Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Ujenzi-wa-kanisa. Onyesha machapisho yote
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Ujenzi-wa-kanisa. Onyesha machapisho yote
Jumanne, 11 Juni 2019
Matamshi ya Mwenyezi Mungu | Sura ya 31
By ye.fengJuni 11, 2019maisha, mapenzi-ya-Mungu, Neno-Laonekana-katika-Mwili, Ujenzi-wa-kanisa, VitabuNo comments

Matamshi ya Mwenyezi Mungu | Sura ya 31
Ninawapenda wale wote wanaonitaka Mimi kwa dhati. Mkilenga kunipenda, hakika Nitawabariki kwa kiasi kikubwa. Je, mnaelewa nia Zangu? Katika nyumba Yangu, hakuna tofauti kati ya hali ya juu na chini. Kila mtu ni mwanangu, Mimi ni Baba yenu, Mungu wenu. Mimi ni mkuu na wa pekee. Ninadhibiti kila...
Jumanne, 7 Mei 2019
Maneno ya Mungu kwa Ulimwengu Mzima | Sura ya 1
By ye.fengMei 07, 2019maneno-ya-Mungu, Neno-Laonekana-katika-Mwili, Ufalme, Ujenzi-wa-kanisa, VitabuNo comments


Maneno ya Mungu kwa Ulimwengu Mzima | Sura ya 1
Je, wale wanaoshuhudia maneno Yangu huyakubali kwa kweli? Je, mnanijua kwa kweli? Mmejifunza utiifu kweli? Ninyi hutumia rasilimali kwa ajili Yangu kwa uaminifu? Mmekuwa na ushuhuda thabiti, usiokubali kushindwa Kwangu...