Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo maisha. Onyesha machapisho yote
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo maisha. Onyesha machapisho yote
Jumanne, 11 Juni 2019
Matamshi ya Mwenyezi Mungu | Sura ya 31
By ye.fengJuni 11, 2019maisha, mapenzi-ya-Mungu, Neno-Laonekana-katika-Mwili, Ujenzi-wa-kanisa, VitabuNo comments
Ninawapenda wale wote wanaonitaka Mimi kwa dhati. Mkilenga kunipenda, hakika Nitawabariki kwa kiasi kikubwa. Je, mnaelewa nia Zangu? Katika nyumba Yangu, hakuna tofauti kati ya hali ya juu na chini. Kila mtu ni mwanangu, Mimi ni Baba yenu, Mungu wenu. Mimi ni mkuu na wa pekee. Ninadhibiti kila kitu ulimwenguni!
Unapaswa "kunitumikia kwa unyenyekevu na katika mafumbo" katika nyumba Yangu. Maneno haya yanapaswa kuwa kama wito wako.
Jumapili, 12 Mei 2019
Matamshi ya Kristo wa Siku za Mwisho | “Mungu Mwenyewe, Yule wa Kipekee IX Mungu ni Chanzo cha Uhai kwa Vitu Vyote (III)” Sehemu ya Pili
By Mwenyezi Mungu ni Mchungaji WanguMei 12, 2019maisha, Neno-la-Mungu, siku-za-mwisho, Usomaji-wa-Maneno-ya Mwenyezi-Mungu, VideoNo comments
Matamshi ya Kristo wa Siku za Mwisho | “Mungu Mwenyewe, Yule wa Kipekee IX Mungu ni Chanzo cha Uhai kwa Vitu Vyote (III)” Sehemu ya Pili
Mwenyezi Mungu anasema, “Vitu vyote haviwezi kutenganishwa na kanuni ya Mungu, na hakuna mtu hata mmoja ambaye anaweza kujitenganisha kwenye kanuni Yake. Kupoteza kanuni Yake na kupoteza uangalizi wake kungekuwa na maana kwamba maisha ya watu, maisha ya watu katika mwili yangetoweka. Huu ndio umuhimu wa Mungu kuanzisha mazingira kwa ajili ya binadamu kuendelea kuishi. Haijalishi wewe ni mbari gani au unaishi katika ardhi gani, iwe ni Magharibi au Mashariki—huwezi kujitenganisha na mazingira kwa ajili ya kuendelea kuishi ambayo Mungu ameyaanzisha kwa ajili ya binadamu, na huwezi kujitenga na malezi na uangalizi wa mazingira kwa ajili ya kuendelea kuishi ambayo Ameyaanzisha kwa ajili ya binadamu. Haijalishi riziki yako ni nini, kile unachokitegemea kwa ajili ya kuishi, na kile unachokitegemea kudumisha uhai wako katika mwili, huwezi kujitenganisha na kanuni ya Mungu na usimamizi wake.”
Alhamisi, 14 Desemba 2017
Watiifu wa Kweli Hakika Watakubaliwa na Mungu | Matamshi ya Mwenyezi Mungu
By Suara TuhanDesemba 14, 2017maisha, Mungu, Neno-la-Mungu, Neno-Laonekana-katika-Mwili, Roho-Mtakatifu, VitabuNo comments
Watiifu wa Kweli Hakika Watakubaliwa na Mungu | Matamshi ya Mwenyezi Mungu
Kazi ya Roho Mtakatifu inabadilika kutoka siku hadi siku, ikipanda juu kwa kila hatua; ufunuo wa kesho unakuwa hata juu kuliko wa leo, hatua kwa hatua ukikwea hata juu zaidi. Hii ndiyo kazi anayotumia Mungu kumkamilisha mwanadamu.