Jaweni na Upendo kwa Ajili ya Mungu | Muziki wa Akapela "Yasifu Maisha Mapya"

Kristo wa siku za mwisho ameonekana, akifanya kazi na kuzungumza miongini mwa wanadamu. Neno lake hutuhukumu, kutuadibu na kututakasa, likituongoza kwenye njia sahihi ya maisha ya binadamu.

Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo nyimbo-za-kikristo. Onyesha machapisho yote
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo nyimbo-za-kikristo. Onyesha machapisho yote

Jumamosi, 20 Aprili 2019

Wimbo wa Kuabudu | "Tabia ya Haki ya Mungu ni ya Pekee" | How to Know God

Wimbo wa Kuabudu | "Tabia ya Haki ya Mungu ni ya Pekee" | How to Know God Mungu huonyesha tabia Yake ya haki kupitia mbinu na kanuni za kipekee, haidhibitiwi na watu, matukio au vitu. au kumshawishi Ajaribu njia tofauti. Na hakuna awezaye kubadili dhana au mawazo Yake, Mungu huhuku matendo na mawazo yote ya viumbe kwa tabia Yake...

Jumamosi, 9 Februari 2019

nyimbo za injili | Toa Akili na Mwili ili Kutimiza Agizo la Mungu

Nyimbo za Injili | Toa Akili na Mwili ili Kutimiza Agizo la Mungu I Kama washiriki wa jamii ya wanadamu, Kama wafuasi wa Kristo wa dhati, ni wajibu wetu, ni jukumu letu kutoa akili zetu na miili yetu kwa kutimiza agizo la Mungu. Kwa maana asili yetu yote ilitoka kwa Mungu, na twaishi, kwa ajili ya ukuu Wake. Kwa maana asili...