaidi wapate kunijua Mimi, waweze kuniona Mimi, na kwa njia hii wapate kumcha Mungu ambaye wao hawajamwona kwa miaka mingi sana lakini ambaye, leo hii, ni halisi” (“Tamko La Kumi” ya Matamshi ya Mungu kwa Ulimwengu Mzima katika Neno Laonekana katika Mwili). Siwezi kujizuia kutoa sifa zangu kwa Mungu tena: “Ee Mungu, upendo Wako ni wa kweli sana, kwa maana nimeona kwamba bila kujali Unachokifanya yote ni kwa sababu ya kutuokoa. Sasa ninafurahia uweza Wako na hekima na ninaona upendo Wako, wokovu Wako, na hata zaidi naona wazi nia Zako za shauku. Siwezi tena kuwa asiyejali na asiyekuwa na shukrani. Ninatamani tu kufanya liwezekanalo ili kueneza injili Yako ya ufalme, ili kurejesha roho zaidi zilizopotea kwa familia Yako, na kwa njia hii kwa hakika kuutoa moyo wangu Kwako ili nipate upendo Wako mkubwa kama malipo!”
Maswali na Majibu Mia Moja Kuhusu Kuichunguza Njia ya Kweli 
Kujua zaidi: Kuhusu Kanisa la Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki Hutoka wapi?

0 评论:

Chapisha Maoni